mjengo opposite na st. peters

Chifunanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
290
98
Hivi wadau, ule mjengo uliopo opposite na St. Peters (nyuma ya DSTV) ni wa nini?

Kila siku asubuhi nikiwa naenda kazini napita pale, ila mpaka leo sijui ni mjengo wa nini/nani. Maana sichelewi kusikia umechakachuliwa na watanzania tuanze kulipa kama tunavyokaribia kuilipa DOWANS
 
Du, kumbe kuna watu humu nchini mpo mpo tuu kama hampo?. Yaani Chifu mzima usipajue pale?!
Ile ndio ofisi kuu ya mambo yote, ndipo ofisini kwa mkuu RO, au nae humjui?. ni Makao makuu ya TISS au nayo huijui?.
 
Nachojiuliza kwanini hawakufikiria kujenga underground facility ya nguvu badala ya kale ka-ghorofa? Au ndio tunapenda sana kukaa maghorofani? Next construction ya Ikulu nadhani itakuwa ya ghorofa pia kwa mtindo huu!
 
Du, kumbe kuna watu humu nchini mpo mpo tuu kama hampo?. Yaani Chifu mzima usipajue pale?!
Ile ndio ofisi kuu ya mambo yote, ndipo ofisini kwa mkuu RO, au nae humjui?. ni Makao makuu ya TISS au nayo huijui?.

Mkuu pasco jamaa yupo kazini
we siku zote anapita kuanzia msingi mpka watu wameamia anakuja kuuliza humu JF?
 
ni wa walinzi wa jk? maana upo mitaa yao....haya majengo yasiyo na ubao wa maelezo ndo ya kifisadi fisadi
 
Du, kumbe kuna watu humu nchini mpo mpo tuu kama hampo?. Yaani Chifu mzima usipajue pale?!
Ile ndio ofisi kuu ya mambo yote, ndipo ofisini kwa mkuu RO, au nae humjui?. ni Makao makuu ya TISS au nayo huijui?.

dah, asante kaka, samahani kwa kuuliza.

ila ninaswali lingine.....hivi naweza kuingia mpaka reception au ni illegal kuweka mguu pale?
 
Unaruhusiwa tu kwani nani kasema unakatazwa? soma vibao vyote vilivyozunguka pale na fuata maelekezo. Ukiona reception tu, ingia eleza shida yako utahudumiwa.:faint2:
 
una maana ya lile jengo linafanana na mbayuwayu? mbona mimi nimesikia ati ni banda la kufugia kuku la mmojawapo wa mafisadi wakuu wa nchi?
 
dah, asante kaka, samahani kwa kuuliza.

ila ninaswali lingine.....hivi naweza kuingia mpaka reception au ni illegal kuweka mguu pale?

Chifu usitake kuleta za kuleta, wewe jengo hulijui sasa umelijua ndio unataka kwenda. Haya nimejitolea kukusaidia shida yako. Pale ndio ofisini kwangu. Karibu unitembelee. Ukifika pale ulizia kuwa una shida na Chief. Ili usimbuliwe kuniona sema una taarifa nyeti toka chama cha vurugu na maandamano na kwamba wanapanga mikakati nchi isitawalike. Wataniita mimi mwenyewe nitakuona na nitakusaidia. Kama nawe ni mwana siasa tutakusaidia, tumesha wasaidia sana CUF na NCCR Mageuzi na wazee wa UDP na TLP. Hivyo karibu sana. Au nikupe na number yangu ya simu ili vijang wa getini wasikusumbue?.
 
long time nikitoka magomeni kwenda obay kuogelea tulikamatwa hapo na cid wa nyerere that time since then mie najua ni usalam wa taifa
 
nimejijengea kijiofisi kwa ajili ya masuala madogo madogo ya ujasiriamali, actuaaly napanginsha underground
 
dah, asante kaka, samahani kwa kuuliza.

ila ninaswali lingine.....hivi naweza kuingia mpaka reception au ni illegal kuweka mguu pale?

Chifu usitake kuleta za kuleta, wewe jengo hulijui sasa umelijua ndio unataka kwenda. Haya nimejitolea kukusaidia shida yako. Pale ndio ofisini kwangu. Karibu unitembelee. Ukifika pale ulizia kuwa una shida na Chief. Ili usimbuliwe kuniona sema una taarifa nyeti toka chama cha vurugu na maandamano na kwamba wanapanga mikakati nchi isitawalike. Wataniita mimi mwenyewe nitakuona na nitakusaidia. Kama nawe ni mwana siasa tutakusaidia, tumesha wasaidia sana CUF na NCCR Mageuzi na wazee wa UDP na TLP. Hivyo karibu sana. Au nikupe na number yangu ya simu ili vijang wa getini wasikusumbue?.
 
long time nikitoka magomeni kwenda obay kuogelea tulikamatwa hapo na cid wa nyerere that time since then mie najua ni usalam wa taifa
Umepatia, tena wakati ule jengo lilikuwa limezungukwa na michongoma mirefu. Wakati wa Mwalimu tulijua hapo ilikuwa ni ofisi ya manjagu.
 
long time nikitoka magomeni kwenda obay kuogelea tulikamatwa hapo na cid wa nyerere that time since then mie najua ni usalam wa taifa

sasa wakiwakamata inakuwa kwa kosa gani? au kuna vibao vinasema usipite hapa?....kweli jamani mi sijawahi kwenda mitaa hiyo.

na baada ya kukamatwa wanawafanya nini?....kwa sababu kama hawafanyi kitu chochote kibaya ni bora na mi nijiendee ili nikamatwe, atleast nitakuwa najua kunaonekanaje. as long as unaachiwa bila tatizo.
 
kweli jamani mi sijawahi kwenda mitaa hiyo.

Usituchezee akili!....

Mkuu Freestyler.....KWENDA na KUPITA ni maneno yenye maana mbili tofauti. Mi napita ile barabara ya kutoka morocco kwenda salendar.....huo mjengo upo ndani ndani huko nyuma na DSTV.
 
Njia ya kuingilia imefungwa lakini magari yanaingia siwaelewi.

Dah, sasa kama barabara imefungwa kuingia reception ndio nisahau kabisa. Nilikuwa nategemea siku moja nitapata chance ya kwenda kuwatembelea kama mlipa kodi wao.
 
Back
Top Bottom