Mjane wa Mwangosi akiri kupokea fedha kutoka kwa Mch. Msigwa

Mohamedi Mtoi upo kundi lipi chadema la Zitto au la Mbowe?

Halafu akishakujibu?! Yaani ni ----- kweli kweli. Chadema hatutaki makundi ya kijinga jinga, bali tunahitaji mabadiliko ya kweli yenye utu. Maccm mtahaha sana mwaka huu, 2015 tunachukua nchi.
 
Last edited by a moderator:
Magezeti ya CCM kwa ujinga wao na ukanjanja wao waimeifanya habari ya Msigwa kuwa leading story huku wakiwa hawaja hangaisha akili zao kumhoji mke wa Marehemu Mwangosi.

Walipo muuwa muwe wake hawakuipa fursa familia kuhoji kama marehemu alishapatiwa vifaa vyake vya kazi vilivyopotelea mbele ya Poli-ccm wao wamekimbilia uzushi na uzandiki. Poor ccm.

Mkuu si hivyo tu hawa wa hariri watawajibishwa tu inatakiwa kutunza hayo magazeti na maelezo yao kwani 2015 wauaji wote kwa kutumia kitu kizito watakamatwa baada ya Chama makini cha CHADEMA kupewa ridhaa na watanzania ya kushika dola na hawa watakuwa wanawajibika kwa kuwapa hamasa wauaji.
1.Watakamatwa wa husika wakweli na siyo huyo mmoja nayefunikwafunikwa hapo kwa kutuzuga.
2.Familia ya Mwangosi lazima itarudishiwa vifaa vyote na kulipwa fidia stahili stay tuned.
 
Akizungumza kupitia Radio Furaha ya mjini Iringa amesema ni kweli alipokea fedha kutoka kwa mch. Msigwa kiasi cha shilingi. 1,865,000.ambapo milion moja alipokea mchungaj kutoka kwa Majid, Laki tano ilitoa familia ya mchungaji Msigwa na laki tatu na sitini na tano ilitolewa na watu walio changia ktk mkutano wa Kihesa.

Pia aonya kuwa wasimchafue Msigwa kwa hilo pia awataka walio fanya unyama ule warudishe vifaa vya marehem pamoja na fedha walizochukua maana anapoondoka marehem aliondoka na sh.600,000 za kununulia vifaa vya ujenzi mara baada ya kutoka kazin.na waliochukua fedha hizo ni polisi na ndio walio fanya unyama.


Source. Radio Furaha IRINGA.
Chris Lukosi Dhambi ya kula rambi rambi itakutesa sana...
 
Last edited by a moderator:
Mbona Chris Lukosi atoi list ya watu waliochanga mapound ikawa pesa ya kitanzania Million Moja.
Na mashaka makubwa Chris amechakachua pesa ya rambi rambi kwa kiasi kikubwa sana. Hii ni laana kubwa sana kwa chris na kila siku ataendelea kuwewuka.
Waulize Chadema UK walitoa kiasi gani ,

Kwa taarifa yako nusu nzima ya hizo hela nilitoa mimi mwenyewe
 
Hapa na Mbunge Msigwa alipo kabidhi lambi lambi ImageUploadedByJamiiForums1386155166.137769.jpg
 
Waandishi wengi wa habari kumbe ni mbumbu zaidi wanaokoteza hadithi za vijana ma jobless hapa JF wanafanya habari ? Vijana hawa hawana kazi wala maisha zaidi ya JF na wao wamesha changanyikiwa na ugumu wa maisha wana ropoka tu na nyie mnachukua yalivyo ?
 
Nasikia Iringa kuna mama mmoja '...' anajaribu kujenga umaarufu hapo Iringa mjini, analitaka jimbo analoongoza Msigwa kwa sasa, siasa ndio huwa na kukurupuka mara nyingi hata bila kutafuta ukweli. Maana kama ni gazeti inabidi liwe la ajabu kidogo, kama njia rahisi namna hiyo ya kuthibitisha ilikuwepo wao wakaandika upande mmoja mhh. yaweza kuwa siasa, Hata magazeti yaliyoitwa ya udaku yanajitahidi sana kufuatilia sana ukweli na kuwaondoa shaka watu, sasa kama kuna gazeti makini la hivi yatia shaka.

Anaitwa mamaJESKA mmiliki wa shule za star international anahangaika huyu mama mfano hakuna.
 
mie ni mmoja wapo ya watu tuliochanga rambi rambi toka UK ni zaidi ya milioni kumi zilipatikana hila najiuliza mpaka sasa mil 9 ziko wapi? Hivi kweli unaweza kutafuna rambirambi, huyu Lukosi kumbe ni jambazi!
 
jamani watu hawana utu siku hizi,.

Hadi mjane anadhulumiwa haki yake?,..
 
Lukosi alipokea hela kiasi gani hapo uingireza? Hiyo ndiyo stori kwa sasa...
 
Back
Top Bottom