KUKU-DUME
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 474
- 196
Akizungumza kupitia Radio Furaha ya mjini Iringa amesema ni kweli alipokea fedha kutoka kwa mch. Msigwa kiasi cha shilingi. 1,865,000.ambapo milion moja alipokea mchungaj kutoka kwa Majid, Laki tano ilitoa familia ya mchungaji Msigwa na laki tatu na sitini na tano ilitolewa na watu walio changia ktk mkutano wa Kihesa.
Pia aonya kuwa wasimchafue Msigwa kwa hilo pia awataka walio fanya unyama ule warudishe vifaa vya marehem pamoja na fedha walizochukua maana anapoondoka marehem aliondoka na sh.600,000 za kununulia vifaa vya ujenzi mara baada ya kutoka kazin.na waliochukua fedha hizo ni polisi na ndio walio fanya unyama.
Source. Radio Furaha IRINGA.