Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake

Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake

Usipende kuhukumu,sikiliza pande zote ndo uongee mawazo yako,Siamin kwamba Lipumba anaweza kuhangaika na cuf toka mwaka 1995 mpaka leo hii ndio ajiondoe uanachama bila sababu???Hata Slaa ajiondoe tu bila sababu? Naamin wote wanapenda mabadiliko but kuna kitu ambacho kimo ndan ya ukawa kilichowakera

Hajajiondoa uanachama ila amejivua wenyekiti au wewe una chanzo kingine cha habari?
 
Tunajianda na kusubili kwa hamu sana safari yetu ya matumaini kwani muda umekaribia na ushindi wetu wa kishindo unakaribia.Tuungane pamoja kumpokea EL rais wetu ajaye na kipenzi cha watanzania wote wenye kuitakia nchi mafanikio makubwa.Wakati wa maamuzi magumu umefika watanzania tushirikiane na kwa umoja wetu tutashinda.
kamagufuli kamekimbila wapi jameni
 
IMG-20150801-WA0125.jpg

Edward Ngoyai Lowassa alizaliwa tarehe 26 August 1953, katika kijiji cha Ngarash wilayani Monduli mkoa wa Arusha, akiwa ni mtoto wa 4 kati ya watoto 23 wa mzee Ngoyai Lowassa.

Edward Lowassa amemuoa Regina Lowassa na kujaliwa kupata watoto watano, watatu wakiume na wawili wa kike.

ELIMU:
1961 - 1967: shule ya msingi Monduli
1968-1971: shule ya sekondari Arusha
1972 - 1973: St. Marry's High School (Milambo High School) Tabora.
1983 - 1984: Chuo Kikuu cha BATH Uingereza M.Sc (Development Studies).

UZOEFU KAZINI:
1977-1978: Katibu Msaidizi ccm mkoa wa Shinyanga
1979-1982: Katibu Mtendaji ccm mkoa wa Arusha.
1983-1985 - Katibu mkuu msaidizi ccm Mkoa wa Kilimanjaro.
1985-1995 - Mbunge wa umoja Vijana wa ccm.
1989-1990 - Mkurugenzi Mtendaji Kituo cha mikutano cha kimataifa (AICC) Arusha.
1990-1993 - Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais anayeshughulikia sera, Uratibu Bunge, Maafa namasuala ya mahakama.
1993-1995 - Waziri wa Ardhi, nyumba na maendeleo ya miji.
1995-2005 - Mbunge wa Monduli (ccm)
1995 - 2000 - Waziri nchi ofisi ya makamu wa Rais Mazingira, Muungano nakuondoa umasikini.
2000 -2005 - Waziri wa maji na maendeleo ya mifugo.
Desemba 2005 Februari 2008 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
1985 - 2005 - Mbunge wa Monduli (ccm)
2010 - 2011 - Mwenyekiti Kamati ya bunge ya ulinzi na usalama na mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa .
2011 - 2015 - Mwenyekiti kamati ya bunge ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.

28/07/2015 - Kujitoa CCM na kujiunga na CHADEMA

Mhe. Edward Lowassa ni shabiki wa michezo na alikuwa mchezaji mzuri wa mpira wa kikapu.
 
CV mbovu kabisa, katika maisha yake kaajiriwa kwa mwaka mmoja tu,
 
Aisee wasifu safi sana 1983 - 84 chuo kikuu cha KUOGA (BATH) UK, Msc. Dev studies mwaka mmoja!!! iko vizuri sana safari ya matumaini kuelekea uraisi
 
Jana nilimsikia Mheshimiwa Edward Lowasa akisema Kikwete amesabisha maisha kuwa magumu, ni kweli tangu aingie madarakani maisha yamekuwa yakipanda, EL akatoa mfano kipindi JK anaingia ikulu kg moja ya sukari ilikuwa 650/= sasa ni sh 2300/=. Lakini LOWASA hawezi kujitenga na maisha kuwa magumu kwaani alikuwa ni sehemu ya utawala wa CCM, mfano akiwa waziri mkuu mfumko wa bei ulikuwa ukipanda, je alifanya nini? LOWASA kaifanyia nini Tanzania mpaka ajipambanue kuwa mtetezi wa wanyonge?

