Mjihadhari na maji ya kilimanjaro...mengi feki


ahh wanaboa yaan jaman..nilishawai kuona jinsi watu wanavyojaza maj SITATAJA MAJI GANI NILIYOYAONA ENZI IZO
kwenye chupa yaan dahh..ucchafuuuu jaman wanayajaza kwenye chupa wanabandka lebo wanaweka silid apo juu then gud to gooo..t was long tyme ahh so nilivyoona mabadiliko kwenye kilimanjaro ndo nkajua yaleyale.....UNAJUA UCHAFUUU..MTU NA KIKWAPA CHAKE,,,MIKONO MICHAFUU..LI MTU LIMETOKA KUSHIKA NJURURU YAKE ANAKUJA KUSHIKA MAJI MANAKE MTU ANASHKA JAGI ANAINGIZA NA LIKONO LOOOTE KWENYE MAJ ...YAKIISHA ANAITA MAJIII NILETEEN MENGNE...the more ndoo unamaliza the more money u get....sasa fikiria mtu anaharakisha kumaliza ndo iyo fastaa yake ahh jaman..mwenye makamas kumdondoka ayaaa....bora maj yamejaaa
apo achana na redbull zile tunazonunua pale chalinze uwwiiiiiiiii nafwaaaaa
 
Siku hizi kila kitu feki sijui tule/tunywe nini? mie nilikuwa nakunywa uhai ikasemekana kuna uwezekano mkubwa hayo maji yanafanywa hivyo kama unavyohisi wewe, nkaacha nikaamia Kilimanjaro sasa kumbe nako majanga!!
hata mimi ilikua hivyo
 
ili kujilinda na bidhaa feki hakikisha unanunua DUKANI, ili kuweza kumkamata msambazaji kwa urahisi. Vinginevyo kaa mkao wa kimajanga.

kwani siye tunanunua wap?
u dont know the game my dear..ao wanaotengeneza fek wanashirikiana na wafanyakaz wasio waaaminifu wanaosambaza izo bdhaa so mwenye duka anajiridhisha kabsaaa..ahh asi nimenunua kwenye gar lao kabsa...nimenunua depot pale ahh kumbe siku mingiiiiiii watu washafanya yaoo
 

Hamia kwenye UHAI, MAISHA, PENGUIN, MAJI POA, KISIMA, NDANDA, USAMBARA, MAJI AFRICA.
 

Una uhakika na unachoongea?
 
Rose1980 Suala la Kugushi bidhaa haliko Dar tu hata Mikoani, Mfano Jiko la Stove Singida kutumika kuzarisha Viroba jogoo - tena vilivyo na Stika za TRA!
 
mleta mada uko mkoa gani? wewe unanunua maji ya kilimanjaro kwene foleni ya buguruni unategemea nn?
 
nashukuru kwa taarifa. ila naomba kwenye hayo maji feki nipe vipimo vifuatavyo ili niweze amini
1. chloride
2. Floride
3. Nitrate
4. Potassium
5.Sodium
6.pH
Una maana abandue ile lebo halafu ailete hapa jf au unamaana mleta mada ayapeleke TBS yakapimwe halafu atuletee majibu hapa?
 

Mimi nienunua hayo maji ya kilimanjaro chupa kubwa juzi duka moja hivi Mbinga huko Songea, baada ya kunywa funda moja nikahisi kitu tofauti,kiukweli niliingia woga nikatupa ile chupa na maji yake yakiwa yamejaa maana ladha ya yale maji ni tofauti kabisa na kilimanjaro niliyoizoea. Hapo kwa kuongezea tazama ujazo maana ukiona yamejaa sana shtuka pia ni kweli hata huko chini kwenye kitako ni kama wametoboa na kuziba na superglue dada Rose asante kwa kunithibithishia ile doubt niliyokuwa nayo
 
ili kujilinda na bidhaa feki hakikisha unanunua DUKANI, ili kuweza kumkamata msambazaji kwa urahisi. Vinginevyo kaa mkao wa kimajanga.

shida ni pale unapokuwa safarini ndg yangu hasa kwenye mabus, na ujuavyo mabus yetu ndo kwanza yanaruhusu wale wamachinga wanaingia kuuza haya maji kwa abiria ndani ya bus
 
Asante kwa taarifa.
Naweza kukubaliana na wewe
Niliwahi kukutana na ladha tofauti na maji ya kilimanjaro niliyoyazoea kama mara mbili hivi
hapa dar, niliuliza kwa watu waliokuwa karibu yangu wakati huo
lakini hakuna aliyeweza kunisaidia.

Tutakwisha tu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…