Mjue mshauri wa Rais Magufuli anayedumaza uchumi

Mjue mshauri wa Rais Magufuli anayedumaza uchumi

Umaskini wa hii nji,ni ile dhana ya kutaka MATAJIRI kuishi kama MASHETANI.

Huwezi kuwachukia matajiri katika taifa lako,alaf ukafanikiwa katika maendeleo ya nji yako,,,NEVER ON THIS EARTH.
Wapi alitaka matajiri waishi kama mashetani?
 
chochote ambacho kinaongeza kipato kinakuza uchumi.... mfano baba anapata dollar 200... watoto watapata chakula... kesho akapata 50000 kila mtu ndani ya nyumba happy...

TATIZO NI HILI HAPA: watu bado wanamazoea ya serikali na maisha ya nyuma MBAYA zaidi watu wamepata shock : (mentally, spiritually, physically, emotionally) HAWAKUTEGEMEA kama maisha yangebadilika hivi HAKUNA KITU kizuri na kibaya UKIPATA MTU mwadirifu kama (JPM) watu wanaweza kusema wamerogwa KUMBE hawataki changes... wakati "change is constant " ANGALIA MTU AKIFA watu wanavyolia, wanaogopa change.. wakati kufa ni lazima. MABADILIKO NI LAZIMA ktk kila maisha ya binadamu (soma change mgt).. WATU WALIOFANIKIWA WOTE duniani au nchi zao "they do not resit changes.".....TUTAFIKA TU MBONA RAISI HUYU NDIE TULIYEKUWA TUNAMWOMBA MUNGU KILA SIKU...tusiogope changes.... waliopita ndio walikosea
 
Nadhani hapa kuna kasoro ' Uchumi haujengwi kwa kutengeneza MIUNDO MBINU... ni kweli kabisa kuwa njia moja wapo ya kukuza uchumui ni KUJENGA MIUNDO MBINU... soma tena vitabu
Miundo mbinu ni sawa inakuza uchumi lakini huwezi kujenga miundo mbinu huku wananchi wako wanakufa njaa
 
Mpango must go kwa kweli!
The guy has no vision on the MICROECONOMY which millions of Tanzanians liveby!

Kwa ushauri wangu, Mkuu afuate sera zote za uchumi za JK ila tu aongeze component ya kuzuia Ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma atafanya wonders
Nachojua ni kwamba ukiona kiongozi ameshindwa kuvumiliwa na JK na hivyo kumuondoa kwenye position au kuonekana fhahiri kushindwa ku-deliver, chini ya JOM hatoweza kufanya chochote. JK was really a leader.
 
nani kasema contraction fiscal policy hazisaidii nchi kiuchumi?
Swala watu waeleweshwe what is "contractionary fiscal policy"?
Kwa sisi tusiojuwa mambo ya uchumi ebu tuangalie Google wanailezea kivipi..

Contractionary fiscal policy
is a form of fiscal policy that involves increasing taxes, decreasing government expenditures or both in order to fight inflationary pressures. Due to an increase in taxes, households have less disposal income to spend. Lower disposal income decreases consumption.

How does contractionary fiscal policy affect GDP?

This is known as expansionary fiscal policy. Conversely, in times of economic expansion, the government can adopt a contractionary policy, decreasing spending, which decreases aggregate demand and the real GDP, resulting in a decrease in prices. ... The effects of fiscal policy can be limited by crowding out.

How does contractionary fiscal policy affect unemployment?

Contractionary fiscal policy is most often used during periods of high inflation when policy makers believe contracting the economy (and thereby reducing inflation) is possible with either no impact on or minimal reductions in real output, causing small increases in unemployment that would be considered acceptable.

What is the main purpose of contractionary fiscal policy?
Contractionary fiscal policy is the reduction of aggregate demand via tax increases or reduction of government spending. Monetary policy can be used to fight inflation by increasing interest rates, increasing the reserve requirement or unloading assets off the central bank's balance sheet.23 Jun 2015

Baada ya hapo ndiyo tujiulize, je Magu anatupeleka pazuri au pabaya?
 
