Mjengwa katika kampeni za Kikwete 2010?

Mjengwa katika kampeni za Kikwete 2010?

Suala la kushinda kwa JK linawauma wengi humu kwenye forum kwa sababu kimtazamo wengi wako kwenye opposition na hasa Chadema.Lakini ukweli japo unauma ni ukweli tu.
Opponents of Jk and CCM can travel up and down launching negative attacks lakini Jk has something much more powerful than anything,he has the grassroots supporters in millions!
Huo ndio ukweli na hata ukimshambulia mwandishi Magid kuwa hajafanya analysis ya kutosha juu ya suala hili,bado ushindi wa JK si kitu cha kuonekana cha ajabu.
Kwa hiyo respected members wa forum hii,msiwe na jazba kama kuna mtu anakuja na opinion ambayo mnaiona haiwakuni na mkaanza kuoa maneno yasiyofaa.Unaweza kuwa critical bila kutoa matusi na ukaeleweka vizuri.
 
Niko Iringa na naendelea na kazi zangu za kila siku katika ajira yangu. Baada ya kazi niko na familia yangu, kazi za kublog na shughuli nyingine za kijamii. Sijajihusisha kwa namna ye yote na kampeni za siasa, iwe Udiwani, Ubunge na Urais, kwa mgombea ye yote na Chama cho chote kile, iwe katika chaguzi zilizopita na hata uchaguzi wa mwaka huu. Anayeweza kuthibitisha kinyume chake aje.
Mimi nakuja!
Ni wewe ulotoa matokeo ya uchaguzi huu kama utafanyika leo hivyo nilikuwa naamini umefuatilia kampeni za vyama vyote tofauti na sisi tunasoma hapa kijiweni, kinyume cha hapo hukuwa na sababu ya kuelezea matokeo ya uchaguzi mkuu ikiwa hukufanya homework...
 
yaani kuna watu wanataka huyu jk arudi tena madarakani 2010?? Naanza kabisa kuamini kuwa asilimia kubwa ya watu wetu wanaulemavu wa ubongo!!

asante baba kwa matusi yenu!!! Yaani sasa baada ya kuona wananchi wamemshitukia mgombea wenu urais kupitia chadema kuwa ni mtapeli na asiekuwa na heshima wala adabu kwa kupora wake za watu!!! Sasa chadema munatugeukia wananchi na kututukana kuwa tunaulemavu wa UBONGO!!!!!

Watanzania tusiwape kura hawa chadema yaani hawana adabu wala heshima wakiingia madarakani sijui itakuwaje!!!
 
Mimi nakuja!
Ni wewe ulotoa matokeo ya uchaguzi huu kama utafanyika leo hivyo nilikuwa naamini umefuatilia kampeni za vyama vyote tofauti na sisi tunasoma hapa kijiweni, kinyume cha hapo hukuwa na sababu ya kuelezea matokeo ya uchaguzi mkuu ikiwa hukufanya homework...
Mkandara upo?... well, huo ulikuwa ni mtazamo wake tu!
 
Msanii,

Ahsante sana.

"Nakumbuka uchaguzi wa mwaka 2005 niliandika makala mbili kwenye gazeti la RAI zenye kumwelezea Dr Salim Ahmed Salim na hususan kuwalaani wale waliomwandama kutokana na rangi ya ngozi yake.

Basi, kwa makala zile mbili kuna walioniweka kwenye ‘droo la Dr Salim'. Nakumbuka uchaguzi ulipokwisha, nilikutana na Mhariri wa Gazeti la Mwananchi. Nae akaniambia; " E bwana Bosi wako kaenda Darfur". Nilijisikia vibaya. Maana, sikumfahamu Dr Salim zaidi ya kumwona kwenye vyombo vya habari. Sikuwa na mawasiliano nae mpaka mwaka juzi Februari 5 nilipokutana nae kwa mara ya kwanza ofisini kwake pale Masaki, kwa mazungumzo ya kawaida tu."

jinsi unavyo report habari , kunakuwa na mapungufu ya vielelezo lakini unaweka hitimisho kama vile vielelezo vyako vinatosheleza kuweka hili hitimisho, matokeo yake ndio hayo ya kuonekana unajipendekeza/unamshabikia/unamkampenia iwe salim Ahmed Salim au Julius Nyerere.
mpaka sasa hivi kwa kweli sisomi makala zako , kwa sababu kama msomaji nina jua hitimisho lako, iwe kwenye kwanaza jamii, au raia, hapa nimesoma juju comment za watu mfano Mkandara, na hii post nilio quote hapo juu, lakini hii ya mbwa sijui wa manzese na O'bay, sijasoma. Mpaka wakati mwingine huwa najiuliza hivi hawa ndio waandishi wetu? level ya skuli ni ipi? uzuri nimeona umeandika una ka-degrii kamoja na unapenda kuendelea kujifunza , which is good, lakini matendo yako (uandishi wako) hauendani na kuonyesha kwamba unajifunza, kama kweli unataka kujifunza wewe nenda TSJ tena au uwe unawauliza waandishi nguli jinsi unavyo weza kujirekebisha kama kweli unataka kufanya hivyo, ingwa najua wengine watajaribu kuwa na diplomasia katika kujaribu kukueleza kitu. hivyo unaweza kuwaomba vitabu ili udokoe pwanti wewe mwenyewe. nafikiri wanaweza kukupa vitabu vizuri tu. au unaweza kutumia mtandao kupata makala kama hizo mfano ukiandika "Objective writing" na vitu kama hivyo utapata makala zake na viashiria vya objective writing/reporting nk.
 
Nimemwandikia mhariri wa mtandao huu ( JF) kumwomba abadilishe title ya thread hii; " Mjengwa katika kampeni za Kikwete 2010?".

Hata kama title ya thread imewekwa katika mtindo wa swali bado jibu la swali hilo ninalo, kuwa HAPANA.

Niko Iringa na naendelea na kazi zangu za kila siku katika ajira yangu. Baada ya kazi niko na familia yangu, kazi za kublog na shughuli nyingine za kijamii. Sijajihusisha kwa namna ye yote na kampeni za siasa, iwe Udiwani, Ubunge na Urais, kwa mgombea ye yote na Chama cho chote kile, iwe katika chaguzi zilizopita na hata uchaguzi wa mwaka huu. Anayeweza kuthibitisha kinyume chake aje.

Watu wana uhuru kuchangia maoni yao hata kama wanafikiria hivyo. Lakini kuweka title katika mtindo huo kunaweza kuwafanya wengine waamini ndio ukweli wenyewe.

Ni matumaini yangu mhariri wa JF atatanguliza uungwana na kubadilisha title hiyo ya thread hii. Inanipa usumbufu, mimi na hata familia yangu, kwa vile haina chembe ya ukweli.

Natanguliza shukrani.

Mjomba ngoja nikuambie ukweli. Wewe ni mwandishi wa habari. na watu sasa hivi wana hasira na nyinyi manake mnapotosha mambo kutokana na njaa zenu na matumbo yenu. karibia Wote mmenunuliwa . Wewe utasemaje Kakikwete kako kitashinda ilihali watu wote wameshamchoka? Soma alama za nyakati mjomba. Anzisha any online poll na utaona kitakachotokea. Wewe si unadai kikwete atashinda? Nenda kwenye Blog yako anzisha online polls halafu wewe alika rafiki zako wote waambie wampigie kikwete halafu tuone kama mtaiweza nguvu ya DR SLAA(SIRAHA) embu rudia tena hili jina....SEMA DR SIRAHAAA kwa sauti ya juu kidogo. Usisahau kumpigia kura.
 
Mkandara upo?... well, huo ulikuwa ni mtazamo wake tu!
Mkuu nipo... Lakini huyu ni mwandishi wa habari mwanablog inatakiwa kuandika vitu alivyofanyia utafiti na sii kuandika tu jinsi anavyofikiria yeye. Laa sviyo, watu watamwelewa vibaya kwani wapo kina Kadogoo wanaozungumzia ushindi wa JK kwa mawazo yao na hakuna mzozo kama huu.
 
Suala la kushinda kwa JK linawauma wengi humu kwenye forum kwa sababu kimtazamo wengi wako kwenye opposition na hasa Chadema.Lakini ukweli japo unauma ni ukweli tu.
Opponents of Jk and CCM can travel up and down launching negative attacks lakini Jk has something much more powerful than anything,he has the grassroots supporters in millions!
Huo ndio ukweli na hata ukimshambulia mwandishi Magid kuwa hajafanya analysis ya kutosha juu ya suala hili,bado ushindi wa JK si kitu cha kuonekana cha ajabu.
Kwa hiyo respected members wa forum hii,msiwe na jazba kama kuna mtu anakuja na opinion ambayo mnaiona haiwakuni na mkaanza kuoa maneno yasiyofaa.Unaweza kuwa critical bila kutoa matusi na ukaeleweka vizuri.

...Kama walivyowaza pia Kennedy Kaunda na Daniel Arap Moi na wapambe wao.....

Mkuu nipo... Lakini huyu ni mwandishi wa habari mwanablog inatakiwa kuandika vitu alivyofanyia utafiti na sii kuandika tu jinsi anavyofikiria yeye. Laa sviyo, watu watamwelewa vibaya kwani wapo kina Kadogoo wanaozungumzia ushindi wa JK kwa mawazo yao na hakuna mzozo kama huu.
Mkandara, kwa uelewa wangu, Maggid Mjengwa sio mwandishi wa habari, he is not a kournalist but only a writer, yaani ni mwandishi wa makala, wengi hushindwa kuwatofautisha waandishi makala na waandishi habari kwa vile vyote huchapishwa gazetini.

Kwa mwandishi wa habari, opinion is not part of the news story, lakini kwenye makala, opinion inaruhusiwa. Kwa wanaomuona Mjengwa ni mwandishi, basi watawaona waandishi makala wote ni waandishi.

Angalizo: Wakati wowote kuanzia sasa, REDET watatoa opinion poll yao ya mwisho, mtashangaa!.
 
Mjomba ngoja nikuambie ukweli. Wew ni mwandishi wa habari. na watu sasa hivi wana hasira na nyinyi manake mnapotosha mambo kutokana na njaa zenu na matumbo yenu. Wote mmenunuliwa . Wewe utasemaje kikwete chako kitashinda ilhali watu wote wameshamchoka? Soma alama za nyakati mjomba. Anzisha any online poll na utaona kitakachotokea. Wewe si unadai kikwete atashinda? Nenda kwenye Blog yako anzisha online polls halafu wewe alika rafiki zako wote waambie wampigie kikwete halafu tuone kama mtaiweza nguvu ya DR SLAA(SIRAHA) embu rudia tena hili jina....SEMA DR SIRAHAAA kwa sauti ya juu kidogo. Usisahau kumpigia kura.
Naungana na wewe kwa asilimia 100% watu wote kwenye mitandao yote wameshamchoka JK na hata ukianzisha online opinion poll itaonyesha hivyo, kama mpaka opinion poll ya Daily News inamuonyesha Dr. Slaa yuko juu,unategemea nini?.
Very unfortunately hao wanaopiga kura za on line opinion polls sio wapiga kura!, wapiga kura wenyewe hata umeme hawana, kula ya shida, ukiwapatia fulana tuu na kofia, shibe ya siku moja na nusu kilo ya sukari, basi ndio umemaliza kila kitu, na hawa ndio Watanzania anaowazungumzia Mjengwa.
 
Pasco,
Una maana ya kuniambia kuwa wote wale walioikataa CCM Tarime ni wasomi wa mitandao? Tuna tendency ya ku-underestimate understanding ya
watu wa vijijini kana kwamba wao hawana macho ya kuona. Nilikuwa Mugumu mwaka juzi na kitu nilichogundua ni kwamba raia wa kawaida wanatambua kuwa viongozi wa CCM ni matajiri, wengi wao wakiwa na biashara za mahoteli, malori, vituo vya petroli, na magendo ya kupeleka madawa ya kulevya Kenya. Hawa ni raia wa kawaida tu wasiotoa maoni yao kwenye mtandao. Tusiwa under estimate, for lack of a better Swahili phrase.
 