angalia mfumko wa bei kipindi akiwa waziri mkuu:-

Year Inflation, average consumer prices
2005 4.359 LOWASA WAZIRI MKUU
2006 5.612 LOWASA WAZIRI MKUU
2007 6.251 LOWASA WAZIRI MKUU
2008 8.405 LOWASA WAZIRI MKUU

2009 11.826 PINDA WAZIRI MKUU
2010 10.496 LOWASA WAZIRI MKUU

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Tanzania Government
[/TD]
[TD]Prime Minister
[/TD]
[TD]2005
[/TD]
[TD]2/8/2008
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry of Water and Livestock Development
[/TD]
[TD]Minister
[/TD]
[TD]2000
[/TD]
[TD]2005
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]State, Vice President's Office
[/TD]
[TD]Minister for Environment & Poverty
[/TD]
[TD]1997
[/TD]
[TD]2000
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania
[/TD]
[TD]Member - Monduli Constituency
[/TD]
[TD]1995
[/TD]
[TD]2015
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry of Lands, Human Settlement Development
[/TD]
[TD]Minister
[/TD]
[TD]1993
[/TD]
[TD]1995
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]State, Prime Minister's Office and First Vice President
[/TD]
[TD]Minister (Judiciary &Parliamentary Affairs)
[/TD]
[TD]1990
[/TD]
[TD]1993
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Lowasa urais atausikia TBC TAIFA hatuna muda na majizi
 
Ameshatoka ndani ya CCM, ongelea waliomo kama wana uwezo wa kubadilisha maisha ya watanzania hasa wale maskini, kama kweli chama chao kilichoongoza kwa ziadi ya miaka 50 ghafla bin vuu kinaweza kuwaletea watanzania ahueni ya maisha.

EL kwa sasa yupo CHADEMA na atafuata misingi na ilani ya chama cha CHADEMA na washirika wake. Hivi mbona mnahaha sana na ujio wa EL CHADEMA, kuna nini?? Mnaogopa mafuriko?? mbona nasikia mna mbinu mpya za bao la mkono sasa wasiwasi wa nini ndugu zanguni si mtaitumia hiyo !!

Ushauri: Tulieni dawa imeanza kuwaingia!!
 
Ndio mana katoka nje ya mfumo mbovu wa CCM na kuungana na ukawa ili kuleta badiliko la kweli
 
Jana nilimsikia Mheshimiwa Edward Lowasa akisema Kikwete amesabisha maisha kuwa magumu, ni kweli tangu aingie madarakani maisha yamekuwa yakipanda, EL akatoa mfano kipindi JK anaingia ikulu kg moja ya sukari ilikuwa 650/= sasa ni sh 2300/=. Lakini LOWASA hawezi kujitenga na maisha kuwa magumu kwaani alikuwa ni sehemu ya utawala wa CCM, mfano akiwa waziri mkuu mfumko wa bei ulikuwa ukipanda, je alifanya nini? LOWASA kaifanyia nini Tanzania mpaka ajipambanue kuwa mtetezi wa wanyonge?

angalia mfumko wa bei kipindi akiwa waziri mkuu:-

Year Inflation, average consumer prices
2005 4.359 LOWASA WAZIRI MKUU
2006 5.612 LOWASA WAZIRI MKUU
2007 6.251 LOWASA WAZIRI MKUU
2008 8.405 LOWASA WAZIRI MKUU

