MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

boxer then tvs then honlg(hizi nimeziona moshi tu wanabebea mirungi) toyo kisha upuuzi mwngine unaofuata ila cha kukushauri ni kwamba boxer na tvs spare zake ni ghali sana kama ni ya kazi ngumu bora uchukue honlg
 
boxer then tvs then honlg(hizi nimeziona moshi tu wanabebea mirungi) toyo kisha upuuzi mwngine unaofuata ila cha kukushauri ni kwamba boxer na tvs spare zake ni ghali sana kama ni ya kazi ngumu bora uchukue honlg
Asnt Brow
 
Kwani wapi nimetaja pikipiki ya mchina au ulimaanisha kum quote mwingine
Honda Cbr
Suzuki Hayabusa
KTM
MV Augusta
Kawasaki Ninja
BMW Adventure
Aprilia
Harley Davidson
Hizo ndio pikipiki achana na takataka za mchina
 
jamani mi ni mfugaji wa kuku niko arusha nipeni tenda ,nauza vifaranga ,mayai ,kuku wa aina zote, karibuni pia samaki ukiweka oda unapata wabichi waliokaangwa kutoka hapa shambani kwangu nawakaribisha woote,mawasiliano piga 0766496263
 
940823_385813088228722_1618586367_n.jpg
 
Sawa na asnt kwa mimi niko MTWARA na matumizi yangu ni binafsi kwa kiac kikubwa kwakuwa nahtaji ya kwaajili yakuendea kazi tuu na mizunguko isiyo zid km30 kwa siku
Mizgo kwangu ni nadra sana
Na kama abilia kubeba pia ni mara chache sana hivyoo yaan


Naona kama Boxer inanishawishi kutokana na hazi yake ata mbele ya watu na kiofisi ata kuwabebea mashejio....
Nunua Boxer mkuu tena ukipata cc100 au cc125 hutojuta kwa matumizi yako
 
Back
Top Bottom