Mkandara, kwa uelewa wangu, Maggid Mjengwa sio mwandishi wa habari, he is not a kournalist but only a writer, yaani ni mwandishi wa makala, wengi hushindwa kuwatofautisha waandishi makala na waandishi habari kwa vile vyote huchapishwa gazetini.

Kwa mwandishi wa habari, opinion is not part of the news story, lakini kwenye makala, opinion inaruhusiwa. Kwa wanaomuona Mjengwa ni mwandishi, basi watawaona waandishi makala wote ni waandishi.

Angalizo: Wakati wowote kuanzia sasa, REDET watatoa opinion poll yao ya mwisho, mtashangaa!.
Mkuu ama hujamsoma Maggid kwani kisha kuwa na gazeti, blog na huandika makala nyingi tu pengine wewe ndio hujamsoma. Kisha unapokuwa na blog yako tayari inakuweka ktk nafasi ya wanahabari kwani kama kuna mashtaka yeyote yale dhidi ya chombo au bandiko ktk blog yako unakuwa responsible.. Hii ni sawa na kazi ya mtu hivyo wasivamie vitu tu ili mradi wana own blog kwani nayo pia ina majukumu yake..Mtandao ndio gazeti la karne hii mkuu wangu...
 
Naungana na wewe kwa asilimia 100% watu wote kwenye mitandao yote wameshamchoka JK na hata ukianzisha online opinion poll itaonyesha hivyo, kama mpaka opinion poll ya Daily News inamuonyesha Dr. Slaa yuko juu,unategemea nini?.
Very unfortunately hao wanaopiga kura za on line opinion polls sio wapiga kura!, wapiga kura wenyewe hata umeme hawana, kula ya shida, ukiwapatia fulana tuu na kofia, shibe ya siku moja na nusu kilo ya sukari, basi ndio umemaliza kila kitu, na hawa ndio Watanzania anaowazungumzia Mjengwa.
Nimekupota Mjomba kwahiyo unataka kuniambia hao redet nao kura zao za maonI wanazifanyia wapi? au nao wanatumia hii system ya online polls? na kama sio hivyo na kama hawatadanganya matokea mambo yatakuwa ni yaleyale I MEAN DR SRAHA
 
Naungana na wewe kwa asilimia 100% watu wote kwenye mitandao yote wameshamchoka JK na hata ukianzisha online opinion poll itaonyesha hivyo, kama mpaka opinion poll ya Daily News inamuonyesha Dr. Slaa yuko juu,unategemea nini?.
Very unfortunately hao wanaopiga kura za on line opinion polls sio wapiga kura!, wapiga kura wenyewe hata umeme hawana, kula ya shida, ukiwapatia fulana tuu na kofia, shibe ya siku moja na nusu kilo ya sukari, basi ndio umemaliza kila kitu, na hawa ndio Watanzania anaowazungumzia Mjengwa.
kwa hiyo wewe, mjengwa na redet ndio msimamo wenu/opinion yenu? kama ni hivyo kwanini ccm watumie nguvu namna hiyo, mpaka wawatumie watu wenye shida binfsi ku-drive the point, nimeona husna akitumika, kitanda cha teremka tukaze, mwalimu wa zamani, tendwa kuachimpeni kuendelea baada ya saa 12 jioni, mabasi kukodishwa kupeleka watu wahudhurie fiesta, vyombo vya serikali kutumika kwenye propaganda au kuwa biased? vyombo vya serikali iwe jeshi nk ? je hivi vitu vyote vinaelekeza picha hii? je walio mfukuza uday iringa ni mtandao/internet, zomea zomea bukombe napo ni internet? kumtumia mshauri wa uganga mnajimu sheikh yahya? nk nafikiri hapa uhitaji nuklia formula ili uapate jibu?
halafu na wewe mwanzo umeaqinisha vizuri mwandishi na mtoa makala, lakini hitimisho lako ni la mtoa makala?
 
