mjengo opposite na st. peters

mjengo opposite na st. peters

Dah, sasa kama barabara imefungwa kuingia reception ndio nisahau kabisa. Nilikuwa nategemea siku moja nitapata chance ya kwenda kuwatembelea kama mlipa kodi wao.

Umeambiwa makumbusho ya Taifa hapo
 
Nachojiuliza kwanini hawakufikiria kujenga underground facility ya nguvu badala ya kale ka-ghorofa? Au ndio tunapenda sana kukaa maghorofani? Next construction ya Ikulu nadhani itakuwa ya ghorofa pia kwa mtindo huu!

Ikulu ya ghorofa 7, ila kwanza pale ikulu ilipo penyewe mushkeli vile vile
 
Du!!!!......nahisi kuna jambo linatafutwa hapa!
 
Nasikia jamaa wakarimu sana, kuna jamaa alienda kuangalia jengo akakaribishwa, akapewa soda na chakula, ila mie naogopa...!wasije nipa kibano hata siwaamini.
 
ile ni ofisi ya mumiani (wanyonya damu) labda kama matumizi siku hizi yamebadilika, na under ground kuna gym, na sehemu ya kujifunza kucheza na nyoka, na pia kuna kitengo cha kufanyia vasectomy kwa wanaume. ofisi za juu ndio kuna restaurant ambapo waweza pata nyama choma, bia na chai na biscuit. unakaribishwa sehemu yoyote kati ya hizo, ni vizuri utumie barabara ya bongoyo sio ya Ali hassan ili uingie kwa ulaini.
 
Mbona hamuulizi lile jengo la stesheni:A S 39:
Lile jengo la stesheni lilikuwa linatisha. Wakati mwingine ilikuwa inawezekana kusikia jamaa wanalia (piga mayowe) wakati walipokuwa wanabinywa sehemu nyeti. Mwishoni wa miaka ya 70 na mwanzoni wa 80 kila nikipita pale mwili ulikuwa unasismka kwa uwoga flani hivi!
 
Lile jengo la stesheni lilikuwa linatisha. Wakati mwingine ilikuwa inawezekana kusikia jamaa wanalia (piga mayowe) wakati walipokuwa wanabinywa sehemu nyeti. Mwishoni wa miaka ya 70 na mwanzoni wa 80 kila nikipita pale mwili ulikuwa unasismka kwa uwoga flani hivi!

Ahaaaaaa unataka kusema pale ni concentration camp kama ya NAZI!?
 
Hahahaha wakulu mnanichekesha sana na majibu hapo juu.
Ukweli ni kwamba jengo lile limejengwa kwa mfano wa zile ndege za kipelelezi zisizo na rubani....
Ingawa ramani yake ni ya kipekee lakini limekosa touchez za Tanzania building code (kama ipo)
 
Hahahaha wakulu mnanichekesha sana na majibu hapo juu.
Ukweli ni kwamba jengo lile limejengwa kwa mfano wa zile ndege za kipelelezi zisizo na rubani....
Ingawa ramani yake ni ya kipekee lakini limekosa touchez za Tanzania building code (kama ipo)

Sasa kwa nini unasema limekosa hizo touches, au ndio kuonyesha kwamba unajua misamiati ya uhandisi majengo.
 
Sasa kwa nini unasema limekosa hizo touches, au ndio kuonyesha kwamba unajua misamiati ya uhandisi majengo.
Full western na full delicate looking na ninadhani likipata kasheshe kama zile za nine eleven litasambaratika lote kwani yale mabox mfumo wa mabati yaliyowekwa kunakshi jengo si lolote... Haya kisa cha kulifunika na bati badala ya kuwa na material exceptional ya roofing huoni kama ni kukosa ubunifu??
jaribu kurushia jiwe mojawapo ya vioo vya jengo lile kama hakitasagika. Ninaongea kwa sababu ni msanii na nimejitahidi kuperuzi masuala ya sanaa na architecture prehistorically mpaka recently. Kwa mtazamo ni jengo zuri lakini kwa uimara haliizidi jengo la nkurumah la UDSM.
Jifunze kuhusu majengo ya aina hiyo ya dunia ndipo utaninyaka. Nimesema mimi ni msanii wala siyo mbunifu wa majengo but ukiniconsult naweza kutoa wazo... (tatizo lenu mnawadharau sana wasanii wa bongo)
 
...Kwa kuongezea ni kwamba wahandisi na wabunifu majengo wengi wa Tanzania ambao wanamaliza pale ARDHI University wanapungukiwa na artistic touches. Sidhani kama pale wana kitengo cha Fine arts, msidhani fine arts ni kuchora tingatinga pekee bali ni tasnia nzima ya ubunifu na uchoraji. Kama ukiwa huna basic knowledge ya fine arts basi utaishia ku-copy majengo ya wengine. Tukirudi kwenye hata makazi yetu tuna majengo mengi ambayo ni style ya majengo kwa nchi zenye baridi...

Nani anaweza kunithibitishia kama serikali yetu ina building code ya premises zake? Kuna ofisi ya Makamu wa Rais inajengwa attached to Ikulu lakini ipo half way unaona kabisa ni funcy house (siyo kama naponda bali tujisahihishe)

A dream of a brick to become a huge building one day..... attached to others.
 
Wadau, nashukuru sana kwa michango yenu. Sasa naanza kuelewa kuhusu hili jengo. Tuendelee na mjadala.

Halafu hilo jengo la stesheni mi nilikuwa silifahamu ati....ndio tatizo ya kuzaliwa miaka ya tisini, tumepitwa na mambo mengi sana.

Kwa hiyo kwa kifupi mpaka sasa, nilivyojifunza ni:
1. ni mjengo wa wanyonya damu/ TISS
2. either a. ukienda maeneo yale utakamatwa, au b. utakaribishwa chai (nahitaji discussion zaidi kuhusu hili)
3. ni jengo ambalo ingekuwa vyema lijengwe underground. Baadhi ya wataalam wetu, kama Msanii, wanadhani maakitekcha wamechemsha kwenye design ya lile jengo, na labda sio imara.


kuna kitu nimesahau?
 
Back
Top Bottom