Mjini shepu na sura tabia kijijini..

Mjini shepu na sura tabia kijijini..

Nahisi inategemea ntu na ntu! Lakini me nahisi bado niko huko kijijini na sina mpango wa kutoka na sidhani kama kuna ntu ata nishawishi nitoke kijijini!
 
:focus: Ila shepu na sura ni mwonekano tu.... Kamwe havitakusaidia kuwa katika mahusiano ya kudumu ama ya kweli... Utakuwa unadanganywa tu nashepu yako
 
Nahisi inategemea ntu na ntu! Lakini me nahisi bado niko huko kijijini na sina mpango wa kutoka na sidhani kama kuna ntu ata nishawishi nitoke kijijini!


kaka mjini mambo si mambo utasikia "dem gani yule sura nzito kama futari ya magimbi, dem sura hana shepu kanyimwa nani anamtaka" ndio maana ninimeuliza mjini shepu na sura?
 
:focus: Ila shepu na sura ni mwonekano tu.... Kamwe havitakusaidia kuwa katika mahusiano ya kudumu ama ya kweli... Utakuwa unadanganywa tu nashepu yako

ndugu mm nimetaka kujua tu, msinitoe macho...
 
Haya wenye sura zenu na shepu zenu sasa . . . . mie napita tu ndugu zanguni!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom