Mnyamwezi wa Urambo
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 928
- 275
Hilo kasri lipo Ivory coast au?
Nna penda kusema kwamba.
Kama nyumba hiyo iko ulaya ni kama ameazimwa tu..afadhali iwe africa anaweza aKaishi humo mpaka akapata wajukuu.
Ufahali wa bure tu,nyumba ka hotel,uenda anafuga majini
Hilo kasri lipo Ivory coast au?
Kweli Fanya Kazi kama mtumwa uishi Kama mfalme, dah! The King Drogba ndiyo mchezaji pekee duniani mwenye Mjengo wenye thamani kubwa zaidi uliomgharimu paundi mil 14 point kadhaa. Maelezo zaidi.
![]()
Chonde chonde mkuu kutajana majina nitakuban sasa hivi tehe teheWewe lazima utakuwa Ashki Majinuni
Chonde chonde mkuu kutajana majina nitakuban sasa hivi tehe tehe
tuache majungu watz, tumwache kwani hela ndo ilivyomruhusu, na wewe hela iliyokuruhusu ni kuendesha kibaby walker(vitz) na kupanga chumba na sebule Sinza
Kajenga wap
amejenga wapi?