kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,185
- 4,881
Amna brother mimi ushauri wangu huo una uwaza wewe maana siamini kama ujiaminiKazichukue kwa ulyemwazmisha...... Namaanisha, elimu gan ulikuwa wazungumzia?
Enough
Amna brother mimi ushauri wangu huo una uwaza wewe maana siamini kama ujiaminiKazichukue kwa ulyemwazmisha...... Namaanisha, elimu gan ulikuwa wazungumzia?
Cna uzoefu kabxa na pikipiki mdogo wanguAmna brother mimi ushauri wangu huo una uwaza wewe maana siamini kama ujiamini
Enough
Nimewahi kuendesha boxer Tanga - Dar kwa lita 5.5 - 6.Chukua tvs ipo vizuri kuliko boxer hata ulaji wake wa mafuta ni mzuri lita kwa km 60 hadi 70 wakati boxer ni lita kwa km 30 hadi 40
Ni matumizi ya mtu na utunzaji ndiyo vinaichosha pikipiki.Kuna watu wanasema zinawah kuchoka na hazbeb mzgo mizto miztoo ukilinganisha na nyingine...
nakushauri usinunue pikipiki used mkuu utaumia, jichange tu utafute chombo mpya* Hivi plate namba A inamaanisha chombo ni cha kitambo xana na uwezo/ubora wake ni mdogo ukilinganisha na namba B, C, na D,?
Mfano nikinunua chombo (gari au pikipiki kwa mtu Je ishu ya kubadilisha umiliki inakuaje?
Asante kwa ushauri..... Nataman kununua mpya lakin budget yake inanifanya nijikaze niongeze kdgo ninunue gar so naona wacha nigafute used yenye bajeti ngdogonakushauri usinunue pikipiki used mkuu utaumia, jichange tu utafute chombo mpya
okay, basi utafute iliyotumika chini ya mwaka na haijafunguliwa engene. NB; uende na fundi unayemwamini akuhakikishie ubora wakeAsante kwa ushauri..... Nataman kununua mpya lakin budget yake inanifanya nijikaze niongeze kdgo ninunue gar so naona wacha nigafute used yenye bajeti ngdogo
Asante.. 10000....vp kuhusu aina ya pkpk na mambo mengine kama nilivyoonesha hapo kwnye s postokay, basi utafute iliyotumika chini ya mwaka na haijafunguliwa engene. NB; uende na fundi unayemwamini akuhakikishie ubora wake
ee bwana tafadhali hizo data hata mimi zinanipeleka ninunue tvs, wasiwasi wangu pikipiki za timing chain na pushrods kama kuna tofauti kiutendaji na kula kwenye gerejiChukua tvs ipo vizuri kuliko boxer hata ulaji wake wa mafuta ni mzuri lita kwa km 60 hadi 70 wakati boxer ni lita kwa km 30 hadi 40
Fafanua kdgo boss....... Halafu tvs inatumia timing chain?ee bwana tafadhali hizo data hata mimi zinanipeleka ninunue tvs, wasiwasi wangu pikipiki za timing chain na pushrods kama kuna tofauti kiutendaji na kula kwenye gereji
boxer inayo na inapendwa na bodaboda hizi fekon na snlg najua hazina tvs nieambiea inayo sina uhakika mimi nina fekon ila napenda tvs ulaji wa 70 km kwa lita ni matumuzi mazuri sana kama ni kweliFafanua kdgo boss....... Halafu tvs inatumia timing chain?
Zipo juu kiasi gani?Chukua BOXER
AU SUNLG
BOXER SIPEA ZIKO JUU kidogo
Kuna spea zinatofautia kwa asilimia hamsini na hizi zingneZipo juu kiasi gani?
hatahivyo mchina ashaingiza sokoni spea bei chee. mfano clutch plates org. ilikuwa 20,000 saivi zipo za 8,000-10,000 (bei huku nilipo), accelerator cables 12,000 saivi 4,000-5000Kuna spea zinatofautia kwa asilimia hamsini na hizi zingne
Hapo itakuwa angalauhatahivyo mchina ashaingiza sokoni spea bei chee. mfano clutch plates org. ilikuwa 20,000 saivi zipo za 8,000-10,000 (bei huku nilipo), accelerator cables 12,000 saivi 4,000-5000
Samahani mkubwa naomba ka elimu kidogo kuhusu timing chain na aina ya pikipiki zinazo patikana Tanzania zenye timing chain na zisizo na timing chainee bwana tafadhali hizo data hata mimi zinanipeleka ninunue tvs, wasiwasi wangu pikipiki za timing chain na pushrods kama kuna tofauti kiutendaji na kula kwenye gereji
boxer inayo na inapendwa na bodaboda hizi fekon na snlg najua hazina tvs nieambiea inayo sina uhakika mimi nina fekon ila napenda tvs ulaji wa 70 km kwa lita ni matumuzi mazuri sana kama ni kweli
we fikiria unaenda dar mpaka ruvu kwa lita kama 2 au 3 ajabu sana