Unajua kati ya sifa za uandishi nadhani hii ni mojawapo...
Kama tangazo (Ad) vile linavyotolewa. Kwa uabaya ama uvutio wake huonekana tu pale watu mnavyoumia vichwa na kulitazama, kusoma na kulizungumzia - ndivyo habari inazidi kunoga na tangazo kupanda chati..
Mjengwa kawaletea ya Kikwete, mishipa imewavimba na bahati nzuri imekuwa hoja nzito vichwani mwa watu, maandishi yake yanasomwa na wengi kwa mitazamo tofauti, ndio Uandishi wenyewe unapopata sifa!.

Binafsi hupenda sana hoja zinazonipa shida kutokubaliana na mara nyigi siwezi changia pale napokubaliana zaidi ya kutoa shukran kwa sababu nitakuwa narudia ama na mnukuu mwanzilishi..Hizi ambazo zinanipa chanzo cha kukubali kutokubaliana ndizo zina mvuto mkubwa kwangu..
Point kubwa hapa tupeni Ubovu wa Kikwete kama rais na sababu ambazo mnafikiria atashindwa uchaguzi ujao...Kumbukeni tu..
Kichwa cha nyoka huyu CCM ni Kikwete - in Tanzania winner takes all.. Hadi sasa hivi wandugu kusema kweli bila hata sifa hizo, mimi sioni sababu ya Kikwete kushindwa 2010!..
.
Mkuu Mkandara, nimekusoma hapa kuhusu andishi la Maggid, kalamu yake ina makali kama ya upanga wa makali kuwili, ukisharealize you have such powers, Maggid alitakiwa apime tuu ni wakati gani wa kustab, wengi wanasubiri zile stab from the back, baada ya uchaguzi kumalizika, Maggid ameamua kustab machoni huku anakuangalia, hii ni dalili ya ushujaa, leo tunambeza, baada ya matokeo msije shangaa akaonekana shujaa fulani.
 
kwa hiyo wewe, mjengwa na redet ndio msimamo wenu/opinion yenu? kama ni hivyo kwanini ccm watumie nguvu namna hiyo, mpaka wawatumie watu wenye shida binfsi ku-drive the point, nimeona husna akitumika, kitanda cha teremka tukaze, mwalimu wa zamani, tendwa kuachimpeni kuendelea baada ya saa 12 jioni, mabasi kukodishwa kupeleka watu wahudhurie fiesta, vyombo vya serikali kutumika kwenye propaganda au kuwa biased? vyombo vya serikali iwe jeshi nk ? je hivi vitu vyote vinaelekeza picha hii? je walio mfukuza uday iringa ni mtandao/internet, zomea zomea bukombe napo ni internet? kumtumia mshauri wa uganga mnajimu sheikh yahya? nk nafikiri hapa uhitaji nuklia formula ili uapate jibu?
halafu na wewe mwanzo umeaqinisha vizuri mwandishi na mtoa makala, lakini hitimisho lako ni la mtoa makala?
August, humu kwenye forum, tunafahamiana kwa threads na posts tuu, lakini tungekuwa tunafahamiana kiukweli, usingeweza kunifananisha na Mjengwa au maoni ya Redet. Kitu ninachojaribu kufanya ni kusimama kwenye ukweli na kwenye haki kuitetea haki muhimu sana iitwayo "freedom of expression" ambayo Mjengwa ndio katoa opinion yake, asishambuliwe yeye binafsi kama bali hoja zake ndizo zipanguliwe kwa hoja na sio kwa bezo. Mnyonge, mnyongeni, haki yake mpani.
 
Pasco,Mkandara,Jasusi,

..thread hii niliianzisha mimi zamani hizo. kwa kweli nilishaisahau, na nilipoina leo nilishtuka kuona jina langu kuwa ndiye mwanzilishi.

..inawezekana MJENGWA alishasahau kwamba aliwahi kuandika UTUMBO huu.

..huyu anadai amekuwa akitembelea Bagamoyo mara nyingi. sasa tumuulize kama anaona jimbo la Bagamoyo lilikuwa na uongozi wakati wowote ule tangu lianzishwe.

..tatizo lake ni kwamba Mjengwa anafikiri uongozi ni kukaa vijiweni na kupita-pita mitaani kwa miguu. hiyo ndiyo kumbukumbu waliyokuwa nayo watu wa Bagamoyo kuhusu uongozi wa JK kama mbunge wao kwa zaidi ya miaka 15. they are not talking about schools, kilimo,maji,zahanati, etc etc.

..I am very very results oriented na nakerwa sana na watu wanaopigia upata blah-blah kama Mjengwa na waandishi wengine wa aina yake.

Mjengwa,

..kwanini hukukanusha madai haya wakati ule?

..je, ni kitu gani kimebadili mtizamo wako sasa, kiasi kwamba unataka moderator abadili heading ya thread hii.
 
.
Mkuu Mkandara, nimekusoma hapa kuhusu andishi la Maggid, kalamu yake ina makali kama ya upanga wa makali kuwili, ukisharealize you have such powers, Maggid alitakiwa apime tuu ni wakati gani wa kustab, wengi wanasubiri zile stab from the back, baada ya uchaguzi kumalizika, Maggid ameamua kustab machoni huku anakuangalia, hii ni dalili ya ushujaa, leo tunambeza, baada ya matokeo msije shangaa akaonekana shujaa fulani.
tatizo lako wewe vs mjengwa mtoa makala ni lileli , yaani hitimisho hata hapa nilipo ku-quote nikiangalia hitimisho unamuelewa huyu mtu yupo poje objective au sio objective? sasa kama ungependa kujitofautisha na sisi tusio wajuvi wa uwandishi wa habari rekebisha hitimisho zako toa habari tu? mfano slaa alikuwa njombe jana/leo kasema dash dash na watu walizome/walishangilia basi sio kuweka hitimisho.
maanake wewe umekuwa prosecutor jaji na mtuhumiwa vyote at ze same time
 
Mkandara, kwa uelewa wangu, Maggid Mjengwa sio mwandishi wa habari, he is not a kournalist but only a writer, yaani ni mwandishi wa makala, wengi hushindwa kuwatofautisha waandishi makala na waandishi habari kwa vile vyote huchapishwa gazetini.

Kwa mwandishi wa habari, opinion is not part of the news story, lakini kwenye makala, opinion inaruhusiwa. Kwa wanaomuona Mjengwa ni mwandishi, basi watawaona waandishi makala wote ni waandishi.

Angalizo: Wakati wowote kuanzia sasa, REDET watatoa opinion poll yao ya mwisho, mtashangaa!.

Kumbe wewe na Mjengwa lenu moja!Haya,umejuaje matokeo ya utafiti wa REDET kabla wenyewe hawajayaweka hadharani?Na umejuaje kuwa matokeo haya yatatushangaza?Jibu jepesi ni kwamba wewe na Mjengwa mmegeuka kuwa wasaidizi wa Sheikh Yahya,yani mmejipachika unajimu.

Kwa taarifa yako tu,REDET kamwe hawawezi kutoa research findings zitakazoonyesha kuwa Dkt Slaa anaongoza au watu wengi hawamtaki JK.Hapa sifanyi utabiri kuhusu utendaji kazi wa REDET bali sote tunafahamu namna BAADHI ya viongozi wa taasisi hiyo wanavyoweka kando taalumabna maadili yao kwa minajili ya kisiasa.Yani Dkt Bana asitumie nafasi hiyo kujipa ujiko kwa Kikwete!Kwahiyo,I'm sorry to tell you kuwa matokeo ya utafiti wa REDET is as predictable as posts zako kuhusu Dkt Slaa na Chadema kwa ujumla au makala za Mjengwa kuhusu Kikwete.

Na kuhusu uandishi wa makala,usirejee kosa kama la Mjengwa.Kwa kifupi,licha ya uandishi wa habari (unaojuisha pia uandishi wa makala) kuwa ni taaluma lakini pia kuna element ya kipaji binafsi cha mwandishi.Kadhalika elimu ya mwandishi-wa hard news au opinion- ina umuhimu wake hususan kwenye logic ya anachoandika na namna anavyoweza kuwasilisha ujumbe ukaeleweka.

