Mjini shepu na sura tabia kijijini..

Mjini shepu na sura tabia kijijini..

Mi cha kwanza nakagua makalio je makubwa? Sura kwangu sio ishu kwakuwa sifaidiki nayo.
 
:focus: Ila shepu na sura ni mwonekano tu.... Kamwe havitakusaidia kuwa katika mahusiano ya kudumu ama ya kweli... Utakuwa unadanganywa tu nashepu yako


Wakwetu kumbe umeliona hilo eeh!!
 
Kwani kupendwa lazima shape tu ama sura?? Teh haka kashapeless umbo ndo kamembamba!

haijalishi... Sura yavuta sana... Lakini umbo ni muhimu.... Mi kama huna umbo nakuweka ndani... Kama huna sura hata kutoka namimi hutoki.... Teh teh teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom