Mjengo wa Drogba Noma Sana

Mjengo wa Drogba Noma Sana

kabla hatujaenda mbali!! Amenunua hisa katika makampuni yepi duniani? tusimsifie bure!
 
Vp kuhusu eto na tule kama kuna mtu anaweza kusema ama kupost aseti zao kama nyumba nk
 
hamjauona mjengo wangu nyie watu huyo drogba cha mtoto mie nna mjengo umeseto balaa
 
Kwa gharama hiyo ya Paundi Mil 14 ni sawa na karibia Tshs Bil 37. Hivi kwa nchi kama yake ya Ivory Coast angeweza hiyo pesa kujenga hospital kubwa tuu kama vile ya watoto au magonjwa kama Moyo sii hata huo mpira ukiisha mguuni heshima yake inabaki siku nyingi zijazo?
Ni kweli kila mtu anao uhuru wa kutumia pesa yake apendavyo lakini ni muhimu wakati mwingine kuangalia jamii uliyotoka iko katika maisha ya aina gani. Pamoja na juhudi zake bado mafanikio mengine ni bahati tuu maana wote hawawezi kucheza mpira na kufanikiwa kwa kiasi hicho.

aisee kumbe wiz mtamu? Escrow 2ngekuwa na nyumba7 kama hz
 
Majina mengine ya kuitana tembo wa africa madhara yake ndo hayooo....

Ona sasa
 
jumbaaaa kubwa kama mtaa.....unaweza usionane.na watoto.wako humo inakatika wiki
 
Kwa gharama hiyo ya Paundi Mil 14 ni sawa na karibia Tshs Bil 37. Hivi kwa nchi kama yake ya Ivory Coast angeweza hiyo pesa kujenga hospital kubwa tuu kama vile ya watoto au magonjwa kama Moyo sii hata huo mpira ukiisha mguuni heshima yake inabaki siku nyingi zijazo?
Ni kweli kila mtu anao uhuru wa kutumia pesa yake apendavyo lakini ni muhimu wakati mwingine kuangalia jamii uliyotoka iko katika maisha ya aina gani. Pamoja na juhudi zake bado mafanikio mengine ni bahati tuu maana wote hawawezi kucheza mpira na kufanikiwa kwa kiasi hicho.

Haya ni machache Drogba aliyoifanyia nchi yake:
Drogba is credited with playing a vital role in bringing peace to his country.[SUP][156][/SUP] After the Ivory Coast qualified for the 2006 World Cup, Drogba made a desperate plea to the combatants, asking them to lay down their arms, a plea which was answered with a cease fire after five years of civil war. Drogba later helped move an African Cup of Nations qualifier to the rebel stronghold of Bouake; a move that helped confirm the peace process.[SUP][157][/SUP] On 24 January 2007, Drogba was appointed by the United Nations Development Programme (UNDP) as a Goodwill Ambassador. The UNDP were impressed with his previous charity work and believed that his high profile would help raise awareness on African issues.[SUP][158][/SUP] In September 2011, Drogba joined the Truth, Reconciliation and Dialogue Commission as a representative to help return peace to his home nation.[SUP][159][/SUP] His involvement in the peace process led to Drogba being named as one of the world's 100 most influential people by Time magazine for 2010.[SUP][160][/SUP] Drogba's charity work continued when, in late 2009, he announced he would be donating the £3 million signing on fee for his endorsement of Pepsi for the construction of a hospital in his hometown of Abidjan. This work was done through Drogba's recently created "Didier Drogba Foundation" and Chelsea announced they too would donate the fee for the deal toward the Foundation's project. Drogba decided on building the hospital after a recent trip to the Ivorian capital's other hospitals, saying "... I decided the Foundation's first project should be to build and fund a hospital giving people basic healthcare and a chance just to stay alive."[SUP][161][/SUP]
Levallois Sporting Club, the amateur club where Drogba began his career, used their percentage of his transfer fees including £600,000 out of the £24 million paid when he joined Chelsea – first to ensure the club's survival, and then to improve their stadium to incorporate modern sports facilities for the benefit of the local community. They renamed the new stadium Stade Didier Drogba in his honour.[SUP][162][/SUP]
 
Wanakaa wanakijiji wote au? Hizo ni tamaa na matumizi mabaya ya fedha
 
Anapokimbia kilomita za kutosha ndani ya dk 90 nyie mnapiga monde akiwa yeye anatumia mnakereka watu bhana!!!!
 
Kweli Fanya Kazi kama mtumwa uishi Kama mfalme, dah! The King Drogba ndiyo mchezaji pekee duniani mwenye Mjengo wenye thamani kubwa zaidi uliomgharimu paundi mil 14 point kadhaa. Maelezo zaidi.

attachment.php

Siyo mchezaji pekee mwenye mjengo wenye thamani kuliko wengine,hebu ka-google tena,
 
Siyo mchezaji pekee mwenye mjengo wenye thamani kuliko wengine,hebu ka-google tena,

mwishoni mwa 2014 Magazeti ya ulaya yaliorodhesha top 10 ya majumba ya wanamichezo duniani na ikaonekana wa Droggie unaongoza.....
 
dah wacha niwaache bhana nlishasema jamani mie nachezea mbekenyela sports klab ndio mchezaji mwenye mjengo mkubwa kuliko wote kwa nn mnamngangania drogba ikiwa nna mjengo mkubwa kuliko wachezaji wote soon ntatupia picha ya mjengo wangu jf muuone
 
Back
Top Bottom