Mjue mmiliki halali wa Wasafi Tv

Nina zaidi ya degree @ Nina masters.
Sijasoma marketing nime "specialize" in Economics, Finance, and Investment then am a FINANCIAL ANALYST.

Juu ya yotee uliyoandika ila Sheria ya hisa inasema "mwenye hisa nyingi ndio last say, hata mkipiga kura kwasababu yeye ana hisa nyingi lazima akufunike"" then owns all rights.

#YNWA
Last say kwenye hisa zake wala sio zako,hata Diamond ana uwezo wa kuliondoa jina lake la Wasafi lisitumike,endapo akiona hapati faida na huyo mwenye hisa kubwa hawezi kumfanya chochote,sio kuwa na hisa ndogo basi ndio moja kwa moja wewe mnyonge huna maamuzi.
 
".....uanze kufatiria miradi ya watu?" "
Umeelewa nilichokiandika au ni Lugha?

Nimekwambia...
Am the customer then am one of the mtu wa kufatilia because am there customer.

#YNWA
Not there customer, it should be their customer instead.
 
Dah mondi mjanja sana, hisa zote hizo 45% ni nyingi sana hasa ukizingatia yeye alichowekeza ni brand yake tu neno la wasafi ambalo lina ushawishi mkubwa sana huku wenzake wamwgharamia pesa.

huyo mwenye share 53% alijua kabisa hata angeanzisha chanel yake hivi hivi ingekosa ushawishi na ingeishia kuwa radio ya kawaida tu na ingechukua mda mrefu sana kufikia ilipo sasa.

Kumbuka tu hata ceo wa facebook ana miliki asilimia 25 tu ambayo sio controll lakini ni significant infkuence, hizo asilimia 45 za mondi ni nyingi sana tunapoziweka kwenye mgao wa faida, katika faida ya kila bilioni 1 mondi analamba 450 M yake kwasababu ya kuruhusu tu brand yake ya wasafi itumike kuleta ushawishi.

Huyo mwenye controll ni kwenye share tu, hawezi kumtikisa mondi, akijaribu yatatokea yale ya diamond karanga wale wahindi walivyodhani wanaweza kumpelekesha mondi karanga zikapotea jumla sijui zinaitwaje sikuizi.

Narudia tena share 45% ni nyingi sana, Tafuta mtu aliesoma mambo ya finance, axxounting, cpa, akuambie nguvu ya significant influence,

Na haoa kuna fununu kwamba kuna wazungu wanataka waje kuwekeza kamouni ya kubeti kwa kutumia jina la wasafi betting ili kampuni yao itoboe fasta nyuma ya ushawishi wa brand ya wasafi, Diamond yeye analamba asilimia zake tu za kuruhusu jina lake litumike, hayo mambo ya gharama za uwekezaji watajijua hao wazungu.

Kuzaliwa maskini haimaanishi utakufa maskini, Diamond anaendelea kuproove hii kauli kwa vitendo.
 
Jamaa yako yy kang'ang'ania "major shareholder.........last say..........",utazani huyo mwenye hisa ndogo sheria hamlindi na Mondi angekuwa na akili kama hizi naona hiyo Wasafi isinge kuwepo.

Yaani wewe unabrand lipo tu limekaakaa halikuingizii hela,anatokea mtu na mtaji wako anataka kuwekeza kupitia brand yako,still hapo hapo unataka kuwa "major shareholder....",kwa akili yake anadhani mwenye hisa ndogo sheria hamlindi.
 
Nina zaidi ya degree @ Nina masters.
Sijasoma marketing nime "specialize" in Economics, Finance, and Investment then am a FINANCIAL ANALYST.

Juu ya yotee uliyoandika ila Sheria ya hisa inasema "mwenye hisa nyingi ndio last say, hata mkipiga kura kwasababu yeye ana hisa nyingi lazima akufunike"" then owns all rights.

#YNWA
acha wivuu hater
 
Jamaa yako yy kang'ang'ania "major shareholder.........last say..........",utazani huyo mwenye hisa ndogo sheria hamlindi na Mondi angekuwa na akili kama hizi naona hiyo Wasafi isinge kuwepo.

Yaani wewe unabrand lipo tu limekaakaa halikuingizii hela,anatokea mtu na mtaji wako anataka kuwekeza kupitia brand yako,still hapo hapo unataka kuwa "major shareholder....",kwa akili yake anadhani mwenye hisa ndogo sheria hamlindi.
Wao wanazanigi mtu akiwa na shares 51% au zaidi basi ndio anaweza kuwatuma wengine wakamnunulie maji 😂😂 hapo mtu hajasoma hata company act ya Tanzania, hajui significant influence wala cha power, righs, responsibilties za mtu hisa 25% hadi 50%.

Ile ni kampuni aisee, na kampuni ni mtu katika macho ya sheria, nae ana haki zake, hata huyo mwenye hisa 53% hawezi kufanya choxhote tu atachojiskia, kuna utaratibu maalum, kuna articles of association, memorandum of association, company's act etc.

Hata hizo share 53% ni baadhi tu ya vigezo vya kuwa na controlling power, sheria inaruhusu hata mtu mwenye sharea kama za mondi yeye ndio awe na hio power, na huenda ikawa hivyo maana jamaa ni ceo kabisa, hao wengine naona huenda hisa zao ni kwajili ya kupata gawio la faida kulingana na asilimia zao tu.

Narudia tena Mondi mjanja anajitambua sana, Yani kuna wasanii wakubwa tu wana brand kubwa ila ndio hivyo tena brand zao haziwapi kitu ukiachana na hizi laki 1 za kusubiria mpaka fiesta
 
Acha ujinga uende mbinguni punguani wewe. Vijana wa mondi kwanini mnakuwa mazeze hivyo? Kwa Kusaga kumiliki kuna kuuma nini? Jamaa katoa darasa/elimu wewe unauliza anamiliki nin? Acha ujinga bana,au wivu
Bwashee na wewe unateseka hivyo kweli mekuu,tafuta hela acha ufala wewee,we kweli ni bwashee au mshua kabambakiziwa?
Yaani unamchukia kijana mpambanaji elimu ndogo kisa kakuzidi kipato,tafuta helaaa
 
Wao wanazanigi mtu akiwa na shares 51% au zaidi basi ndio anaweza kuwatuma wengine wakamnunulie maji 😂😂 hapo mtu hajasoma hata company act ya Tanzania, hajui significant influence wala cha power, righs, responsibilties za mtu hisa 25% hadi 50%.

Ile ni kampuni aisee, na kampuni ni mtu katika macho ya sheria, nae ana haki zake, hata huyo mwenye hisa 53% hawezi kufanya choxhote tu atachojiskia, kuna utaratibu maalum, kuna articles of association, memorandum of association, company's act etc.

Hata hizo share 53% ni baadhi tu ya vigezo vya kuwa na controlling power, sheria inaruhusu hata mtu mwenye sharea kama za mondi yeye ndio awe na hio power, na huenda ikawa hivyo maana jamaa ni ceo kabisa, hao wengine naona huenda hisa zao ni kwajili ya kupata gawio la faida kulingana na asilimia zao tu.

Narudia tena Mondi mjanja anajitambua sana, Yani kuna wasanii wakubwa tu wana brand kubwa ila ndio hivyo tena brand zao haziwapi kitu ukiachana na hizi laki 1 za kusubiria mpaka fiesta
Kwani wasafi ni corporate company au non corporate company..?

Taanzie apo kwanzaa..
 
dudu jeupe Naongeza pia hapo angekuwa mondi Hana nguvu asingeweza kuajili watu wake wa karibu na ndugu zake mfano mzuri romy Jones mkuu wa kitengo Cha Muziki department ndani ya Wasafi media, Ricardo Momo mtangazaji, Baba levo rafiki yake, Didah shaibu rafiki yake, Luakamba pia yupo kwenye graphics za Wasafi media
 
Wao wanazanigi mtu akiwa na shares 51% au zaidi basi ndio anaweza kuwatuma wengine wakamnunulie maji hapo mtu hajasoma hata company act ya Tanzania, hajui significant influence wala cha power, righs, responsibilties za mtu hisa 25% hadi 50%.

Ile ni kampuni aisee, na kampuni ni mtu katika macho ya sheria, nae ana haki zake, hata huyo mwenye hisa 53% hawezi kufanya choxhote tu atachojiskia, kuna utaratibu maalum, kuna articles of association, memorandum of association, company's act etc.

Hata hizo share 53% ni baadhi tu ya vigezo vya kuwa na controlling power, sheria inaruhusu hata mtu mwenye sharea kama za mondi yeye ndio awe na hio power, na huenda ikawa hivyo maana jamaa ni ceo kabisa, hao wengine naona huenda hisa zao ni kwajili ya kupata gawio la faida kulingana na asilimia zao tu.

Narudia tena Mondi mjanja anajitambua sana, Yani kuna wasanii wakubwa tu wana brand kubwa ila ndio hivyo tena brand zao haziwapi kitu ukiachana na hizi laki 1 za kusubiria mpaka fiesta
Wewe ndio kidogo una uelewa wa mfumo wa kampuni. Mleta mada anauelewa kwa sehemu tu mambo ya umiliki wa kampuni.

Anaamini share ndio only determinant factor ya kuwa na say kwenye kampuni. Tatizo ni mvivu kuandika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom