SIFA ZA LOWASA
Katika histori ya tanzania,
hajatokea mwanasiasa mtoa rushwa kama lowasa.
Hajawahi kutokea mwanasiasa Aliyeonyesha tamaa kubwa ya urais kama lowasa.
Ametengeneza mtandao mpana wa wapambe ndani na nje ya chama chake kama lowasa.
Anatuhumiwa kugawa rushwa ndani ya chama chake lakini hatasikumoja hajasimama kuikemea rushwa au kukana hizo shutuma.
Anakashfa ya ufisadi wa mabilioni na alijiuzulu lakini mwenyewe hajawai kuuthibitishia umma kwamba hakuhusika.
Anatumia nguvu kubwa kujisafisha wakati angeweza kuanika ukweli hadharani kwa ushahidi kuwa hausiki then watanzania tukamuelewa.
Mwenye kujua sifa nyingine aongezee.
Katika chama chao, tuhuma bila kuthibitishwa hazina uzito sana na kuthibitisha suala la rushwa ni vigumu sana
SIFA ZA LOWASA
Katika histori ya tanzania,
hajatokea mwanasiasa mtoa rushwa kama lowasa.
Hajawahi kutokea mwanasiasa Aliyeonyesha tamaa kubwa ya urais kama lowasa.
Ametengeneza mtandao mpana wa wapambe ndani na nje ya chama chake kama lowasa.
Anatuhumiwa kugawa rushwa ndani ya chama chake lakini hatasikumoja hajasimama kuikemea rushwa au kukana hizo shutuma.
Anakashfa ya ufisadi wa mabilioni na alijiuzulu lakini mwenyewe hajawai kuuthibitishia umma kwamba hakuhusika.
Anatumia nguvu kubwa kujisafisha wakati angeweza kuanika ukweli hadharani kwa ushahidi kuwa hausiki then watanzania tukamuelewa.
Mwenye kujua sifa nyingine aongezee.
inawezekana, ila tujiulize, je hiyo sio njia ya kutafuta uungwajh mkono ktk kulifikia lengo?
Kwa nini usione kwamba anajua udhaifu wa waislam na kwa kuwa anataka kura zao, anajua pa kuwaingia ni kuvaa kanzu tu ili wakuone si mdini? Kanzu ni vazi la kiislam? Hujui kwenye kampeni mtu anajitahidi kubuni mbinu za kuvutia jamii zote ili aonekane anajali? Kukusanyika na wanaoonekana ni waislam na kuvaa kanzu si kigezo cha kutokuwa mdini. Zaidi ni mkakati wa kutimiza malengo yake yanayohitaji supports za watu wa jamii mbali mbali. LAKIN YOTE HAYO HAYAFUTI TABIA ZAKE ZA WAZI ZA U-RUSHWA, UFISADI,TAMAA YA URAISI NA UBINAFSI. Angekuwa na uchungu na TZ tungeona wakati amerabishwa uwaziri-mkuu. HAKUNA LOLOTE LA MAANA ALOLIFANYA ZAIDI YA KUSHIRIKIANA NA JK KUFANIKISHA MIKAKATI YA KIFISADI.Sio mdini.
SIFA ZA LOWASA
Katika histori ya tanzania,
hajatokea mwanasiasa mtoa rushwa kama lowasa.
Hajawahi kutokea mwanasiasa Aliyeonyesha tamaa kubwa ya urais kama lowasa.
Ametengeneza mtandao mpana wa wapambe ndani na nje ya chama chake kama lowasa.
Anatuhumiwa kugawa rushwa ndani ya chama chake lakini hatasikumoja hajasimama kuikemea rushwa au kukana hizo shutuma.
Anakashfa ya ufisadi wa mabilioni na alijiuzulu lakini mwenyewe hajawai kuuthibitishia umma kwamba hakuhusika.
Anatumia nguvu kubwa kujisafisha wakati angeweza kuanika ukweli hadharani kwa ushahidi kuwa hausiki then watanzania tukamuelewa.
Mwenye kujua sifa nyingine aongezee.
Kwa nini usione kwamba anajua udhaifu wa waislam na kwa kuwa anataka kura zao, anajua pa kuwaingia ni kuvaa kanzu tu ili wakuone si mdini? Kanzu ni vazi la kiislam? Hujui kwenye kampeni mtu anajitahidi kubuni mbinu za kuvutia jamii zote ili aonekane anajali? Kukusanyika na wanaoonekana ni waislam na kuvaa kanzu si kigezo cha kutokuwa mdini. Zaidi ni mkakati wa kutimiza malengo yake yanayohitaji supports za watu wa jamii mbali mbali. LAKIN YOTE HAYO HAYAFUTI TABIA ZAKE ZA WAZI ZA U-RUSHWA, UFISADI,TAMAA YA URAISI NA UBINAFSI. Angekuwa na uchungu na TZ tungeona wakati amerabishwa uwaziri-mkuu. HAKUNA LOLOTE LA MAANA ALOLIFANYA ZAIDI YA KUSHIRIKIANA NA JK KUFANIKISHA MIKAKATI YA KIFISADI.
Hana ujasiri wa kueleza chanzo cha utajiri wake....