Mandingo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 5,531
- 6,593
Abarikiwe sana Ally Kessy huyu Deo Filikunjombe na mwenzake Kange Lugola ni wanafiki tu wanajifanya wanaipenda Tanzania mbona kwenye hili la katiba mpya wame fyata mikia na kua mbwa koko?
" ukiitwa mpumbavu kwa ajili ya haki na kweli , upumbavu huo una maana kubwa kuliko kusifiwa na watu wanaopenda dhuluma na hila hata kama ni wengi"
GOD BLESS LEMA.
" ukiitwa mpumbavu kwa ajili ya haki na kweli , upumbavu huo una maana kubwa kuliko kusifiwa na watu wanaopenda dhuluma na hila hata kama ni wengi"
GOD BLESS LEMA.