dah! nilisahau, kumbe watanzania tuna utamaduni wa kutofuatilia mambo (hasa mambo huhimu). Ina maana akisema kanunua kiwandani ndio ishu inaishia hapo? Hadithi za muuzaji haikuhusu hata kidigo, kinachokuhusu wewe ni AFYA YAKO.kwani siye tunanunua wap?
u dont know the game my dear..ao wanaotengeneza fek wanashirikiana na wafanyakaz wasio waaaminifu wanaosambaza izo bdhaa so mwenye duka anajiridhisha kabsaaa..ahh asi nimenunua kwenye gar lao kabsa...nimenunua depot pale ahh kumbe siku mingiiiiiii watu washafanya yaoo
tatizo wabongo tunanua vitu popote pale hatuna utamaduni mzuri
Watanzania mazoea ndo tatizo letu.
Ukichukua maji ya Uhai na Kilimanjaro ukaingia nayo maabara kufanya analysis utagundua Uhai ni masafi kuliko Kilimanjaro.
Sema watu wamezoea akiona fulani anatumia hiki anaona ni bora.
Kilimanjaro hata Sayona ni zaidi.
Umeingia huko maabara ukafanya analysis na ukagundua hivyo au unabashiri itakuwa hivyo?
Kuwa makini ndugu yangu..kauli kama hizi zina athari kubwa kwenye maamuzi, afya na biashara za watu.
Niliposoma post yako ya kwanza kidogo nikuamini lakini nilipoendelea kusoma posts zako nyingine nimegundua umeanzisha hii thread kimaslahi!kwani siye tunanunua wap?
u dont know the game my dear..ao wanaotengeneza fek wanashirikiana na wafanyakaz wasio waaaminifu wanaosambaza izo bdhaa so mwenye duka anajiridhisha kabsaaa..ahh asi nimenunua kwenye gar lao kabsa...nimenunua depot pale ahh kumbe siku mingiiiiiii watu washafanya yaoo
ao wanaotengeneza fek wanashirikiana na wafanyakaz wasio waaaminifu wanaosambaza izo bdhaa so mwenye duka anajiridhisha kabsaaa..ahh asi nimenunua kwenye gar lao kabsa...nimenunua depot pale ahh kumbe siku mingiiiiiii watu washafanya yaoo
Nilifanya culture ya hayo maji growth ya wadudu kwa Kilimanjaro was significance kusema inazidiwa ubora na Uhai.
Sijasema wameota haraka.By onduru ogy
Nilifanya culture ya hayo maji growth ya wadudu kwa Kilimanjaro was significance kusema inazidiwa ubora na Uhai.
Kwa hiyo ukifanya culture ya muhogo na mkate wadudu wakaota haraka zaidi kwenye mhogo utafanya conclusion kwamba mkate ni bora kuliko mhogo?