Mjue mshauri wa Rais Magufuli anayedumaza uchumi

Mjue mshauri wa Rais Magufuli anayedumaza uchumi

Serekali ya waha hii. Kuna vichwa kama 6 vya kiha! Mpaka jiwe mwenyewe muha kama mlikuwa hamjui! Hii chato ni kama vile lemutuz bwa mdogo mondi ajiite mzaramo! Kwa taarifa yenu mpaka yule mnayemwita mkwere asili yao ni kigoma. Hivi kwanini zito kabwe anongea sanaaa lakini ah wala haguswi! . dhuluma ya mchonga kwa watu wa magharibi jk katuokoa kwa kutuletea jiwe! Magu for life!
 
Analysis nzuri. Naomba niongezee kitu kwenye mistari ya mwisho; suala la wasaidizi wa Ikulu lisiwe kuondoka kwa President ndo aondoke nao, la hasha...bali wenye kuweza kuleta tija waendelee nae. Hii itakuwa ni mara ya pili marais wetu wanaikwepa nadharia ya CONTINUITY hususan ya yale mazuri ya watangulizi wao.
 
Leave away recession

Mnajua tofauti ya ukuaji wa kiuchumi na maendeleo ya watu katika nchi?

Je uhusiano uliopo kati ya hivyo viwili?

Ikiwa mnajua...elezeeni with supporting data sio mjibu tu kiilimradi.

Karibuni...
Hapo ndipo tunapopaswa kupasimamia.Kuna faida gani ya makaratasi yenye maandishi yanayokinzana na hali halisi ya maisha ya Mtanzania?
 
Serekali ya waha hii. Kuna vichwa kama 6 vya kiha! Mpaka jiwe mwenyewe muha kama mlikuwa hamjui! Hii chato ni kama vile lemutuz bwa mdogo mondi ajiite mzaramo! Kwa taarifa yenu mpaka yule mnayemwita mkwere asili yao ni kigoma. Hivi kwanini zito kabwe anongea sanaaa lakini ah wala haguswi! . dhuluma ya mchonga kwa watu wa magharibi jk katuokoa kwa kutuletea jiwe! Magu for life!
silly
 
ni viwanda vya aina gani vinavyoanzishwa? wakati watu wanapiga keleel kwamba, kurosho hazina soko,mahindi hayana soko,kahawa haina soko,mawese hayana soko,mpunga hauna soko,mbahazi hazina soko
 
Likwelile aliondolewa kama kuku, kwa sababu anatoka kusini, karibu na kwa membe, leo kurudi, atasomewa mashtaka kisutu
 
Mnanichekesha hapo tu mnaposema uchumi mzuri, Tanzania haijawahi kuwa na uchumi mzuri kutolea mifano.
Mkapa,Kikwete wote wanaingia kwenye kundi la waliofeli sababu hawakuweza kabisa kututoa kwenye lindi la umasikini.
Hao wazungu mnaowaona ni watu na wanatutishia tishia hawajawahi isaidia nchi yako kutoka kwenye umasikini kwa miaka 20 ya JK na Ben. Leo mnawaogopa kwa kila wasemacho.
Hebu tumuacheni Jiwe afanye kazi yake na amalize muda wake, hebu tumuacheni ajaribu kufanya kwa njia zake ambazo hatukuzizoea.
 
Serekali ya waha hii. Kuna vichwa kama 6 vya kiha! Mpaka jiwe mwenyewe muha kama mlikuwa hamjui! Hii chato ni kama vile lemutuz bwa mdogo mondi ajiite mzaramo! Kwa taarifa yenu mpaka yule mnayemwita mkwere asili yao ni kigoma. Hivi kwanini zito kabwe anongea sanaaa lakini ah wala haguswi! . dhuluma ya mchonga kwa watu wa magharibi jk katuokoa kwa kutuletea jiwe! Magu for life!
Ujinga mtupu
 
Magufuli tunakuomba mtoe waziri wa fedha na huyu msaidizi wake Katibu Mkuu bado mdogo kwa majukumu hayo. Senior officer to katibu mkuu wa wizara sidhani katibu mkuu wa wizara sidhani kama ataweza kumchallenge mshauri wako (waziri)

SIPANGIWI MIMI
 
Ivi yule GOVERNOR mtaalamu wa kodi na sio uchumi bado yupo ?
mwambieni uzi huohuo licha ya kushauri tukamuliwe ili malimbukeni wapate hela ya kuhongea na kufanyia ukuwadi, bado tunadunda.
 
Bora tushauri maana hali ni mbaya sana 'there is uncertainty of life,
you can't plan. things are at stand still' tunahitaji aina ya uchumi wa kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja 'walfare economy'
 
Back
Top Bottom