2009 11.826 PINDA WAZIRI MKUU
2010 10.496 LOWASA WAZIRI MKUU

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Tanzania Government[/TD]
[TD]Prime Minister[/TD]
[TD]2005[/TD]
[TD]2/8/2008[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry of Water and Livestock Development[/TD]
[TD]Minister[/TD]
[TD]2000[/TD]
[TD]2005[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]State, Vice President's Office[/TD]
[TD]Minister for Environment & Poverty[/TD]
[TD]1997[/TD]
[TD]2000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Monduli Constituency[/TD]
[TD]1995[/TD]
[TD]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry of Lands, Human Settlement Development[/TD]
[TD]Minister[/TD]
[TD]1993[/TD]
[TD]1995[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]State, Prime Minister's Office and First Vice President[/TD]
[TD]Minister (Judiciary &Parliamentary Affairs)[/TD]
[TD]1990[/TD]
[TD]1993[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Now you are talking,nadhani wadanganyika wameipata hii Kwamba umasikini wao si kwa sababu ya uvivu wao,wala mipango ya Mungu kama wadanganyika wengine wanavyoamini Bali ni wa kutengenezwa na ccm.Watz Kazi kwenu.Chagua ccm kwa umasikini wako, familia yako na Taifa lako.uchaguzi mwema
 
Lowasa urais atausikia TBC TAIFA hatuna muda na majizi
Mbaya zaidi serikali ya ccm inayoomba kuendelea kuweka madarakani na watz inawaogopa majizi.kwa haki Kabisa ili kunusuru mtoto wako dhidi ya mchawi,mpe amlee.Tz mpe jizi itakuwa salama kuliko kumkabidhi ccm anayeogopa mwizi tutaibiwa sana na orodha ya EPA.,ESCROW,Meremeta itakuwa ndefu mno
 
jana nilimsikia mheshimiwa edward lowasa akisema kikwete amesabisha maisha kuwa magumu, ni kweli tangu aingie madarakani maisha yamekuwa yakipanda, el akatoa mfano kipindi jk anaingia ikulu kg moja ya sukari ilikuwa 650/= sasa ni sh 2300/=. Lakini lowasa hawezi kujitenga na maisha kuwa magumu kwaani alikuwa ni sehemu ya utawala wa ccm, mfano akiwa waziri mkuu mfumko wa bei ulikuwa ukipanda, je alifanya nini? Lowasa kaifanyia nini tanzania mpaka ajipambanue kuwa mtetezi wa wanyonge?

Angalia mfumko wa bei kipindi akiwa waziri mkuu:-

year inflation, average consumer prices
2005 4.359 lowasa waziri mkuu
2006 5.612 lowasa waziri mkuu
2007 6.251 lowasa waziri mkuu
2008 8.405 lowasa waziri mkuu

2009 11.826 pinda waziri mkuu
2010 10.496 lowasa waziri mkuu

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]tanzania government[/TD]
[TD]prime minister[/TD]
[TD]2005[/TD]
[TD]2/8/2008[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ministry of water and livestock development[/TD]
[TD]minister[/TD]
[TD]2000[/TD]
[TD]2005[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]state, vice president's office[/TD]
[TD]minister for environment & poverty[/TD]
[TD]1997[/TD]
[TD]2000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]the parliament of tanzania[/TD]
[TD]member - monduli constituency[/TD]
[TD]1995[/TD]
[TD]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ministry of lands, human settlement development[/TD]
[TD]minister[/TD]
[TD]1993[/TD]
[TD]1995[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]state, prime minister's office and first vice president[/TD]
[TD]minister (judiciary &parliamentary affairs)[/TD]
[TD]1990[/TD]
[TD]1993[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

mbona mnajivua nguo wenyewe? Sasa tunataka utuambie lowasa amekuwa akipewa vyeo vikubwa mpaka waziri mkuu wakati yeye ni fisadi?

Acheni mawazo mgando, kwa nini fisadi anapewa vyeo vikubwa kiasi hiki? Au alikuwa amestaafu ufisadi wakati akiwa ccm?

Ccm ilipomteua kugombea ubunge monduli 2010lowasa hakuwa fisadi?

Wakati ccm na serikali yake wakimpa kuwa waziri wa maji lowasa alikuwa ameacha ufisadi?

Wakati ccm inampa lowasa uwaziri wa ardhi alikuwa amestaafu ufisadi?

Serikali ya ccm ilipo mpa nafasi ya mwenyekiti wa kamati ya usalama ya bunge lowasa hakuwa fisadi?

Maana yake ni kwamba nyie ndio wafugaji wa mafisadi na wezi

pooooooooooooooOOOOOOOOOOOOOOR
 
Kazi ipo mwaka huuu. . . . . . .. ila kwa Watanzania hawa hawa nothing will change
 
mbona mnajivua nguo wenyewe? Sasa tunataka utuambie lowasa amekuwa akipewa vyeo vikubwa mpaka waziri mkuu wakati yeye ni fisadi?

Acheni mawazo mgando, kwa nini fisadi anapewa vyeo vikubwa kiasi hiki? Au alikuwa amestaafu ufisadi wakati akiwa ccm?

Ccm ilipomteua kugombea ubunge monduli 2010lowasa hakuwa fisadi?

Wakati ccm na serikali yake wakimpa kuwa waziri wa maji lowasa alikuwa ameacha ufisadi?

Wakati ccm inampa lowasa uwaziri wa ardhi alikuwa amestaafu ufisadi?

Serikali ya ccm ilipo mpa nafasi ya mwenyekiti wa kamati ya usalama ya bunge lowasa hakuwa fisadi?

Maana yake ni kwamba nyie ndio wafugaji wa mafisadi na wezi

pooooooooooooooOOOOOOOOOOOOOOR

Nani kasema LOWASA siyo fisadi? LOWASA IS A BID FISADI hilo kila mtu anatambua, na CCM wamemlea muda mrefu na yeye katumia mwanya huo kwaani alikuwa anaona mbele. Swala la kuwa waziri mkuu au waziri katika serikali ya CCM haimaanishi alikuwa msafi. LOWASA aliingia mkataba na Kikwete wa kwenda ikulu kwa zamu, bahati mbaya Kikwete amemgeuka, na Ndivyo atakavyofanya akisha apishwa kama atanshinda Urais mwaka huu, MBOWE hatakuwa na uwezo wa kuwa nyapala wa Rais kwa kuwa tu ni mwenyekiti wa CDM.

UKAWA wamemchukua LOWASA kuwa mgombea kwa kuwa hawakuwa na presidential materials. ni hii ni udhaifu mkubwa wa vyama vyetu vya upinzani.
 
Hili jamaa linajidhihirisha wazi kwamba ni jizi lilokubuhu kwa mbinu zake za kuwaonga mafuta na pesa madereva wa bodaboda ili lionekane linakubalika mbele ya jamii wakati limechangia kwa kiasi kikubwa kuifikisha nchi hapa ilipo,halifai kabisa

Mkuu hili jizi limeifanyia nini nchi hii mpaka lijipambanue kuutaka Urais? kwaani linataka nini ikulu na vipesa linatumia.
 
Mbaya zaidi serikali ya ccm inayoomba kuendelea kuweka madarakani na watz inawaogopa majizi.kwa haki Kabisa ili kunusuru mtoto wako dhidi ya mchawi,mpe amlee.Tz mpe jizi itakuwa salama kuliko kumkabidhi ccm anayeogopa mwizi tutaibiwa sana na orodha ya EPA.,ESCROW,Meremeta itakuwa ndefu mno

Ni kweli tunayataka mabadiriko saaana lakini LOWASA siyo mtu sahihi wa kutuletea mabadiriko, ni sawa na kumuua binadamu mwenzako ili kupata utajiri, ni kweli unaweza kupata huo utajiri lakini njia uliyotumia siyo sahihi. kwa sasa UKAWA wako tayari kuingia ikulu by any means, watanzania tunataka mabadiriko saana lkn siyo kwa njia ya kuforce.
 
Back
Top Bottom