Acha uongo mshauri wa rais wa mambo ya uchumi sio Dr Mpango.
 
nani kasema contraction fiscal policy hazisaidii nchi kiuchumi?
Kwa jinsi fiscal policy ilivotolewa ufafanuz hata na Mh bashe.. Kwa kweil hzisaidii inchi kiuchumi mkuu.... Yani utegemee ukusanyaji kodi tu bila investment za maana af unategemea uchumi ukue? Iv vinavoitwa viwanda lzm viwe linked na uwekezaji wa kilimo... Sasa Ken mipango ya Mh mpango hiyo haipo.... Mbona hata UK walianza na kitu inaitwa agrarian revolution then industrialization.... Sasa sisi kwa nini hatuanzii kuwekeza Ken kiliomo Kwanzaa?
 
Kwa jinsi fiscal policy ilivotolewa ufafanuz hata na Mh bashe.. Kwa kweil hzisaidii inchi kiuchumi mkuu.... Yani utegemee ukusanyaji kodi tu bila investment za maana af unategemea uchumi ukue? Iv vinavoitwa viwanda lzm viwe linked na uwekezaji wa kilimo... Sasa Ken mipango ya Mh mpango hiyo haipo.... Mbona hata UK walianza na kitu inaitwa agrarian revolution then industrialization.... Sasa sisi kwa nini hatuanzii kuwekeza Ken kiliomo Kwanzaa?

Tusiangaliae wengine walifanya vipi?.. tuangalie tutafanya vipi hapa home kwengine kuwe referrence... tujiamini (hili ndio tatizo la africa) na sababu elimu ni tatizo.
 
Tusiangaliae wengine walifanya vipi?.. tuangalie tutafanya vipi hapa home kwengine kuwe referrence... tujiamini (hili ndio tatizo la africa) na sababu elimu ni tatizo.
Ukisema tusianglie kwingin walivofanya basi hata umuhimu wa kusoma usingekuwepo mkuu.... Dat y kuna kitu kunaitwa role model.. Hii zana inaaply kote tu... Simanishi tufanye direct Kama walivofanya hapana ni lzm tuwaige lkn kwa kuangalia mazingira yetu..... Sasa unaachaje kuwekeza Ken kilimo af utegemee uchumi ukue au uanzishe viwanda? Unatoa Wapi raw materials mkuu, how could you feed industrial workers,......... Tupo Ken low industrial base af ndo unataka utegemee kodi ya hao tu ili upandish uchumi.. Hio haipo mkuu..!

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
hapa ndio tatizo.... tutagoogle mpaka yesu arudi.. tuna watu wa uchumi (wakuclaim) kama wewe wengi sana na Maphds mfano lipumba Lakini nCHI MASIKINI na wao hawajielewi wako wapi wanakwenda wapi ?mmekalia politiki tu.. . Kuna watu hajui hata google na kingereza chako wako mbali kiuchumi. HAPA... TUNATAKA VITENDO sio kuclaim .......wewe umesoma uchumi utakuta hata huma saving ya maisha yako . wala ujui huko wapi na unaenda wapi. kama wasomii wa tanzania
 
Huu sijui tuite Ujinga au Uwendawazimu.

Kosa la Mshauri liko wapi na je hivi kinachoshauriwa katika Uchumi kinafahamika na kila mmoja?Vya kuzingatia ni kuangalia je kiuchumi wakati makusanyo ya kodi yalikuwa yako chini na miradi mingi kukwama je M/Wa/shauri uchumi wa Rais a/wa/likuwa yu/wa/ko vizuri au Mshauriwa hakuwa vizuri?

Kiuchumi ukiangalia jambo la kufungwa biashara ukalinganisha na uangukaji wa Uchumi utakuwa hujaamua kuwa mkweli kutafuta sababu ya ufungwaji huo,kuna waliokuwa wanafanya biashara za ujanja na taasisi za Umma na kuna waliokuwa wanaingiza mizigo ya bila kulipa ushuru pia,kubanwa kwao lazima athari ionekane.

Kwa mageuzi ya kiuchumi tuliyonayo kwa mtu anayeangalia matokeo ya haraka ni lazima ATATOA KASORO na KUCHANGANYIKIWA MNO NA hasa anayekuwa na MTAZAMO WA KISIASA kitu kilichopo ni cha kupongezwa kwamba kwa njia moja na kipindi kifupi MIRADI iliyokwama kwa Ukosefu wa Fedha sasa inakamilishwa bado kuna kusimamia rasilimali ambazo kimsingi ndio msingi utakaosimamisha UKUAJI MZURI WA UCHUMI wa kupunguza/kuondoa UTEGEMEZI,haya mambo kama kiongozi hana M/Wa/shauri waliokuwa makini na yeye kutokuwa na msimamo usioyumba ni ANGUKO la CHALI .

Tuwape muda waliopewa dhamana badala ya kujihisi tuna uelewa mkubwa wa kujifafanua humu JF wakati tukiwekwa humo Serikalini kusaidia huo UCHUMI wa wote ndiyo tungekuwa WEZI kama siyo MAJIZI.
 
Ukisema tusianglie kwingin walivofanya basi hata umuhimu wa kusoma usingekuwepo mkuu.... Dat y kuna kitu kunaitwa role model.. Hii zana inaaply kote tu... Simanishi tufanye direct Kama walivofanya hapana ni lzm tuwaige lkn kwa kuangalia mazingira yetu..... Sasa unaachaje kuwekeza Ken kilimo af utegemee uchumi ukue au uanzishe viwanda? Unatoa Wapi raw materials mkuu, how could you feed industrial workers,......... Tupo Ken low industrial base af ndo unataka utegemee kodi ya hao tu ili upandish uchumi.. Hio haipo mkuu..!

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app

nimeandika wengine wawe reference ya tunakotaka kwenda wenyewe kwani hauna mtu atakaeye kupa VISION... vision ni yako wewe.. walikopita wengine ni refernce
 

naona bora JPM leo tunapata mda wa kuongele uchumi na kufindishana.. WENGIE WALIOPITA tungebaki kunywa bia, madawa, kuongeza wake.......MWAZO WA MAONGEZI NDIO mwazo wa njia...
 
Anautwa Philip Mpango na si Philip Mipango.

Philip Isidor Mpango - PhD ya Uchumi. Amewahi kuwa Msaidizi wa JK pale Ikulu ndipo akaja kuteuliwa na JK kuwa Naibu Katibu Mkuu Fedha (fiscal policy), baadae Katibu Mkuu Tume ya Mipango, alipokuja JPM akampa uKamishna Mkuu TRA na Sasa Waziri wa Fedha.

Kote alikopita Mungu ndio pekee anajua alichokifanya.
 
apa ndio tat hapa ndio tatizo.... tutagoogle mpaka yesu arudi.. tuna watu wa uchumi (wakuclaim) kama wewe wengi sana na Maphds mfano lipumba Lakini nCHI MASIKINI na wao hawajielewi wako wapi wanakwenda wapi ?mmekalia politiki tu.. . Kuna watu hajui hata google na kingereza chako wako mbali kiuchumi. HAPA... TUNATAKA VITENDO sio kuclaim .......wewe umesoma uchumi utakuta hata huma saving ya maisha yako . wala ujui huko wapi na unaenda wapi. kama wasomii wa tanzania
Naona una hasira sana na kuanza hata kuuliza kama nina Savings, badala ya kujibu hoja ya thread hii, wewe jibu hoja ya thread, weka point zako, tutakuelewa, tujenge nchi, ukianza shutumu wasomi na Phds zao na kina Prof Lipumba naona unakwenda nje ya mada, ebu fanya hivyo basi..jibu thread sio watu hujuwi na hutaweza juwa maisha ya watu humu...(Only small minds talk about people)..
 
WAKATI WA UCHAGUZI UTAKAPOFIKA
LOWASA ATKUWA ANASIMAMA KTK MAJUKWAA YA SIASA KISHA ANA SEMA
siniliwaambia.......
RAIA NDIIOOOOOOOOOO
LOWASA...haya nipeni KURA ZENU SASA...

LOWASA HTOKUWA NA MAJUKUMU YKUONGOEA MANANO MENGI ktk kampeni.. ILI KUWEZa kuwashawishi watu wa hili TAIFA
lenye wingi wa watu viziwi wakufikiri ...hata hivyo hofu yngu kuu akili zao kwakuwa zinauziwi hazitoweza kumskia nakujikuta tunaangukia pale pale ktk kisiki kilichotukwaa awali.....
 
naona bora JPM leo tunapata mda wa kuongele uchumi na kufindishana.. WENGIE WALIOPITA tungebaki kunywa bia, madawa, kuongeza wake.......MWAZO WA MAONGEZI NDIO mwazo wa njia...


hahahaa
 
Back
Top Bottom