Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake

Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake

Hii mtu inaumwa aisee, haijui kutoa speech. Eti itakuwa rafiki wa mama nitilie, boda boda na machinga ikiwa Rais. Mmmmmhuuu!!!
 
kama unaamini Ukawa hawakuwa na Presidential material, kwa nini hukujitokeza wewe? Lakini pia, wewe una uwezo gani wa kujua fulani ni presidential material na fulani siyo? Mtu unakuta si lolote si chochote ktk nchi lakini unajishebedua ili uonekane nawe upo ktk jamii. Waacheni hao wagombea wapambane kwa amani, na mmoja atakuwa rais, hakuna Mtanzania msafi hapa.
Wewe ni mchafu na wenzio haoo. Sisi ni wasafi bwana. Acha mambao hiyo chafu ya UKAWA
 
Hii mtu inaumwa aisee, haijui kutoa speech. Eti itakuwa rafiki wa mama nitilie, boda boda na machinga ikiwa Rais. Mmmmmhuuu!!!

speech! f**k speech, speech kazitafute kwa jeikei.... tunataka mtu wa kazi...sio speech... huyo wa speech kafanya nn zaiji ya ujambazi tu.... mwaka huu ni kuwapiga na kitu chenye ncha kali...
 
Uliyetuletea hizi Pointi Tano kuhusu Lowassa, mbona umezipatia sana, uliwahi kufanyakazi naye? Sifa ulizozitaja ni kweli tupu, kwa sisi ambaye tuliwahi kufanyakazi naye! Sifa nyingine anazo nyingi, lakini nyingine ni Mtu wa Huruma na wa Msaada sana! Ukimuomba Msaada na akiona Hoja yako kuwa kweli lazima usaidiwe, atakupigania mpaka utapata Msaada, bila ya kujali ni Kabila lake, Dini ake au nini! Baadhi ya Viongozi wengine wengi ni Waongo, Wachoyo na hawana Msaada na Mtu! Ndiyo hawa wanaomuonea Gere Lowassa, wana Chuki naye na wanamtengenezea Fitina, mara kwa mara!
Bwassa.
 
Ndugu zangu kutokana na umahiri wa maigizo wa ndugu EL tangu alipokua bado mwanachama wa CCM mpaka hivi sasa yupo UKAWA laigwanani ameendelea kutetea medani yake ya uigizaji kiasi ambacho yanazungumzwa mengi juu ya taaluma yake.

Ndugu zangu kwa heshima na taadhima ningeomba kwa anaeifaham taaluma ya nguli huyu ambae kwa sasa anakonga watz kwenye siasa za maigizo atufahamishe huenda tukawa wengi tusiofahamu.

Je hiki ni kipaji au ndio fani yake aliochukua chuoni?

Asante!
 
Iweke hoja yako vizuri.

La sivyo, utakuwa unakidhalilisha chuo kilichompatia hiyo "degree" ya sanaa.

Kwa kifupi, ni kama unauliza: "Kwanini UDSM wanatoa degree ya sanaa pia?"
 
Hawa ndugu zangu wa CCM na mgombea wao wanatutukana na kutudharaulisha sisi sote tuliosoma Bachelor of Arts (BA), na Master of Arts (MA) katika nyanja mbalimbali.
 
Hawa ndugu zangu wa CCM na mgombea wao wanatutukana na kutudharaulisha sisi sote tuliosoma Bachelor of Arts (BA), na Master of Arts (MA) katika nyanja mbalimbali.

Mkuu hajadhalilishwa mtu.Kutaka kujua sio ujinga na pia kusomea sanaa sio ujinga,ila kua nguli kwenye sanaa pasipo taaluma inastusha.Kwakweli EL kwa sanaa ya siasa hata wewe uliesomea sanaa kama taaluma yako kwa huyu jamaa humfikiii hata theluthi moja
 
Asante kamanda sasa nimetambua kumbe sanaa si fani yake bali ni kipaji!
asante mkuu

sijaelewa shida yako ilikuwa ni nini hasa? umepewa majibu tena kwa ustaarabu mkubwa lakini inaonyesha ulikuwa una majibu yako.
 
Ivi dume zima utasomeaje sanaa?unaanzaje anzaje kwanza labda?
 
Lowasa ndio raisi hutaki kajinyonge

Aibu ya nchi ni aibu yetu sote,hatuwezi thubutu kumwachia EL nchi hiii mtu ambaye ndio alama ya ufisadi nchini na si ndani tu bali hata nje ya nchi wanatambua hilo.Mwalimu alishawahi sema jambo,samahani kwa nitakao wakwaza ila naomba nimnukuu,"hatuwezi mwachia mbwa nchi".Mwisho wa kumnukuu.
 
Back
Top Bottom