MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

Kumekuwa na makampuni mbalimbali yanayofanya biashara ya kuuza pikipiki. Baada ya kutumia pikipiki aina ya T better kwa muda mrefu nimeona ni bora sasa ninunue Boxer.

Naomba nijue faida na changamoto ya hizi pikipiki. Na kama kuna anayeuza njoo inbox tuyajenge.
 
Bro,bora pkpk za china kwa sababu zina spea nying,lakin boxer ina nying fek na sio imara kama ile iliyokuja nayo na kingine n kwamba, boxer inataka upate fundi mzuri wa ingine hasa ikiua rings piston,huwa inasumbua sana na inataka vitu original,uchukua fek,itakusumbua,ni hayo tu....
 
Kumekuwa na makampuni mbalimbali yanayofanya biashara ya kuuza pikipiki. Baada ya kutumia pikipiki aina ya T better kwa muda mrefu nimeona ni bora sasa ninunue Boxer.

Naomba nijue faida na changamoto ya hizi pikipiki. Na kama kuna anayeuza njoo inbox tuyajenge.
Inategemea na matumizi yako. Kama ni matumizi binafsi labda Boxer iwe 150cc na sio ile ya 100cc.

Mimi nimezoea pikipiki yangu Rider 125cc nikikamata Boxer 100cc japo ni nyepesi wakat wa kuendesha ila naona inaboa sana. Haina self starter mpaka upige kiki (tatizo hili), haina stop engine (huwezi kuizima ukaserereka tu kwenye mteremko mpaka uzime pikipiki nzima kwa ufunguo), taa yake usiku haiwaki mpaka uvute mafuta yaani huwezi kuzima pikipiki ukaserereka usiku maana na taa itazima. Inaboa sana na haina nguvu sana kwenye milima.

Kama ni Boxer chukua 150cc iko poa. Na spare vya Boxer zinapatikana nyingi tu mkuu
 
kuna pikipiki za mchina zinitwa haojue 125-8 hizi pikipiki ni nzuri sana kwa kustahilimil hayo mazingira na unatumia mafuta kidogo sana yangui ina mwaka na nusu saiv ila bado wembe na nimetumia baadhi ya pikipiki ila hii nimeikubali zaidi sio tvs wala boxer
na bei yake ni 2.3
Screenshot_20190514-084946_Photos.jpg
Screenshot_20190223-203420.png
 
Tena juna zile wanaziita mayai muonekano mzuri mafuta kidogo rahisi huihudumia sasa ngoja akanunue kawasaki
kuna pikipiki za mchina zinitwa haojue 125-8 hizi pikipiki ni nzuri sana kwa kustahilimil hayo mazingira na unatumia mafuta kidogo sana yangui ina mwaka na nusu saiv ila bado wembe
 
Tvs.. Jamani mnajua bei ya vifaa vyake?

Ngoja niwaweke sawa ndugu zangu.. Mie simpotezi mtoa Mada.. Ila nampa ushauri mzuri sana.. Sio lazima anunue bike ya mil 18,au mil 10.. Zipo bike mpk mil 4.. Na ni same type na specs tofaut ni imetumika muda gani na year of prod...
Acha uongo we jamaa mm nilinunua tvs mwaka Jana mwezi February na mpaka sasa nabadili oil tu na sijwahi weka kifaa chochote kile hayo sijui unayoyaongelea kama upo rafu litaharibika tu.kwahyo chombo chochote kile ni matunzo tu kinadumu Mimi namshauri mtoa mada achukue TVs ni imara sana kwakweli
 
Back
Top Bottom