Mjue "Mbokoo" kibaka aliyewahi kuitikisa Kigamboni-Dar kabla ya kudhibitiwa kwa mbinde na Polisi

Dar tunalindwa na Bwana wa Majeshi aliye juu 🤣🤣🤣
 
Sina connection mkuu.aliyenipa alishakufa.na hata sijui inapatikanaje.

Dah..umenivunja moyo. Ndoto zangu za kuwa bilionea zimepotea! Maana ningempata mtaalam wa hiyo dawa ningekuwa naweka kambi kwenye masoko ya madini.. mwezi tu tayari nitakuwa na jina na heshima hapa mjini.
 
Yes nawajua wote hao pia kulikuwa na mwamba mmoja anaitwa ndovu alikuwa anakaa utemini kwao walikuwa wanafuga chui alikuwa ana nguvu balaa wanasema alikuwa kachanjia but hakuwa jambazi na pia kulikuwa na jambazi moja linaitwa kakakuona hilo jambazi limesumbua sana singida hilo jamaa mkilikimbiza likikata kona hamlioni tena huyo kakakuona alichinjwa na msumeno mchana kweupe na Mimi nikishuhidia
 
Usiwe mbishi kuna watu wanafanya mambo ya kimazingara kiasi kwamba risasi ikipigwa haimdhuru.. Uliza story za mtu anaitwa Jack Back, mgodi wa dhahabu(North Mara Gold Mine) Nyamongo ndio utaelewa huyo jamaa anachokisema.. Mpaka askari na bundiki zao walikuwa wakimuona ni mbio za kuokoa maisha.. Alitokea askari mmoja tena wa kike anatokea Kigoma ndie alimuweza huyo mwamba.. Kwanza alikuja eneo la tukio akiwa amegeuza suruali yake na akapitisha bunduki chini ya miguu kutokea nyuma, kilichofuata ni historia kwa huyo mwamba baada ya kutandikwa risasi 5, japo hakufa hapohapo mpaka yeye mwenyewe alipotoa siri kuwa anateseka wamchane mkononi watoe hirizi, ndipo akafa.. So mambo hayo yapo kbsaaa
 
Sasa hivi anaokota makopo tu, ameluwa fala sana.

Japo muda kidogo sijamuona mdau.
hahaha jamaa nakumbuka enzi hizo alikuwa anakuja na fuko lake la Nazi za wizi anawataiti walimu wote ofisini wanunue Sasa ole wako usinunue,alikuwa pia anatusave Sana wachelewaji tukiwa tunapewa adhabu alikuwa akija anaruhusu wote tusepe na mwalimu anapewa on your aache ukuda wa kutukamata
 


Wewe usikariri hadithi za vijiweni na kuzifanya zionekane ni ukweli.

Usichanganye uhalisia na mazingaombwe!!!---- Mazingaombwe ni hali ya kufanya jambo lionekane sivyo ndivyo, mfano anaweza mtu akapita mbele yako na usimuone, hayo ni mazingaombwe, zipo dawa ambazo watu wanachanja kwa ajili ya kuzuia panga, kisu, Rungu nk ili wasidhurike navyo na inafanya kazi kama vifaa hivyo vitatumiwa na mtu na mkononi kwa sababu nguvu ya mkono ni wastani kwa watu wengi hii ni tofauti na risasi mfano wa risadi ya SmG ambayo inatoka na (KE kinetic energy) kubwa mno kwa mwili wa mtu kuizuia isipenye.

Hakuna mwili wa binadamu katika historia ulioweza kuzuia risasi isipenye, labda iwe ni "Toy bullet".

Babu yako Kinjekitile Ngwale alijaribu na yaliyompata nadhani umesoma historia na unayajua.
 
we jamaa ni mbishi Kama Pumb** ....huelewi nadhani unahitaji kueleweshwa zaidi, kinachoshindikana risasi isipotezwe kimazingira ni nini? Kama panga linadunda, jiwe linadunda, mshale unadunda, itashindikanaje kwa risas ? the same procedure will apply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…