Mjane wa Mwangosi akiri kupokea fedha kutoka kwa Mch. Msigwa

KUKU-DUME

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
474
196
Akizungumza kupitia Radio Furaha ya mjini Iringa amesema ni kweli alipokea fedha kutoka kwa mch. Msigwa kiasi cha shilingi. 1,865,000.ambapo milion moja alipokea mchungaj kutoka kwa Majid, Laki tano ilitoa familia ya mchungaji Msigwa na laki tatu na sitini na tano ilitolewa na watu walio changia ktk mkutano wa Kihesa.

Pia aonya kuwa wasimchafue Msigwa kwa hilo pia awataka walio fanya unyama ule warudishe vifaa vya marehem pamoja na fedha walizochukua maana anapoondoka marehem aliondoka na sh.600,000 za kununulia vifaa vya ujenzi mara baada ya kutoka kazin.na waliochukua fedha hizo ni polisi na ndio walio fanya unyama.


Source. Radio Furaha IRINGA.
 
Watu waache unafiki....mama mwangosi kakiri mwenyewe kupokea hizo pesa then ana ibuka mtu analeta chokochoko.
 
Lukosi,kama sio mnafiki basi eleza ulipokea michango ya kiasi gani na ulimpa Maggid kiasi gani??!!

Usiishie tu kuleta hekaya za kusema aulizwe Maggid na Msigwa!!

Chriss Lukosi ndio id itayoleta tija na sio Chilisosi,Kalenga au Chizisosi!!!
 
Magezeti ya CCM kwa ujinga wao na ukanjanja wao waimeifanya habari ya Msigwa kuwa leading story huku wakiwa hawaja hangaisha akili zao kumhoji mke wa Marehemu Mwangosi.

Walipo muuwa muwe wake hawakuipa fursa familia kuhoji kama marehemu alishapatiwa vifaa vyake vya kazi vilivyopotelea mbele ya Poli-ccm wao wamekimbilia uzushi na uzandiki. Poor ccm.
 
Magezeti ya CCM kwa ujinga wao na ukanjanja wao waimeifanya habari ya Msigwa kuwa leading story huku wakiwa hawaja hangaisha akili zao kumhoji mke wa Marehemu Mwangosi.

Walipo muuwa muwe wake hawakuipa fursa familia kuhoji kama marehemu alishapatiwa vifaa vyake vya kazi vilivyopotelea mbele ya Poli-ccm wao wamekimbilia uzushi na uzandiki. Poor ccm.
are u mm2 wa waraka wa siri?
 
Hivi kumbe vifaa na nguvo za marehemu havijarudishwa mpaka leo; Camera, Nguo, Viatu Pamoja na mshiko wa ujenzi watu wametia ndani laah!!

too sad, yaani ukoo wa panya ni ukoo wa panya tu!! yaani Baba, Mama, Watoto, Wajukuu ni balaa......
 
Chris Lukosi akili yake haijatulia yule, ni wa kumuombea kwa mizimu ya babu zake imsamehe. Haipiti wiki moja atakuja tena na hilihili..
 
Last edited by a moderator:
Ondoa ujinga wako hapa.....mbeba mabox ndio alianzisha.na inasemekana alichangisha zaidi ya milion moja nyingine kaweka kapuni.

likosi rudisha pesa za mjane ulizokula kumbuka mjane ni mke wa mungu iko siku utalipa mara millioni poor you.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom