Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Arusha ajiunga CHADEMA

Sasa umeniitia hizo porojo? huyo hayuko Halmashauri kuu ya CCM kama alikuwepo basi hata katika historia hayumo. Kasome tena post namba moja, tazama na hiyo miaka iliyoandikwa halafu tazama leo uko mwaka gani? kisha ujione ulivyo punguani kwa kuniitia huu upuuzi.

Faiza wee faiza foxy mwe octobar inabidi nitafute ma dr wamoyo wakupe ulinzi usijije tutoka ukaacha kushudia mafanikio yetu Ukawa Mungu ibariki Tanzani Mungu mbariki bi mkubwa f.foxy.
 
bibi pole sana jimbo limekwenda...
 
Faiza wee faiza foxy mwe octobar inabidi nitafute ma dr wamoyo wakupe ulinzi usijije tutoka ukaacha kushudia mafanikio yetu Ukawa Mungu ibariki Tanzani Mungu mbariki bi mkubwa f.foxy.

Mpaka sasa hivi anapumulia mashine
 
Sasa umeniitia hizo porojo? huyo hayuko Halmashauri kuu ya CCM kama alikuwepo basi hata katika historia hayumo. Kasome tena post namba moja, tazama na hiyo miaka iliyoandikwa halafu tazama leo uko mwaka gani? kisha ujione ulivyo punguani kwa kuniitia huu upuuzi.

Ha ha ha ha kumbe imekulazimu ukafungue mafaili yenu ukakuta details zake kwamba siye mwenyewe.? Mwaka huu mtakoma maana mtapukutika ka mtama
 
Good,halafu kuna kipindi nimewahi kuwepo Tabora wanatamani sn Lema aende.
 
Hawa CDM nao sasa wanaanza kufanana na maCCM.
Kwa nini mleta uzi kwenye title hakuandika 'Aliyekuwa mjumbe...? Ukisoma content utagundua huyu si mjumbe tena...

Molemo acha tabia za maCCM ya kujitekenya na kucheka mwenyewe. Call a spade a Spade, not a big spoon.
 
Nakumbuka nilikutana na Francis 2010 baada ya uchaguzi kwenyw chakula cha mchana jijini Arusha akiqa analalamika jinsi Ccm ilivyomchezea rafu kwwnye kura za maoni na kumpitisha Mh Lekule. Nilimshauri kama ana taka kufanya siasa za ukweli aiteme Ccm ajiunge na Chadema. Nampongeza aana kwa uamuzi wake. Sasa Yuki njia sahihi. Naahidi kumpa ushirikiano qa aina yoyote kuiangamiza Ccm Longido
 
Nenda kachukue nepi ufute macho ndipo urudi
 
Chama cha Mapinduzi Arusha leo kimepata pigo kubwa baada ya Francis Ole Okayo kujitoa ndani ya chama hicho na kujiunga na Chadema.

Katika mkutano wa ndani unaoendelea muda huu jimboni Longido Okayo amekabidhi rasmi kadi yake kwa Katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani Golugwa.

Mjumbe huyo wa Halmashauri kuu mkoa wa Arusha kati ya 2007-2012 ambaye ana nguvu kubwa jimboni Longido amesema CCM imeshakufa na kinachosubiriwa ni mazishi yake tu Oktoba mwaka huu.

Baadaye jioni mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema anatarajiwa kuwasili kwa chopa mjini Longido kuongoza mkutano mkubwa wa hadhara wa kumpokea rasmi Francis Ole Okayo CHADEMA.

Yeyote anayejitambua hawezi kuendelea kubaki ccm
 
Faiza wee faiza foxy mwe octobar inabidi nitafute ma dr wamoyo wakupe ulinzi usijije tutoka ukaacha kushudia mafanikio yetu Ukawa Mungu ibariki Tanzani Mungu mbariki bi mkubwa f.foxy.

usimpe Ulinzi..
 
Nakumbuka nilikutana na Francis 2010 baada ya uchaguzi kwenyw chakula cha mchana jijini Arusha akiqa analalamika jinsi Ccm ilivyomchezea rafu kwwnye kura za maoni na kumpitisha Mh Lekule. Nilimshauri kama ana taka kufanya siasa za ukweli aiteme Ccm ajiunge na Chadema. Nampongeza aana kwa uamuzi wake. Sasa Yuki njia sahihi. Naahidi kumpa ushirikiano qa aina yoyote kuiangamiza Ccm Longido

asante mkuu...
 
Wewe ulikutana na wanywa gongo wenzako Wa chadema unasema ulikutana na kada Wa Wa Ccm nani anawajua kwenye hii nchi ninyi mnaopiga porojo huku.

Sweeping analysis.
 
umeongea kweli tupu huyo ni mnywa gongo mwenzao wakishapuliza bange wanaleta uongo wao huku
 
Back
Top Bottom