Pengine ili umwelewe vizuri Mjengwa jipe muda wa kutosha kusoma makala zake pale Raia Mwema,kisha soma makala za waandishi kama Jenerali Ulimwengu au Johnson Mbwambo (wote hao wanaandika makala sio habari though ni journalists by profession).Na hapo sizungumzii msimamo wao katika kukemea maovu bali logic (mantiki) ya hoja zao.Na pengine kubwa linalomfanya Mjengwa asieleweke ni mkanganyiko wa mawazo yake.Kwa upande mmoja anajitahidi kujitambulisha kama mpenda haki,usawa,nk.Lakini upande wa pili (linapokuja suala lolote linalomhusu Kikwete) atabadilika na kuwa kama ripota wa Uhuru or Mzalendo.Hapo zile "busara" zake zitawekwa kando ali mradi amwage sifa kwa JK.Yani hata uchakachuaji wa kura za maoni huko CCM bado Mjengwa aliandika makala ya kusmfia Kikwete huku akida eti "moto aliowasha Kikwete" unaonekana or something like that.

Ni vema Mjengwa na wengineo mjaribu kuwa wepesi wa kusoma alama za nyakati.Of course,CCM imeota mizizi just like ilivyokuwa kwa KANU lakini upepo wa mabadiliko ukivuma kwa kasi hakuna wa kuuzuwia.Of course ubaguzi wa rangi bado ni tatizo nchini Marekani lakini Obama alidiriki kuandika historia against all odds.See,Lewis Hamilton did,Mandela did,etc na hao wote ni against all odds wameweza kuandika historia kinyume kabisa na imani za wengi.Therefore, katika mazingira tuliyonayo sasa si jambo la kushangaza kuona sapoti kwa Dkt Slaa inakuwa kubwa licha ya pingamizi za utawala wa CCM ukisaidiwa na Usalama wa Taifa,JWTZ,vyombo vya habari vya umma,nk.Jamani,yani hata kipofu anaweza kuhisi kuwa hapa kuna namna jinsi Kikwete na CCM walivyo-invest vya kutosha kwenye uchaguzi huu,as if ni chama kinachoomba ridhaa ya kuchaguliwa kwa mara ya kwanza.Mambo magumu kwao licha ya helikopta 3!
 
Pasco,Mkandara,Jasusi,

..thread hii niliianzisha mimi zamani hizo. kwa kweli nilishaisahau, na nilipoina leo nilishtuka kuona jina langu kuwa ndiye mwanzilishi.

..inawezekana MJENGWA alishasahau kwamba aliwahi kuandika UTUMBO huu.

..huyu anadai amekuwa akitembelea Bagamoyo mara nyingi. sasa tumuulize kama anaona jimbo la Bagamoyo lilikuwa na uongozi wakati wowote ule tangu lianzishwe.

..tatizo lake ni kwamba Mjengwa anafikiri uongozi ni kukaa vijiweni na kupita-pita mitaani kwa miguu. hiyo ndiyo kumbukumbu waliyokuwa nayo watu wa Bagamoyo kuhusu uongozi wa JK kama mbunge wao kwa zaidi ya miaka 15. they are not talking about schools, kilimo,maji,zahanati, etc etc.

..I am very very results oriented na nakerwa sana na watu wanaopigia upata blah-blah kama Mjengwa na waandishi wengine wa aina yake.

Mjengwa,

..kwanini hukukanusha madai haya wakati ule?

..je, ni kitu gani kimebadili mtizamo wako sasa, kiasi kwamba unataka moderator abadili heading ya thread hii.

inawezekana wahisani wa ustawi wa jamii wamemuuliza unataka kazi ya ustawi wa jamii au ku-propagandalist wa siasa za mafisadi? si unajua waswidi/nogein na ufisadi ni vitu mbali mbali, na sasa jahazi linataka kuzama atatokea wapi? bora akae na hao donors
 
Back
Top Bottom