Mjumbe wa CCM ajiunga UKAWA

Mjumbe wa CCM ajiunga UKAWA

Wameanza kujitambua,wako wengine wengi ambao wanauwoga kutoana na vitisho.Lakini ufahamu ukiwarejea watajitokeza kudai Tanganyika inayopotezwa kwa maslahi ya wachache.Tanganyika Hoyeeeee
 
Unalinganisha vipi uwepo wa demokrasia ndani ya CCM na CHADEMA. Imagine huyo mbunge angekuwa wa CDM angeitwa majina yote mabaya na kudaiwa kuwa amehongwa na adhabu yake ni kuvuliwa uanachama. Nadhani CCM imeonesha ukomavu na ustahimilivu wa kisiasa kwa kuruhusu wabunge wake kuwa na misimamo yao tofauiti na CDM ambako ni lazima ufuate msimamo wa chama hata kama unauona siyo sahihi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

PROF. BAREGU ni mfuasi wa serikali moja!!![/QUOTE]

Unajua yanayomkuta Himidi,aliyesema S3?
Tusubiri ya Keissy
 
ukitaka kuwa huru na kuwatetea wananchi wa TZ lazima utalazimika kujitenga na CCM. serikali ya ccm haina haibu,hivi nani mwenye hakili timamu unaweza kumuaminisha kwamba chadema ndio waliomuua Mwangosi wakati polisi waliomuua wanaonekana wazi kwenye picha na kila mtu
 
Huyu bwana ni kiboko aliyatamka hayo mbele ya Mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa kamati yake, walimpeleka kwa waandishi wa habari ili akanushe yeye akashindilia msumari wa moto na kuwaacha hawana la kufanya ,na picha yao ipo kwenye gazeti.

magamba watajuuuuuuta kumfahamu. wanamuambia amwagie maji moto uzimike, yeye anamuagia petroli ili moto uwake zaidi. asante ally keissy, wewe ni mzalendo wa kweli.
 
Watashindana....lakini hawatoshinda!TANGANYIKA itarudi tu mtake mstake!mtatuchelewesha....kamwe hamuwezi kutuzuia!
 
Bora hata wanaanza kujielewa mana mijitu mingine utafikiri imekula unga wa ndere!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Angekuwa CHADEMA angeitwa msaliti kwa kweda kinyume na msimamo wa chama, angeandaliwa waraka ukionesha alivyolipwa hela ili kisliti cham na kushughurikiwa ikiwemo kufukuzwa uanachama, nadhani bunge hili limesaidia kuonesha ukomavu wa demokrasia kati ya CDM na CCM
Usitafute justification kwa kitu ambacho ni Reality? Sentensi zako zinaonyesha you have been adversely impacted. Issue siyo demokrasia ndani ya vyama bali ni mantiki ya aliyosema Mh. Ally Kessy!
 
Angekuwa CHADEMA angeitwa msaliti kwa kweda kinyume na msimamo wa chama, angeandaliwa waraka ukionesha alivyolipwa hela ili kisliti cham na kushughurikiwa ikiwemo kufukuzwa uanachama, nadhani bunge hili limesaidia kuonesha ukomavu wa demokrasia kati ya CDM na CCM

Unamjua kessy, unajua alianzia siasa wapi?unajua alikomazwa kisiasa na chama gani?unayajua yaliyomkuta mpaka akahamia ccm.
Kwa taarifa yako Ally Mohamed Kessy ni product ya chadema, kilimchomtoa chadema ni serikali hii ya ccm, ilimkana kuwa sio raia wa Tanzania, wakamfuata na kumwambia ajiunge ccm, alipofanya hivyo akawa raia wa Tanzania.
 
Kama mnara wa baberi vile. Miccm imeshaanza kuvurugana yenyewe kwa yenyewe.

hahahaha! pokea LIKE mkuu, nimechekaje! magamba lazima wawe watulivu sindano iingie ili wapate kupona ugonjwa wa UNAFIKI unaowasumbua kwa zaidi ya nusu karne.
 
Baada ya kuona anaendelea, Profesa Mbarawa alirudi na kumshika mkono Kessy huku akisema; “Mheshimiwa Kessy twende bwana, maana ukimwacha huku huyu atazungumza mambo mengi

Hayo mengi yazungumzwayo na sisi wananchi kufichwa ni yapi?

CCM pasipo shaka kuna ukandamizaji mnaufanya na huenda mnabatilisha vifungu kadha wa kadha...

Wakati akiondoka eneo hilo, Kessy alipaza sauti akiwaambia waandishi wa habari: “Angalieni tunavyodhibitiwa, lakini msimamo ni huo wala sitayumba ngoja tukaendelee lakini mimi ndiyo mtoa habari namba moja.”

Hii ni aibu kwa nchi ya kidemokrasia yenye kutafuta katiba yenye usawa...
 
Magamba lazima mtaisoma namba mwaka huu, wapuuzi wakubwa! mnapinga maoni ya wananchi ili iweje? hata uadilifu, uwajibikaji na utu mnataka usiwepo kwenye katiba ili muendelee kuiba rasilimali za taifa? CCM is nothing but just A BUNCH OF TWITS!
 
Ni upuuzi mtu mzima na akili zako na watoto wako halafu useme unadhibitiwa!! Akili za CCM wanazijua wao wenyewe
 
Tusubili yataibuka mambo mengi sana ,kuna wabunge wa bunge maalum la katiba ambao wapo kwaajiri tu yaposho,na wanaamini kabisa kwamba katiba mpya haiwezi kupatikana bila malidhiano,watanzania wapenda madiriko tuungane tupaze sauti zetu ili mungu awatoe uchi wanafiki hawa wote,wa aina ya kina lisoli,mapelele,(lukuvi)Wametutelekeza wana iringa,nakwenda kutetea matumbo yao dodoma,na vibaraka wenzie wote wanao ikataa tanganyika,tusubiri unafiki niwa mda tu,ukweli unadum milele,ukombozi umekalibia, wanafiki wote sikuhiyo watakuwa uchi wakipepesa macho bila kusitiriwa maana dhambi hiyo itakuwa imewatafuna wote.
 
Back
Top Bottom