Mjue rafiki wa Isaac Newton, Bw. John Wickins

Nikiwa chuo kuna jamaa alikuwa best student 3 years zote course zote na rafiki yake nilikuwa mm tuu .Na alikuwa anamaisha ya ajabu sana hakuwa na demu hatakuwahi nihadithia juu ya familia yake wala maisha yake ya nyuma .watu walikuwa wananiuliza mnaongeaga nn na jamaa hata mm nkawa sina jibu badae alipata sponsurship finland huko akafind love na anaishi huko ,I wish nimuone huyo shemeji yangu anafananaje maana jamaa nilikuwa nikimuuzi saa nne ananipigia simu nusu saa akiwa hakumbuki kitu pia sio muongeaji .
HII DUNIA INA MAMBO
Kitaalamu watu mageneous wote wana matatzo ya kiakili na watu hao hawawezi kuishi katika jamii, na huwa sio waongeaji watu middle class ndio watu wenye akili na ndio hufanikiwa kimaisha pia
 
My role model na Tesla
Rafiki yake mkubwa mwingine aliitwa Diamond, Diamond alikua mbwa wake aliyeishi nae baada ya kutoweza ku interact na watu. Inasemekana Asilimia 50 ya kazi za Newton zimeharibiwa na Diamond. Alikua anapenda kuchana chana na kuvunja vitu maabara.
So hii kazi iliyopo leo ni mabaki au nusu tu
Diamond platinumz au???
 
Diamond platinumz au???
Inaweza kuwa,jina linaweza kuboreshwa au kuwa tofauti lkn shart awe mbwa anaye bweka.Mwenzake si umeona kufika bongo kabadili jina hana hata time na hizo make zingine kiki za makusudi ye kabaki na lile jina habadili,wengine hawapendi kujitangaza umempata eeh ,yeebaba
 
Back
Top Bottom