Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 510
- 1,337
- Thread starter
- #121
Aisee...kila MTU anayekosoa ni mpiga dili..okMafisadi mbona mnalalamika sana
Aisee...kila MTU anayekosoa ni mpiga dili..okMafisadi mbona mnalalamika sana
Unamaana ganiSizonje tazama milango imefungwa watu wanapita madirishani...
Grammar Sheikh duh!Duh wapiga Deal on work
nani kasema contraction fiscal policy hazisaidii nchi kiuchumi?
unamsingizia bure tu bwana yule mwenyewe ndio tatizo hana uwezo wa kuongoza ana uwezo wa kutawala tu ndio maana anatawala tu ila hawezi kuongoza , 2020 sio mbali tutajuana tu safari hii hata wakiiba na sisi tunaiba ,safari hii wao ndio wanaibiwa
SijaelewaAnautwa Philip Mpango na si Philip Mipango.
Mnamuonea bure huyo waziri tatizo la Mtukufu JPM hashauriki anajua kila kitu acha tuishi kama mashetani
Uchumia hautaongezeka kwa kujenga miundo mbinu ama kununua ndege Mfano Hai wewe Kwenye familia yako unawambia tukaze mikanda nataka kununua gari halafu watoto hawali wanalala na njaa Maisha kwa ujumla ni shida kisa baba unataka kununua gari Tuna hitaji uchumi unao muongezea mwananchi kipato 'Welfare Economy'lawama zote kwa magu
binafsi SIMTETEI Magufuli, ila unavyo sema Rais Magufuli hashauriki UMEWAHI KUMSHAURI AKAKATAA?? au kuna Kiongozi wake yoyote aliye wahi mshauri Rais akakataa ushauri wake?? tuacheni maneno ya mitaani, maneno ya kusikia hayana ishuMnamuonea bure huyo waziri tatizo la Mtukufu JPM hashauriki anajua kila kitu acha tuishi kama mashetani
Uchumia hautaongezeka kwa kujenga miundo mbinu ama kununua ndege Mfano Hai wewe Kwenye familia yako unawambia tukaze mikanda nataka kununua gari halafu watoto hawali wanalala na njaa Maisha kwa ujumla ni shida kisa baba unataka kununua gari Tuna hitaji uchumi uno muongezea mwananchi kipato 'Welfare Economy'
Nadhani hapa kuna kasoro ' Uchumi haujengwi kwa kutengeneza MIUNDO MBINU... ni kweli kabisa kuwa njia moja wapo ya kukuza uchumui ni KUJENGA MIUNDO MBINU... soma tena vitabu