Mjue mshauri wa Rais Magufuli anayedumaza uchumi

Mjue mshauri wa Rais Magufuli anayedumaza uchumi

Mtukufu alisema mission yake ni kuwabadili waishi kama mashetani.
 
Tulia sindano iingie vizuri! Dr Magufuli move on, Mpango Move on!
 
umeongea point sana mtoa mada .hata raisi wetu akatujengea madaraja na mabarabara lakini kama wananchi hawana amani kwa ajili ya shida za maisha ataonekana hajafanya kitu .biashara zimeanguka sana .na kwa sasa ni kama vile serekali inamkamua ngo'mbe damu badala ya maziwa .wafanya biashara wote wako hoi hata uwezo wa kuagiza umekatika .tutafute soluhisho bila hasira wala siasa
 
Kwa taarifa tu amayeshinda ikulu ni Dotto au hujui ni kabila moja?Angesikilizwa Mipango wala tusingekua hapa...Mipango ni mwanafunzi wa Ndullu kumbuka..real driving force ni Permanent Secretary na sio Braza waziri
 
Lakasa Chika7 nakumbuka nilikuwa na mjadala mkali sana na wewe mwanzoni mwa utawala huu wa awamu ya tano. Nashukuru umeona kile nilichokuwa nakipigania sasa kikitokea.

Hapa nikupongeze kwa kuja na swali nzuri mno ambalo nimeliuliza mara kadhaa humu. Swali ambalo huyo mchumi mshauri hakutaka kulijibu kabla haja implement "contractionary fiscal policy combined by contractionary monetary 'decisions' kama zile za kupunguza bank deposit ratio".
 
Ushauri wako ni mzuri but kwa mtazamo wangu based on history, Mpango hapa unambebesha lawaza za bure; natoa mfano Wa wizara ya fedha kutohusika na haya, mkuu unakumbuka sakata la fedha za matumizi ya kawaida za TRA? Board iliamuru fedha zile kuwekwa fixed deposit account kwenye mabenki ya biashara, what happened brother? Mkuu aligoma na fedha zilirudishwa BOT na board kuwajibishwa. Utakua unataka kujua why namtetea waziri Wa fedha kwa sakata hilo, members wa board ile walio amuru pesa kuwekwa FDA Katibu mkuu wa wizara ya fedha nae yupo. So tunaweza kusema may be yapo mambo wanayo shauri lakini utekelezaji wake unabishaniwa. Kwa mfano huo, namtetea Dr. Mpango na katibu mkuu wake katika sakata hili.
 
Right person for Ministry Planning and Finance is Hon. Mwiguli Nchemba the rest will be at learning curve for sometimes
 
Pigana kumuondolea pepo la kiburi kwanza ndo mengine atakuja kuyaelewa mwenyewe

Kabisa mkuu pepo hili la kiburi likimtoka nchi itapiga hatua kubwa. Huwa anasema aombewe nafikiri cha muhimu kabisa anachotakiwa kuombewa ni kuondokana na pepo la kiburi ili aweze kupata busara na hekima ya kutuongoza Watanzania!

Binafsi nashangaa sana nchi inapohimiza ukusanyaji wa kodi wakati mwelekeo wa serikali hivi sasa ni kuua private sector. juhudi zilitakiwa kuelekezwa katika kuwezesha ukuaji wa sekta binafsi ili kuwe na reliable and sufficient tax base, sasa wao wanaiua private sector na wana-encorage government to government businesses, while government entities hazilipi kodi! Hiki ni kioja cha mwaka.
 
..Dr.Mpango alikuwa mshauri wa uchumi wa JK.

..baadaye akateuliwa kuwa katibu mtendaji tume ya mipango.

..halafu tra na sasa ndiyo Waziri wa Fedha.

..sasa inabidi tujiulize kwanini fiscal policies za wakati wa JK ni tofauti kabisa na za JPM.

.
 
..Dr.Mpango alikuwa mshauri wa uchumi wa JK.

..baadaye akateuliwa kuwa katibu mtendaji tume ya mipango.

..halafu tra na sasa ndiyo Waziri wa Fedha.

..sasa inabidi tujiulize kwanini fiscal policies za wakati wa JK ni tofauti kabisa na za JPM.

.
We jamaa unakili sana..nimekuelewa
 
We jamaa unakili sana..nimekuelewa

..LOL!!

..JPM pia alipata kusema kwamba yuko mtu alimwambia suala la "fixed deposit accounts" haliwezekani. JPM akamwambia kama hataki kutekeleza awasilishe barua ya kujiuzulu.

..I am not making this story up. Tafuta hotuba za JPM utadhibitisha ninachokisema.

..hotuba hiyo ya JPM inaweza kutupa mwangaza wa mahusiano yake na wataalamu waliomzunguka.
 
2020 sio mbali?, labda kwako, sisi wengine tumemchoka kabisa tunataka hata kesho atoke, aende akalime mashamba yake
Wewe ndie umemchoka sisi wengine tunataka atawale hata milele azidi kutunyosha,badala ya kufanya kazi halali wewe umebaki unalalamika na keyboard humu JF.
 
nani amshauri baba yake Faru, mzee Jonh? ashakataa kushauriwa, kukosolewa, wala kufanya jambo linaenda kinyume na anavyowaza. hata uwe wairi mkuu, ukitaka kufanya kazi, unatakiwa ukamuulize nifanyeje mzee. mwenye kosa ni baba yake Faru, mzee John.
 
Back
Top Bottom