Mjadala wa katiba mpya ITV; Mnyika, Tambwe Hizza na Dr. Mvungi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjadala wa katiba mpya ITV; Mnyika, Tambwe Hizza na Dr. Mvungi

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by FredKavishe, Jan 21, 2011.

 1. F

  FredKavishe Verified User

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kuna John Mnyika, Tambwe Hizza na Dr Mvungi.

  Twende kazi
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Jamani mbona tambwe anaendelea kufutuka tu?? Unene wa aina hiyo siyo kawaida kwa mwanaume mwenye majukumu. Anakula nini huyo mlopokaji??
   
 3. Jidundufila

  Jidundufila Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndugu. Kuna mjadala unaendelea wazungumzaji ni Tambwe Hiza, DR Mvungi, Mnyika na Limbu
   
 4. K

  Kalila JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  big up mnyika tuelimishe wananchi huo ni mfano wa vijana wa chama namuona tambwe anadesa kwa mnyika kaegesha tumbo tu na anakaribia kupasuka
   
 5. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tambwe Hiza!!Hao itv wametumia kigezo gani kumualika Mtu wa aina hii au swala la KATIBA wanataka kuligeuza kuwa Propoganda?Ndo kazi ya huyu Bwana cjawahi kumsikia akiongea point hata 1tu katika maisha yangu.
   
 6. F

  FredKavishe Verified User

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  anakula baga'
   
 7. F

  FredKavishe Verified User

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  tusubiri pumba zaidi
   
 8. F

  FredKavishe Verified User

  #8
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  si kasha chukua chake mapema
   
 9. Jidundufila

  Jidundufila Member

  #9
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tambwe anasema katiba inapatikana kulingana na mahitaji. wapinzani ndo wanaisaka sana katiba
   
 10. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Huyu tambwe sijui tambo anaongea nini?
   
 11. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Duuu, basi amechukua mapema share kubwa sana.
   
 12. Jidundufila

  Jidundufila Member

  #12
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tambwe. Wapinzani tu ndo hawaitaki katiba
   
 13. M

  Mkare JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mropokaji kwelikweli... Sijui hata anazungumzia nini hapa. Naona anajaribu kudefend badala ya kujenga hoja za msingi. Kanenepeana mpaka akili nayo imejaa mafuta
   
 14. F

  FredKavishe Verified User

  #14
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  anamwaga upupu mtupu eti wananchi hawaitaji katiba mpya
   
 15. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Yaani huyu jamaa anakiri kabisa mbele ya watz wote kwamba katiba ilishirikisha wananchi,anauhakika
   
 16. F

  FredKavishe Verified User

  #16
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  mjinga huyo kweli ana pumba sana
   
 17. F

  FredKavishe Verified User

  #17
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  vuta picha miaka 10 alikuaje akiwa cuf
   
 18. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani wana jf angalieni itv kipindi kipima joto kinaendelea muda huu. Mnyika amejibu hoja za wanaosema watanzania hawaielewi katiba. Anasema wanafuatilia matukio na mapungufu bila ufahamu wa vifungu vya katiba lakini wakiashiria kuwepo mapungufu katika katiba iliyopo.

  Tambwe hiza anendelea kutoa upupu
   
 19. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kwanza anabore sana hata uzungumzaji wake wakivivu kishenz
   
 20. F

  FredKavishe Verified User

  #20
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hana kitu pumba tu huyo sijui hata kwanini kaitwa
   
Loading...