Mjeshi afunguka kuhusu Arusha

Mjeshi afunguka kuhusu Arusha

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
668
Reaction score
426
Habari wakuu,

Tarehe 25/06/2013 nilimtembelea Rafiki yangu mmoja ambaye ni mwanajeshi Huko mkoa (kapuni) jina la kambi (kapuni). Jamaa aliniambia mambo mengi kuhusu Arusha, hasa kwenye harakati za chadema. anasema yeye alikuwa mkoa wa Arusha kabla hajahamishiwa Kigoma, alikuwa kikosi no(kapuni). aliniambaia kwamba chadema wakifanya maandamano au mikutano walikuwa wanapewa sale za asikari polisi kuja kudeal na chadema, ili ionekane kwamba ni polisi wanaotuliza ghasia kumbe ni wanajesshi wa JWTZ. Jamaa akasema hili suala lilikuwa linawauma sana, kuna siku pale arusha zilitokea fujo kati ya ccm na chadema wakaambiwa waende kuwadhibiti chadema, jamaa wakaenda na uniform za polisi, badala ya kuwapiga chadema wakawapiga ccm, vunjavunja. baada ya fujo kumalizika ikaonekana watu walioumia sana na kuvunjika ni wa ccm. Serikali ikaamua kuwahamisha wote na kuwapeleka pembeni mwa nchi (mipakani huko). akaniambia kwa sasa serikali inachukua wanajeshi wa Morgoro kuja kutuliza fujo Arusha,wakiwa wamevaa gwanda la polisi.

Hii ni hatari sana kutumia Jeshi kuwakandamiza wananchi.
 
Ni kawaida hata kuna jamaa yangu yupo Ngerengere walipelekwa Zanzibar kipindi cha Ngangari wakavishwa uniform za Field Force Unit(FFU)wakatandika watu ipasavyo.
 
ndiyomkuusana toa huo mkoa ulioutaja (sio Arusha). Umeacha nyayo za jamaa! Do it immediately!
 
Last edited by a moderator:
mi mwenyewe nilishapelekwa mahali nikatwanga sana magamba, mpaka sasa mikoa mitamu kama Ar na Dsm naisikia kwenye bomba tu!...niko zangu porini?
 
Mkuu, hayo mambo yanatendeka tangu siku nyingi lakini uzuri wake watu wanabadilika kila siku!
 
unaofanya ni upotoshaji mkubwa..., ni kweli ilishawahi tokea wanajeshi kuvishwa nguo za polisi na kupelekwa pemba, ila hili la arusha hizo ni story za kwenye kahawa
 
ndiyomkuusana mtu akiquote tu stori yako huwezi badili kitu bila msaada wa mods!
 
Last edited by a moderator:
Habari wakuu,

Tarehe 25/06/2013 nilimtembelea Rafiki yangu mmoja ambaye ni mwanajeshi Huko Kigoma jina la kambi (kapuni). Jamaa aliniambia mambo mengi kuhusu Arusha, hasa kwenye harakati za chadema. anasema yeye alikuwa arusha kabla hajahamishiwa Kigoma, alikuwa arusha kikosi no(kapuni). aliniambaia kwamba chadema wakifanya maandamano au mikutano walikuwa wanapewa sale za asikari polisi kuja kudeal na chadema, ili ionekane kwamba ni polisi wanaotuliza ghasia kumbe ni wanajesshi wa JWTZ. Jamaa akasema hili suala lilikuwa linawauma sana, kuna siku pale arusha zilitokea fujo kati ya ccm na chadema wakaambiwa waende kuwadhibiti chadema, jamaa wakaenda na uniform za polisi, badala ya kuwapiga chadema wakawapiga ccm, vunjavunja. baada ya fujo kumalizika ikaonekana watu walioumia sana na kuvunjika ni wa ccm. Serikali ikaamua kuwahamisha wote na kuwapeleka pembeni mwa nchi (mipakani huko). akaniambia kwa sasa serikali inachukua wanajeshi wa Morgoro kuja kutuliza fujo Arusha,wakiwa wamevaa gwanda la polisi.

Hii ni hatari sana kutumia Jeshi kuwakandamiza wananchi.

Mkuu mbona hapo hakuna la kushangaza? Mbona hilo ni jambo linalofahamika siku zote tangu CHADEMA kipate nguvu kubwa hasa TANGANYIKA na kujikongoja kwa kiasi kikubwa kule kwa majirani zetu Zanzibar, serikali ya CCM imekuwa siku zote ikiwatumia askari jeshi kupambana na wafuasi wa CHADEMA baada ya nguvu ya umma kuonekana kushinda kwa mbali nguvu ya polisi.
 
Habari wakuu,

Tarehe 25/06/2013 nilimtembelea Rafiki yangu mmoja ambaye ni mwanajeshi Huko Kigoma jina la kambi (kapuni). Jamaa aliniambia mambo mengi kuhusu Arusha, hasa kwenye harakati za chadema. anasema yeye alikuwa mkoa wa (kapuni) kabla hajahamishiwa Kigoma, alikuwa kikosi no(kapuni). aliniambaia kwamba chadema wakifanya maandamano au mikutano walikuwa wanapewa sale za asikari polisi kuja kudeal na chadema, ili ionekane kwamba ni polisi wanaotuliza ghasia kumbe ni wanajesshi wa JWTZ. Jamaa akasema hili suala lilikuwa linawauma sana, kuna siku pale arusha zilitokea fujo kati ya ccm na chadema wakaambiwa waende kuwadhibiti chadema, jamaa wakaenda na uniform za polisi, badala ya kuwapiga chadema wakawapiga ccm, vunjavunja. baada ya fujo kumalizika ikaonekana watu walioumia sana na kuvunjika ni wa ccm. Serikali ikaamua kuwahamisha wote na kuwapeleka pembeni mwa nchi (mipakani huko). akaniambia kwa sasa serikali inachukua wanajeshi wa Morgoro kuja kutuliza fujo Arusha,wakiwa wamevaa gwanda la polisi.

Hii ni hatari sana kutumia Jeshi kuwakandamiza wananchi.
Hakika ipo siku kila mpenda haki na nayechukia dhuluma na unyanyasaji , atasema sasa yatosha.....hapo ndipo Serikali dhalimu itakapo tafuta shimo loa kijichimbia..
 
Habari wakuu,

Tarehe 25/06/2013 nilimtembelea Rafiki yangu mmoja ambaye ni mwanajeshi Huko Kigoma jina la kambi (kapuni). Jamaa aliniambia mambo mengi kuhusu Arusha, hasa kwenye harakati za chadema. anasema yeye alikuwa mkoa wa (kapuni) kabla hajahamishiwa Kigoma, alikuwa kikosi no(kapuni). aliniambaia kwamba chadema wakifanya maandamano au mikutano walikuwa wanapewa sale za asikari polisi kuja kudeal na chadema, ili ionekane kwamba ni polisi wanaotuliza ghasia kumbe ni wanajesshi wa JWTZ. Jamaa akasema hili suala lilikuwa linawauma sana, kuna siku pale arusha zilitokea fujo kati ya ccm na chadema wakaambiwa waende kuwadhibiti chadema, jamaa wakaenda na uniform za polisi, badala ya kuwapiga chadema wakawapiga ccm, vunjavunja. baada ya fujo kumalizika ikaonekana watu walioumia sana na kuvunjika ni wa ccm. Serikali ikaamua kuwahamisha wote na kuwapeleka pembeni mwa nchi (mipakani huko). akaniambia kwa sasa serikali inachukua wanajeshi wa Morgoro kuja kutuliza fujo Arusha,wakiwa wamevaa gwanda la polisi.

Hii ni hatari sana kutumia Jeshi kuwakandamiza wananchi.
Hivi hao wanajeshi huwa hawatumii akili, au wako kama mbwa wa kufuga, wakiachiwa minyororo wanang'ata tu.
Kwani kama wangalikwenda halafu wakabaki watulivu, kunatokea nini, wote hawana akili....
 
Habari wakuu,

Tarehe 25/06/2013 nilimtembelea Rafiki yangu mmoja ambaye ni mwanajeshi Huko mkoa (kapuni) jina la kambi (kapuni). Jamaa aliniambia mambo mengi kuhusu Arusha, hasa kwenye harakati za chadema. anasema yeye alikuwa mkoa wa Arusha kabla hajahamishiwa Kigoma, alikuwa kikosi no(kapuni). aliniambaia kwamba chadema wakifanya maandamano au mikutano walikuwa wanapewa sale za asikari polisi kuja kudeal na chadema, ili ionekane kwamba ni polisi wanaotuliza ghasia kumbe ni wanajesshi wa JWTZ. Jamaa akasema hili suala lilikuwa linawauma sana, kuna siku pale arusha zilitokea fujo kati ya ccm na chadema wakaambiwa waende kuwadhibiti chadema, jamaa wakaenda na uniform za polisi, badala ya kuwapiga chadema wakawapiga ccm, vunjavunja. baada ya fujo kumalizika ikaonekana watu walioumia sana na kuvunjika ni wa ccm. Serikali ikaamua kuwahamisha wote na kuwapeleka pembeni mwa nchi (mipakani huko). akaniambia kwa sasa serikali inachukua wanajeshi wa Morgoro kuja kutuliza fujo Arusha,wakiwa wamevaa gwanda la polisi.

Hii ni hatari sana kutumia Jeshi kuwakandamiza wananchi.
Just the beginning! please keep talking
 
Hizo ndio mbinu zao tunazujua sana. Wananchu karibu wote wanajua kwamba c.c.m inatunia polisi kuwapiga wapinzani. Ndio maana wanajifanya wanatabiri kwamba mikutano ya chadema watu watakufa kana kwamba wao ni mungu au waganga wa kienyeji. Mbona hawasemi kwamba kanisani bomu litalupuka. Cha ajabu zaidi ni mikutano ya siasa tu ya chadema na taarifa zinapigwa lamri na kina mwigulu mchemba na nape mnauye (adui wa kikwete 2005)
 
Back
Top Bottom