Mji wa Karatu:CHADEMA's Mecca!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,880
13,164
View attachment 56117
Karatu, Mecca ya CDM anakotoka Mzee mzima Dr W Slaa.
Nilikuwa hapo last week kwa shughuli binafsi, nilitafuta bendera ya CCM bila mafanikio.
Tazama miti yote kwa uangalifu na utakuta bendera za CDM katika kila mti, hata hivyo cheki the old and the new wakiishi pamoja!
 
Mkuu hilo neno Mecca unatafuta ugomvi na watu hapo hebu jaribu ku-edit topic yako aise
 
Hili ni kati ya machache ambayo Kikwete anapaswa kupongezwa. Wakati wa Mkapa ukiweka bendera ya chama cha upinzani nyumbani kwako, utashangaa utakapoambiwa nyumba yako ipo barabarani. Au kama ni dukani, basi utaambiwa hujawahi kulipa kodi kwa miaka kama kumi hivi, hata kama duka lako lina miaka mitatu tu tangu ulianzishe. Mkapa ndiye aliyechelewesha sana maendeleo ya democrasia nchini. Angalau Kikwete kaamua kuwaachia watu uhuru.
 
asee umenikumbusha long sana nilikula sana mbuzi hapo tulikuwa tunawanunua kule mnadani
Nimekaa hapo siku tau, na ikifika jioni mji wote ni harufu ya nyama choma. Kama una dozi usiende huko utalazimika kupata kilaji kwa hiyo aroma.Very friendly people there.
 
Historia ya upinzani nchini Tanzania ulianzia Karatu enzi za kina marehemu Sarwati hata marehemu Nyerere alikua anajua hii! Rest both of them In Peace! Amen.
 
Back
Top Bottom