Mjadala wa katiba mpya ITV; Mnyika, Tambwe Hizza na Dr. Mvungi

Katika hilo namuona yuko sahihi. Kama wananchi waliipa ushindi CCM na ishu ya katiba mpya si ajenda yao. It means wananchi hawataki katiba mpya. Wakati mwingine tujilaumu kuwa sisi watanzania ni wajinga. Na ninasema with confidence swala la katiba mpya chini ya CCM halitakuwepo.

Wananchi wengi uelewa ni mdogo kuhusu katiba. Na wengi hawajui hata umuhimu wa hiyo katiba kwamba hajui ikibadilishwa au ikibaki inamsaidia nini. Umaskini umekithiri miongoni mwa watanzani, wananchi wamechagua vilemba, kanga na viatu vya CCM walivyopewa. Katiba it wasnt an issue. Huoni till now wananchi wanavaa zile wanadunda?
 
Sasa nimegundua kwanini ccm wamemtuma tambwe kwenye huu mjadala. Ameletwa kuja kuvuruga mjadala, amewatoa kwenye mjadala na sasa wanabishana. Mjadala umeharibika kabisa
 
Kashachezea sana kichapo huyo hanna jipya, nitham ya woga ishaover flow mnataka alale wapi usiku huu wakati maisha ndio hayo kashayapata.... Aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa tena...
 
Kashachezea sana kichapo huyo hanna jipya, nitham ya woga ishaover flow mnataka alale wapi usiku huu wakati maisha ndio hayo kashayapata.... Aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa tena...

kweli halafu kaharibu mjadala wote
 
Masako mbona anashindwa kumdhibiti huyu Tambwe Hiza, anakuwa kama yeye ndo mwenyekiti wa mdahalo. Agriiiiiiiiiii, kichefu chefu kweli kweli
 
Tambwe hiza boya sijapata kuona...kama litoto...kuna ombwe kubwa sana la uongozi kama ccm imempa cheo huyu boya..kichwani hamna kitu
 
huyo laana usaliti na njaa iliyompeleka ccm ndo inavyomtafuna pili lini mtu mwongo akapewa nafasi ya kuzungumza mambo nyeti kama hayo yeye kwanza anatunzwa kama mtoto hana mpya pale ccm.
 
Naona adi aibu huyu baba anachoonge hapa... Full upupu.... Si anasimu kwa nini wasimpe desa hata akaongea la maana hata moja. Yaani tokea kaongea sijaona hata moja la maana.... CCM kweli iko ICU!:faint2:
 
Huyu mwehu wa ccm amefanikisha kuvuruga Mjadala mie nilijua tu kuanzia mwanzo hili lingetokea.
 
ITV sould not invite Tambwe ktk mijadala ya tija kwa taifa, hakika amepoteza dira halisi na kuleta fujo ktk mjadala. Ni aibu sana kwa khulka yake na kwa alichokiongea Tambwe, hii si kampeni za Temeke bali ni mjadala wa kistaarabu.
 
Mvungi anasema Tanzania ingekuwa na Tambwe hiza kama 10 nchi ingekufa haraka mno,yuko right hivi huyu jamma ana elimu ya kumuongoza hata kujenga hoja,mbona anachekesha sana,ana elimu gani huyu???????
 
Pendekezo: Mijadala mingine vilaza wa ccm wasialikwe wanachefua tu na kupoteza muelekeo wa kudai haki.
 
Ccm aibu gani mnajitwisha kwa kumleta tambwe hiza ............. Kaletwa na makamba nini?? Ndege wa aina moja huruka pamoja!!!
 
Wandugu,
Hakika leo kupitia kipindi cha kipima joto cha ITV nimepata fursa ya kujiridhisha kuwa tambwe hiza ni mlopokaji. Anapoongea inakuwa kama mdomo umetenganishwa na ubongo.
 
Back
Top Bottom