Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
Baada ya wiki nilirudi.Uliaga humu? Any way hapa ni mtakuja so siku nyingine ukichoka sepa kimya kimya.
Nilijaribu michuzi blogu nkakuta sio blogu bali ni bomu. Hamna uhuru kama wa hapa kwetu. Nikalazimika kurudi mkuu wangu.
JF haikimbiwi mkuu wangu, ukiona mtu kakimbia ni kweli anasepa kimya kimya.
Baada ya miaka 5 JF itakuwa maarufu kuliko face book nakwambia. lool