Wabunge wengi wa ccm akili zao wamezikabidhi kwa mwenyekiti wao ziwekwa kwenye kibuyu pale magogoni hapo dodoma wameachiwa kidogo tu za kuvukia Barbara na kuzomea tu.
niliambiwa kuna bendera ya tanganyika ila watanzania hatuijui ??!
Kwanini serikali tatu na kwanini serikali mbili apo ndo nataka kuelewa ??!
deo filikunjombe ???
unadhani wote walio bungeni wamekwenda kwa sala la katiba...Njaa mbaya, wengi wana saka tonge...ukiingia ndani ya mawazo yao wanapiga total bunge likiisha watakuwa wame make kiasi ganiIvi unadhan hao wliogoma kurudi bungeni ni wote wamependa? Mbowe anawaburuza kama misukule...!