Mjadala wa katiba mpya ITV; Mnyika, Tambwe Hizza na Dr. Mvungi

Hivi hakuna ruhusa ya kuwachapa bakora waropokaji kama tambwe na makamba?Wanakejeli mambo ya msingi kwa ufinyu wa fikra zao
 
Haya kilaza kaulizwa rais -m/kiti wa ccm ameridhia na kuunda utaratibu wa kupitia katiba. Mbona yeye nakuwa kinyume? hebu tuone anajibu nini
 
Hii ndio aina ya viongozi wetu wa ccm. Ndo maana walikataa midahalo
 
Kumbuka Masauni kuwa ushidi wa ccm ulitokana na uchakachuaji wa matokeo na hakuna mtu aliyeipa ushindi ccm ( chukua chako mapema)
 
nimependa swali la Masako kwa Tambwe, he is not smart @ all ktk kujenga na kujibu hoja.
 
Sijui kwa nini tambwe hiza kaletwahapo-naona mpaka wachangiaji wa simu wanampinga yeye-amekuwa virus mbaya sana hapo..........na pointless
 
Maskini Tambwe anazidi kujidhalilisha kwa kuongea ujinga, ningekuwa mimi nisingesema chochote, naamini shule muhimu
 
hivi jamani kwa nini CCM hawajiamini,tambwe kaambiwa aondoe u CCM mjadala usonge mbele,saizi anabishana na masako!!!!!
 
Wakuu, kwetu hatukuwa na umeme. Shukrani kwa kutupatia wasifu wa tambwe, mtoa upupu. Tunaomba itv wasimwalike tena ili watu wapate hoja za kupost hapa kutuelimisha
 
Dah mwana wa Mbwa Mbwa tu... samahani namaanisha ninachokiona hapa hawa CCM wanaongozwa na baba wa kambo ambaye anaogopa sana kusema maana wao tabia zao na za baba yao tofauti na wamemfanya baba yao wa kambo awe mwoga ajabu maana mitoto ina tabia mbaya hakuna mfano halafu haina aibu hebu angalia huyo mmojawapo hapo anajichanganya anajikoroga haeleweki kisa anataka kulinda 'maslahi ya ssm' anaropoka ninakereka na hajui Hisotria maskini ... sishangai ndo maana kaka yao mkubwa aliwakataza wasije kwenye midahalo kama hii kutokana na Umbumbu
 
Wakuu, kwetu hatukuwa na umeme. Shukrani kwa kutupatia wasifu wa tambwe, mtoa upupu. Tunaomba itv wasimwalike tena ili watu wapate hoja za kupost hapa kutuelimisha

kaharibu mjadala wote wa katiba anaropoka sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom