Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake

Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake

Wewe unayesema EL hawezi kua rais, wewe ndo mwenye maamuzi ya mwisho kuliko wananchi wa Tanzania? Kwanza na mashaka na elimu yako, ungekua Msomi ungekua unafikiria vitu vya kuandka mtandaoni, acha ushabiki wa kishamba,
 
Wewe unayesema EL hawezi kua rais, wewe ndo mwenye maamuzi ya mwisho kuliko wananchi wa Tanzania? Kwanza na mashaka na elimu yako, ungekua Msomi ungekua unafikiria vitu vya kuandka mtandaoni, acha ushabiki wa kishamba,

Kama hii nayo ni comment ya msomi anaemshangaa asiesoma basi tz kazi ipo
 
Aibu ya nchi ni aibu yetu sote,hatuwezi thubutu kumwachia EL nchi hiii mtu ambaye ndio alama ya ufisadi nchini na si ndani tu bali hata nje ya nchi wanatambua hilo.Mwalimu alishawahi sema jambo,samahani kwa nitakao wakwaza ila naomba nimnukuu,"hatuwezi mwachia mbwa nchi".Mwisho wa kumnukuu.

Aisee - ni ajabu sana kuona watu wanamshabikia Fisadi - bila hata kujihurumia maisha yao ya baadae. Mi nakubaliana kabisa na maneno ya Mwalimu Nyerere ambayo gimmy's ameyanukuu hapo.
 
Aisee - ni ajabu sana kuona watu wanamshabikia Fisadi - bila hata kujihurumia maisha yao ya baadae. Mi nakubaliana kabisa na maneno ya Mwalimu Nyerere ambayo gimmy's ameyanukuu hapo.
Hebu tuletee na nukuu ya maneno ya mumeo huko zenji
 
Mkuu hajadhalilishwa mtu.Kutaka kujua sio ujinga na pia kusomea sanaa sio ujinga,ila kua nguli kwenye sanaa pasipo taaluma inastusha.Kwakweli EL kwa sanaa ya siasa hata wewe uliesomea sanaa kama taaluma yako kwa huyu jamaa humfikiii hata theluthi moja
huna lolote. ,mtu anafikiri unaleta hoja kumbe nawe msanii.......
 
Mim binafsi kuna watu nawaelewa sana. Wameambiwa huyu mtu ni fisadi.. wanakubali lakin wanasema sawa lakin wanamchagua hivo hivo sababu wamechoka na ccm. Wanakubali na kukiri kuwa kweli ni fisadi ila watampa kura. Safi sana.. ni uamuzi wao. Kuliko hawa wanaomtetea kuwa si fisadi.

Inawezekana vp mpige deal na raisi alaf wew ujitoe na kusema hauhusiki.. lowasa asingeweza kusign mkataba huku akijua una maslahi kwa mtu alaf asipewe percent yake... hiyo nakataa.. walipiga wote.. ishu ilipokuwa ngumu wakamsukumia yeye.

Jk na lowasa pamoja na makatibu wakuu waliohusika walipiga.. sasa hii haiwez kumuondoa kwenye orodha ya mafisadi.

Yes tumchague lakin tukijua ni fisadi kwa sababu tu tumechoka na ccm..
 
Kuna mwingine mwenye PHD ya Kushangaa Tembo kuuawa, ATC kufa, Viwanda kuuzwa na sasa anasema Tanzania kama Libya ...
 
Aisee - ni ajabu sana kuona watu wanamshabikia Fisadi - bila hata kujihurumia maisha yao ya baadae. Mi nakubaliana kabisa na maneno ya Mwalimu Nyerere ambayo gimmy's ameyanukuu hapo.

Mwambie Kikwete amuamrishe DPP amfungulie kesi fasta,kama anaweza.Unajua kinachomshinda!? Muulize.
 
Hivi nyie ccm ufisadi nchi hii ni Richmond tu syo.....ndy mnaoujua
 
Hivi nyie ccm ufisadi nchi hii ni Richmond tu syo.....ndy mnaoujua

Tunaka raisi ambaye hatuhitaji kwanza tuanze kumsafisha ndipo tuanze kunadi ilani,raisi ni mwakilishi wa taifa hatuwezi kua mazwazwa kuwakilishwa na fisadi ndani na nje ya nchi hiii si aibu kwa UKAWA ni aibu yetu sote,big nooo kwa EL
 
Tunaka raisi ambaye hatuhitaji kwanza tuanze kumsafisha ndipo tuanze kunadi ilani,raisi ni mwakilishi wa taifa hatuwezi kua mazwazwa kuwakilishwa na fisadi ndani na nje ya nchi hiii si aibu kwa UKAWA ni aibu yetu sote,big nooo kwa EL

Mwambie Kikwete amuamrishe DPP amfungulie
kesi fasta,kama anaweza.Unajua kinachomshinda!?
Muulize.
 

[TD="align: center"][/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 5%, align: center"][/TD]
[TD="width: 14%"][/TD]


[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="align: center"]Member picture
1021.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name: [/TD]
[TD]Edward[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Ngoyai[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Lowassa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Monduli[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 139, Monduli[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone: [/TD]
[TD]+255 754 800000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.: [/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax: [/TD]
[TD]+255 22 2452037[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail: [/TD]
[TD]elowassa@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status: [/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth [/TD]
[TD]26 August 1953[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]School Name/Location [/TH]
[TH]Course/Degree/Award [/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Bath, UK[/TD]
[TD="align: center"]MSc. (Development Studies)[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]-[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Bath, UK[/TD]
[TD="align: center"]MSc.[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"]1984[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dar Es Salaam[/TD]
[TD="align: center"]BA (Edu) Hons.[/TD]
[TD="align: center"]1974[/TD]
[TD="align: center"]1977[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Milambo Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1972[/TD]
[TD="align: center"]1973[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1968[/TD]
[TD="align: center"]1971[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Monduli Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1961[/TD]
[TD="align: center"]1967[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name [/TH]
[TH="align: center"]Position [/TH]
[TH="align: center"]From [/TH]
[TH="align: center"]To
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanzania Government[/TD]
[TD]Prime Minister[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2/8/2008[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry of Water and Livestock Development[/TD]
[TD]Minister[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2005
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]State, Vice President's Office[/TD]
[TD]Minister for Environment & Poverty[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Monduli Constituency[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry of Lands, Human Settlement Development[/TD]
[TD]Minister[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]State, Prime Minister's Office and First Vice President[/TD]
[TD]Minister (Judiciary &Parliamentary Affairs)[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha International Conference Centre[/TD]
[TD]Managing Director[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Member[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Party Executive-District, Regional &Head Office[/TD]
[TD="align: center"]1977[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Kutokana na CV hii kwa nini huyu kiongozi asiwe Rais wetu ajae wa taifa hili ukizingatia kwamba ana uwezo wa hali ya juu kwenye masuala ya kiutawala na uongozi. Nawasilisha

Huyu ndiye kipenzi na chaguo la watanzania ni rais tayari bado kuapishwa,mwache makomeo atafute nafasi ya kushika kambi rasmi ya upinzani bungeni
 
Ivi dume zima utasomeaje sanaa?unaanzaje anzaje kwanza labda?

Acha kujitoa ufahamu hamna mtu yeyote mwenye shahada ambae hajasoma DS ukitaka uliza popote tz. Hili somo limepewa kipaumbele sana hata wewe kama umebahatika kupata angalau ka shahada kamoja lazima ulisoma hiyo. Hakuna fani yoyote ambayo imeundwa bila kuangalia itamsaidiaje huyu aliyesoma DS kwa mfano hakungekuwa na faida yeyote kwa injinia ambae hataripoti kwa huyu aliesoma DS ili aone ataweza kufanya maendeleo gani kwa jamii inayomzunguka. Acha dharau alafu wewe umeadhiriwa na mfumo dume haupo Huru
 
Aibu ya nchi ni aibu yetu sote,hatuwezi thubutu kumwachia EL nchi hiii mtu ambaye ndio alama ya ufisadi nchini na si ndani tu bali hata nje ya nchi wanatambua hilo.Mwalimu alishawahi sema jambo,samahani kwa nitakao wakwaza ila naomba nimnukuu,"hatuwezi mwachia mbwa nchi".Mwisho wa kumnukuu.

Vipi ile ganji uliyopiga ulipotumwa sokoni na mama, huo nao ufisadi, au umeahau ulimdanganya dingi kuhusu school fees?
 
Back
Top Bottom