Pata audio ya mdahalo huo hapa:
1 http://chirb.it/wLaDBN
2 http://chirb.it/Kmv1b3
3 http://chirb.it/7KhPNH
4 http://chirb.it/gGM1vb
5 http://chirb.it/OCEKg1
6 http://chirb.it/6Ie1zt (hii ndio kali zaidi)
7 http://chirb.it/21vF9z
niwakumbushe wana JF kuwa msisahau kufuatilia mdahalo wa DOWANS leo Saa tatu na Robo usiku na Itv.
Ngeleja na Sitta.....sina uhakikakina nani watakuwepo
Nilikuwa nataka kutoka lakini umenikumbusha nashukuru mkuu,niwakumbushe wana JF kuwa msisahau kufuatilia mdahalo wa DOWANS leo Saa tatu na Robo usiku na Itv.
Nashukuru lakini tuombe umeme usikatike, maana siku hizi unakatika bila taarifa.TANESCO CHOKA MBAYA.niwakumbushe wana JF kuwa msisahau kufuatilia mdahalo wa DOWANS leo Saa tatu na Robo usiku na Itv.
Ndiyo unaweza kuipata ITV online kupitia tv4africa.com. Mimi nalipa dola 7 kwa mwezi au euro 5.58hivi kuna tv station yoyote ya bongo inayopatikana online hata kwa kulipia?