Mjihadhari na huyu tapeli wa JF

Hivi na yeye angetuma hao Vifaranga sijui 100 kwako wewe ambae hakujui, usingeweza na wewe kumtapeli??
Hapo unazungumzia probability wakati sisi tunazungumzia kile kilichotokea.Biashara nyingine malipo yanafanyika baada ya kupata mzigo wako, ukikagua ni sawa na oda yako basi unalipia na kuchukua mzigo wako. Kwa maelezo ya mtoa hii ndio aina ya malipo inayoyoonekana ilikubalika. Lakini kingine cha kuashiria utapeli ni kuwa alitoa tangazo kuwa anauza vifaranga huku akitaja mpaka umri tofauti tofauti wa vifaranga, zaidi akatoa gharama ya usafirishaji ila baada ya pesa hiyo kutumwa ghafla babu akaja kwenye picha, je vifaranga walikuwa wa nani? Kama walikuwa wa babu inamaana yeye alikuwa dalali! Kama ndivyo mbona asiweke wazi? Hata kama alikuwa anamsaidia babu inaonekana kulikuwa hakuna maelewano kati ya yeye na babu! Yeye anahitaji nauli tu wakati babu anataka vifaranga kumi walipiwe, kwamba ndio walikuwa wanaanza biashara kwamba hakuna modus operend? Na hii ya mara nipo Dodoma mara Songea kwani alikuwa kwenye timu ya kampeni?
 
Mkuu, asante mchango na ufafanuzi mujarab kabisa.....[emoji120]
 
HIVI BADO UNAAGIZA MZIGO KWA MTU USIEMJUA NA UNAMTUMIA PESA??HII DUNIA BADO SANA WATU KUPATA UELEWA
wewe ndo bado kupata uelewa kunusu online business mkuu. Sema kunavitu vidogo vili mix ndo maana kumetokea hicho kitu.
 
Uzwazwa wako mwenyewe.
 
duuh! watu wanachafu online business na kufanya hata wale wanafanya kwa uaminifu kujumuishwa kwenye kundi moja. La samaki mmoja akioza basi wote wameoza. Pole Mkuu na asante kwa taarifa
 
Swali zuri ni kwamba? Vifaranga vilisafirishwa?
Kama jibu ni hapana, naunga mkono kuwa jamaa ni tapeli.
 
Swali zuri ni kwamba? Vifaranga vilisafirishwa?
Kama jibu ni hapana, naunga mkono kuwa jamaa ni tapeli.
Vifaranga hawakutumwa, simu hapokei na kuna wakati alizima sim kabisa.
Pia kumbuka wakati tayari nilipo mtumia pesa ya nauli kama tulivyo kubaliana, hapo akabadili story kwamba mzee wake ameomba nimtumie hata pesa kidogo ya vifaranga 20.
Hapo ndipo nilipo anza kumchukia kwamba...... Kwanini ghafla mzee !ameingizwa kwenye makubaliano ambayo hapo awali hakutajwa!?.
 
Ohhhpppsssss.....
Hapo sawa nimepata amani
Naogopa tu ban ila binafsi nilishtushwa na ile picha maana jamaa anajipambanua wazi katika nyuzi zake kwamba hana girlfriend na mimi nikasema nitamfanya kibenten changu..hhahaha haya maisha hayana formula mara paaaaa..picha hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…