capito
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 424
- 229
Unamjua kessy, unajua alianzia siasa wapi?unajua alikomazwa kisiasa na chama gani?unayajua yaliyomkuta mpaka akahamia ccm.
Kwa taarifa yako Ally Mohamed Kessy ni product ya chadema, kilimchomtoa chadema ni serikali hii ya ccm, ilimkana kuwa sio raia wa Tanzania, wakamfuata na kumwambia ajiunge ccm, alipofanya hivyo akawa raia wa Tanzania.
Sasa hapo ndio umejibu nini kwenye hoja yangu kuwa kwa kwenda kinyume na msimao wa chama, kama angekuwa CDM kwa sasa angeitwa msaliti na kwamba amepewa hela ili akisaliti chama? Tena waraka wa kuonesha jinsi alivyopokea hela ungeandaliwa fasta!
Lakini naona CDM inaanza tena kuwaangukia wale inaowaita wasaliti na kuwa wamehongwa ili wakisaliti chama, wakikubali kununuliwa tena na CDM, wanarudi na kuitwa makamanda, hujasikia kuhusu madiwani waliojiuzuru Shinyanga na kasha kurejea CDM?