Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,227
!kiongozi makini hatakiwi hata kutuhumiwa kwa rushwa achiambali kuitoa au kupokea.
Lowasa Hana uthubutu wa kuikemea kwasababu sio msafi.
Yeye ndiye mhariri mkuu wa gazeti la Mwananchi kwa sasa.
Hii ni kwa sababu yeye ndiye aliyempa kazi Tido Mhando pale TBC. Na pamoja walifuja mabilioni ya shirika hilo la utangazaji.
Lowassa bado ameishika TBC Kupitia Susan Mongi ila siyo kwa nguvu sana kama wakati wa Tido.
anamzidi kwani kisasi chake hakiangalii ni mtu wa kada gani,anaweza kumuwajibisha hata mwanafunzi wa darasa la sabaanamzidi aliyeko madarakani?
ndo hapo tutajuahivi ukiuza ng'ombe wangapi unaweza kumwaga fedha kwa makada wote wa chama, kuanzia wilaya, mkoa, mpaka taifa?
nasikia hajuwi kiingereza.
Ukiweka majungu yako pembeni, hebu tuambie lowasa ana utajiri wa kiasi gani? usiishi kwa hisia ndugu, Unakumbwa na dhoruba tu kirahisi, no research(data) no right 2 speak. Juha mmoja akasema lowasa ana nyumba sijui wapi wapi mi nikajiuliza msomi huyu wa zamani aliyeshika madaraka kwa miaka lukuki posho zake hazitoshi kujenga mijengo? iweje kijana amiliki nyumba yeye mzee mzima ashindwe kumiliki mijengo kadhaa! hv wengine wanamiliki nn? acheni majungu, twendeni kwenye merits, hv mzee six angekuwa ndo pm angekubali kujiuzulu?
lowassa alituhumiwa, na yeye hakutaka kubishana na wanaomtuhumu ila alichunguza akaona kisa ni uwaziri mkuu, lowassa aliona wazi watendaji wenzake hawapendezwi na uchapakazi wake, na wakamuundia zengwesifa za lowasa
katika histori ya tanzania,
hajatokea mwanasiasa mtoa rushwa kama lowasa.
Hajawahi kutokea mwanasiasa aliyeonyesha tamaa kubwa ya urais kama lowasa.
Ametengeneza mtandao mpana wa wapambe ndani na nje ya chama chake kama lowasa.
Anatuhumiwa kugawa rushwa ndani ya chama chake lakini hatasikumoja hajasimama kuikemea rushwa au kukana hizo shutuma.
Anakashfa ya ufisadi wa mabilioni na alijiuzulu lakini mwenyewe hajawai kuuthibitishia umma kwamba hakuhusika.
Anatumia nguvu kubwa kujisafisha wakati angeweza kuanika ukweli hadharani kwa ushahidi kuwa hausiki then watanzania tukamuelewa.
Mwenye kujua sifa nyingine aongezee.
Ole wako mwalimu mkuu Paschal Mayega akusikie.SIFA ZA LOWASA
Katika histori ya tanzania,
hajatokea mwanasiasa mtoa rushwa kama lowasa.
Hajawahi kutokea mwanasiasa Aliyeonyesha tamaa kubwa ya urais kama lowasa.
Ametengeneza mtandao mpana wa wapambe ndani na nje ya chama chake kama lowasa.
Anatuhumiwa kugawa rushwa ndani ya chama chake lakini hatasikumoja hajasimama kuikemea rushwa au kukana hizo shutuma.
Anakashfa ya ufisadi wa mabilioni na alijiuzulu lakini mwenyewe hajawai kuuthibitishia umma kwamba hakuhusika.
Anatumia nguvu kubwa kujisafisha wakati angeweza kuanika ukweli hadharani kwa ushahidi kuwa hausiki then watanzania tukamuelewa.
Mwenye kujua sifa nyingine aongezee.
Ni kweli anadeliver sana akiona kuna mrija wa rushwa! kumbukeni mafuriko ya Lushoto na Korogwe miaka ya tisini mwanzoni akiwa waziri OWM Malecela alivyodeliver kwa kukwapua misaada ya maafa hayo na mpaka akaudhi kiasi alivyoweka jina lake kwenye urais 1995 aliulizwa swali moja tuna mwalimu, wewe mbona utajiri wako unazidi umri wako? Akajiondoa mapema kumpisha JK unataka ushahidi gani zaidi ya kujibu swali la baba wa taifa ambalo hadi leo hajalijibu? Kwanilazima tuongozwe na wezi wakati nchi haijaishiwa waadilifu?Na ndo maana namkubali sana El, ni jembe wala hakurupuki kujibujibu na ndo maana bado ni threat kwa wengi wenu. daima hutoa jibu kwa swali sahihi, watu wanaropokaropoka bila data wanataka tuwaamini huku tukijua wao wanamiliki nini. Mi nataka mtu anaedeliver sio longolongo tu. Leo tunalia vifaa na walim hamna tunasahau hata majengo hatukuwa nayo, jamaa alipigana na kufanikisha kwa mda mfupi sana, haya wengine wamefanya nn? Kimsingi nitamtetea daima yeyote yule ambae nimuona anaweza kutuvusha next stage. El akisema anatembelea sekta flani kuanzia bosi mpaka mfagizi tumbo joto. Chezea Edward Ngoyai Lowasa wewe! namkubali sana, hili ni jembe
Amevikamata vyombo vyote vya ulinzi na usalama kama JWTZ, TISS na POLICE. Pia viongozi wote wa dini wanamkubali na wanataka awe rais wa Tanzania 2015.
Mkuu kwani Susan Mongi bado yuko TBC! Mbona hasikiki? mara ya mwisho nilimuona mwaka 2008 alipo kuwa amekwenda
Merikani ku-report kuhusu uchaguzi wa Rais wa Taifa hilo.
Utajiri wake unathibitishwa nauwezowake mkubwa wa kugawa rushwa kuliko viongozi wenzie au unataka data kuwa benki fulani ana a/c hii na hi subiri wakati ukifika atashangazwa na wapambe wakeUkiweka majungu yako pembeni, hebu tuambie lowasa ana utajiri wa kiasi gani? usiishi kwa hisia ndugu, Unakumbwa na dhoruba tu kirahisi, no research(data) no right 2 speak. Juha mmoja akasema lowasa ana nyumba sijui wapi wapi mi nikajiuliza msomi huyu wa zamani aliyeshika madaraka kwa miaka lukuki posho zake hazitoshi kujenga mijengo? iweje kijana amiliki nyumba yeye mzee mzima ashindwe kumiliki mijengo kadhaa! hv wengine wanamiliki nn? acheni majungu, twendeni kwenye merits, hv mzee six angekuwa ndo pm angekubali kujiuzulu?
Atakuwa rais tu kama watu wote watakuwa marehemu hivyo ng'ombe ndio watakaomchagua, lakini kama watanzania wako hai atauota tu na kuusikia tu. Atahonga sana apate tiketi ya CCM lakini mwisho wa yote ni wa KULIZWANi rais wa Tanzania kuanzia 2015 hadi 2025.
He will just go through CCM only not BEYONDKuhusu richmond ile report iko public na hata humu ipo. ipitie tena mkuu ukiwa open minded, Halafu sikiliza speech yake ya kujiuzulu, fuatilia yaliyojiri pale watu walipolazimisha tuamini kawapa sumu, angalia wanavyokula za mbavu saa hizi, je unategemea watataka uamini nini? lazima tope zito apakwe ila aminia he wil go through.
Unatafuta mwanamme wa kukuhonga au unatafuta rais wa nchi? kama unatafuta mme muone kuwadi wake mkuu SelukambaLowasa ni mwanamume wa shoka,nijembe la kikwelikweli. Naomba mwenye kuratibu mtandao wake ani PM ili nami niwe kwenye mtandao wa kuhakikisha mwanamume huyu akitinga Magogoni 2015.
ushahidi umetolewa mpaka na mwasisi wa taifa hili kama wewe huutaki kwa sababu zako utafundishwa kuelewa 2015
Majungu sio mtaji; mwenye ushahidi 100% kuhusiana na tuhuma zote mnazosema za mzee huyo hapo juu wekeni wazi hapa jukwaani.
sasa mkuu facilitator hiyo facilitation yako mbona fupi sana? siyo mdini tu? ni mpenda makundi,anapenda kujikusanyia mali.Sio mdini.
sasa mkuu facilitator hiyo facilitation yako mbona fupi sana? siyo mdini tu? ni mpenda makundi,anapenda kujikusanyia mali.