Wasafi Media Group Ltd na Wasafi Ltd ni kampuni tofauti

Wasafi Media Group Ltd na Wasafi Ltd ni kampuni tofauti

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Wasafi Media Group Ltd ndio wamiliki wa Wasafi Radio na Wasafi TV na mmiliki mkuu wa hisa (majority shareholder) ni familia ya Kusaga.

LAKINI,

Wasafi Limited inamiliki wasanii wa muziki Vanny, Lava Lava na Mbosso na wamiliki wakuu wa hisa ni Diamond na Bi Sandra, kama geresha tu, na nyuma ya mgongo Yuko Kusaga himself in personal.

Tusichanganye.
 
Kweli Kiba kawavuruga [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom