Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,890
- 141,553
Sasa tumuulize GT kwa nini kiweka picha hiyo hapa in all its glory! Isn't he/she guilty of the same offence that he/she is accusing Muhidini of? Si angetuwekea tu link ili tuifuate huko huko alikoitoa?
Well, GT hajajiweka katika misafara ya Rais.
Moja, la pili, GT hajajipiga picha na li-dildo. Amebadinda picha ya Michuzi na li-dildo, picha ambazo hapa zinakubalika, muulize Kibunago.
Well, GT hajajiweka katika misafara ya Rais.
Moja, la pili, GT hajajipiga picha na li-dildo. Amebadinda picha ya Michuzi na li-dildo, picha ambazo hapa zinakubalika, muulize Kibunago.
Naaam ....Well, GT hajajiweka katika misafara ya Rais.
Moja, la pili, GT hajajipiga picha na li-dildo. Amebandika picha ya Michuzi na li-dildo, picha ambazo hapa zinakubalika, muulize Kibunago.
wewe game theory,kwanini michuzi can not be a presidential photographer,huyo aliopo sasa hivi ana merit gani zaidi ya michuzi,au by virtue ya yeye michuzi kuwa mtoto wa mjini disqualifies him? kuna times i try to analyse your postings,but frankly speaking me always seems to reach a dead end.To hate a player just for the sake of hating is a cardinal sin.its the game that we should hate
hafaiiiiiiiiiiiiii kabisssssaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!kama nduguyo samahani!!!!!!!!!
ila nampenda sana kija anapenda kusakizia mizoga wenzako huku akiyakimbia!!!
dat gud,na nyi ma cel...muwe makini kama kijana
Waafrika hatendelei na hatutaendela kwa wivu na chuki binafsi GT umechoka kumfananisha Makhoom na JK sasa mmemrukia Michuzi wa watu?una beef nae?Kama una beef nae hapa sio mahali pale kaka.
Michuzi hajashambuliwa, ameji undress mwenyewe akaweka picha kwenye intertnet.
Sasa watu wakiusema utupu wake watakuwa wamekosea?
Kubandika lile lipicha haimaanishi na haihusiani na utupu, kama yeye ni mtupu!
Hivi unajua kilicho mpata kutokana na kuendesha piki piki bila elmet? Mwaka jana mwezi wanane alikuwa anaelekea DOM kwenye sherehe za Nane Nane alipata ajali mbaya sana ambayo hadi leo ajaweza kuendelea na shughuli zake kutokana na mkono wake kupoteza mawasiliano.MUHIDIN ISSA MICHUZI NINAYEMFAHAMU MIMI SIKU ZA NYUMA ALIKUWA AKIKAA MAGOMENI MTAA WA IDRISSA(?)....PIA WAKATI ULE KWENYE ITV KULIKUWA NA KIPINDI CHA KITIMOTO KILICHOKUWA KIKIENDESHWA NA RAFIKI YAKE PASCAL MAYALA....(ambaya naye toka siku nyingi huwa anaendesha racing motocycle bila helmet....stimes kukiwa na wasichana warembo tofauti)).........!
MORE ABOUT MICHUZI.....?
Hivi unajua kilicho mpata kutokana na kuendesha piki piki bila elmet? Mwaka jana mwezi wanane alikuwa anaelekea DOM kwenye sherehe za Nane Nane alipata ajali mbaya sana ambayo hadi leo ajaweza kuendelea na shughuli zake kutokana na mkona wake kupoteza mawasiliano.
Mkuu hujachanganya habar hapa? nilidhani aliyepata ajali mwaka jana akienda DOM ni Pascal Mayala (TBC) au?
Alafu kama aliumia mkono hata angekuwa na Helmet bado mkono ungepata madhara. sidhani kama helmet inakinga mpaka mikono na miguu, kwa hiyo hayo sio madhara ya kutovaa Helmet labda tuseme kuendesha kasi au sababu nyingine
Aliye pata ajali ni Pascal Mayala.ambae ndio nime mzungumzia labda umenielewa vibaya.Mkuu hujachanganya habar hapa? nilidhani aliyepata ajali mwaka jana akienda DOM ni Pascal Mayala (TBC) au?
Alafu kama aliumia mkono hata angekuwa na Helmet bado mkono ungepata madhara. sidhani kama helmet inakinga mpaka mikono na miguu, kwa hiyo hayo sio madhara ya kutovaa Helmet labda tuseme kuendesha kasi au sababu nyingine
Huyu bwana ni kibaraka wa wakubwa na kwa ujumla ni mtu mwenye kujipendekeza kwa waheshmiwa na vigogo. Alishapigwa mkwara kabla kuwa aangalie watu wanachochangia kwenye blog yake au wataanza kumnyima safari za nje, akafyata.
Je safari za nje ni za maana zaidi kuliko maslahi ya taifa?