MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

hajui tofauti ya sanamu na Picha
emoji115.png

Wewe ndiye hujui kitu chochote..

Ngoja nikupe hii..

Sanamu kitaalamu ipo kwenye 3D conformal...ila picha ni kitu kilicho katika 2D conformal..

Ili uwe na Sanamu lazima uwe na picha ya kitu unachotaka kutengenezea statue yako....Hivyo ni transformation ya 2D kwenda kwenye 3D...

Hivyo hakuna Sanamu bila picha...picha ni sanamu iliyo katika 2D conformal..

Done!
 
Na wanadamu waliosalia, wasiouawa kwa mapigo hayo, hawakuzitubia zile kazi za mikono yao, hata wasiwasujudie mashetani, na sanamu za dhahabu na za fedha na za shaba na za mawe na za miti, zisizoweza kuona wala kusikia wala kuenenda." ( Ufunuo 9:20)

Kumbe picha zinaweza kuona, kusikia na kuenenda ehh....?

Usijeukatufanya wote tuonekane ni matahira humu ndani. ..
 
Otorong'ong'o,
Wataalamu wanasema bora ukae kimya watu wawe na wasiwasi kama ni mjinga, kuliko kuomgea na kuwapa uhakika kua kweli wewe ni mjinga.
PICTURE AND IDOL ni vitu viwili tofauti kabisa.

Halafu unaleta mfano eti Wali na Ubwabwa

Hata kiswahili hujui?

Mtu anaepiga picha anaitwa MPIGA PICHA

haya tuambie mtu anaechonga masanamu ataitwaje? MPIGA SANAMU?
 
Wewe ndiye hujui kitu chochote..

Ngoja nikupe hii..

Sanamu kitaalamu ipo kwenye 3D conformal...ila picha ni kitu kilicho katika 2D conformal..

Ili uwe na Sanamu lazima uwe na picha ya kitu unachotaka kutengenezea statue yako....Hivyo ni transformation ya 2D kwenda kwenye 3D...

Hivyo hakuna Sanamu bila picha...picha ni sanamu iliyo katika 2D conformal..

Done!
08bc513a06fae08a723f32b39c3e2100.jpg

Hiyo ni picha ya sanamu.

036be26cd0d1c74692764d933b484211.jpg

Na hiyo ni picha ya farasi.
 
Wataalamu wanasema bora ukae kimya watu wawe na wasiwasi kama ni mjinga, kuliko kuomgea na kuwapa uhakika kua kweli wewe ni mjinga.
PICTURE AND IDOL ni vitu viwili tofauti kabisa.

Halafu unaleta mfano eti Wali na Ubwabwa

Hata kiswahili hujui?

Mtu anaepiga picha anaitwa MPIGA PICHA

haya tuambie mtu anaechonga masanamu ataitwaje? MPIGA SANAMU?
Ok! Sawa ..
 
Kumbe picha zinaweza kuona, kusikia na kuenenda ehh....?

Usijeukatufanya wote tuonekane ni matahira humu ndani. ..
Sijawahi kuona mtu anapinga Biblia live, leo nimejionea kweli Roman Catholic ni mpinga Kristo Msitari nilioweka hapo unapatikana kitabu cha ufunuo sio maneno yangu.
 
mkuu now tupe maoni yako je yesu alikuja kutimiliza Yale yalioandikwa kwenye torati kuhusu unabii wake ama hapana hakuja kutimiliza coz bible ipo wazi na inaeleweka but sometimes inachanganya ukitaka mifano nitakupa.
 
Jibu swali, Je! Mungu alikataza kuchonga sanamu na kuruhusu picha..?

Mbona ni rahisi sana
 
Msaidie kujibu, je Mungu alikataza kutengeneza sanamu na kuruhusu kutengeneza picha..?
 
hapana mkuu niko side ya Roman sasa ndio najaribu kumwambia mambo jinsi yalivyo yanachanganya kwenye biblia kwasababu unaweza ukawa na right point then ikawa wrong then ikawa right kwa mfano Yesu kristo mkombozi wetu anasema hakuja kuitengua torati bali kuitimiliza lakini pale anaposema chochote mungu alichokiunganisha mwanadamu hapaswi kutenganisha"ukifunga ndoa" je alimaanisha nini wakati huo huo torati ya musa inasema na "mwanamke akizini nje ya ndoa na apewe taraka " ndio maana nikamuuliza anafikili vipi je yesu alikuja kuitimiliza torati ama kuitengua
NOTE:kwakuwa anapenda mifano atapata mingi tu coz niko hapa instead of Roman Catholic church.
 
Mbona jibu unalo tayari, Yesu hakuja kutangua torati bali kutimiliza ( Mathayo 5:17)
 
Jibu swali, Je! Mungu alikataza kuchonga sanamu na kuruhusu picha..?

Mbona ni rahisi sana
We mwabudu sanamu acha kusumbua watu kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu. Somo la picha na sanamu ulipaswa uwe umeshajua tangu kindergaten. Kwa kuwa ulitoka kapa huko, umeshaelimishwa kuwa picha na sanamu ni vitu viwili tofauti.usije ukaona picha kwenye mabango barabarani ukaaza kuzisujuudia, sio sanamu hizo.
 
We mwabudu sanamu acha kusumbua watu kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu.
Ni kwasababu huna jibu...isipokuwa unafiki..

Somo la picha na sanamu ulipaswa uwe umeshajua tangu kindergaten. Kwa kuwa ulitoka kapa huko, umeshaelimishwa kuwa picha na sanamu ni vitu viwili tofauti.
Utifauti w vitu hivyo upo wapi..? Wali na pilau vinatofauti...?

usije ukaona picha kwenye mabango barabarani ukaaza kuzisujuudia, sio sanamu hizo.
Kwa kuwa picha ni kitu gani hasa..?
 
Back
Top Bottom