Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

Ina maana nyumba ya sqm 414 ni 207 million? tutakuwa hatujengi

Nyumba ni mipango tu hata 7-10 Milions unatoa kitu cha maana, watu hawajui kuwa uzuri wa nyumba ni mazingira na si jengo kuuubwa.

Wewe kuwa na kiwanja kikubwa wastani pangilia miti mifupi ya matunda weka na ukweka kwa kidizaini weka kasehemu ka kupunga upepo ka mbao na fito na kamba (kitalii), alafu tupia kijumba kako ka room mbili very simple alafu sikilizia walimwengu watavyoanza kukuuliza uliza ni ka mamilioni mangapi
 
Kwa haraka haraka nitakupa makadirio maana ndizo kazi zangu hizo chukua square meter za ramani yako times 500,000 utapata garama ya morden house with everything you need.

Kama hujaelewa nina maana Urefu X Upana X 500,000=Construction cost

Hapo nina maana unatumia mkandarasi.
Kwa hesabu hii ya wizi mbona atakimbia mwenyewe
 
Kwa calculations zako utasababisha watu wafie kwenye nyumba za kupanga mkuu
Kwa haraka haraka nitakupa makadirio maana ndizo kazi zangu hizo chukua square meter za ramani yako times 500,000 utapata garama ya morden house with everything you need.

Kama hujaelewa nina maana Urefu X Upana X 500,000=Construction cost

Hapo nina maana unatumia mkandarasi.
 
Kwanza kwa wote mliochangia hii post nawaomba niwagongee senksi,kwa sababu ile kitufe cha kubofya senksi hakionekani kwangu.

Pili kuna nyumba (flat) ni mpya vya vyumba vitatu inauzwa kwa milioni 53 hapa Tanga.

Naomba wadau mniambie ni deal nzuri kununua au ni vizuri kujenga mwenyewe kwa hapa Tanga?

Asanteni.
Kwa ta jenga mwenyewe achana na hiyo, ushauri
 
Kama upo sehemu ambazo msingi /foundation wanatumia mawe, basi andaa:
TRIP =12-15 za mawe.
TOFALI= 2800-3000-BLOCKS
MCHANGA =TRIP 10
CEMENT =70
NONDO=( MM12=26 & MM10=22)
NOTE; GHARAMA ZA BOMA
Asantee.... Naomba mchanganuo interms of cost ya hzo trip na tofali tafadhal
 
Jamani naomba niulize kwa wana JF ambao ni wataalamu wa ujenzi.

Naomba wanipatie bajeti ya kujenga nyumba ya kawaida yenye vyumba 5, sebule, kitchen, dinning na sitting room ina cost kwa makisio shilingi ngapi?

Naomba nielimishwe,

Asanteni.

======
SIMILAR CASES:
Siku nikitulia nitakuja ku comment kwenye huu uzi au kuanzisha uzi mwingine ili kuleta mchanganuo wa project yangu ambayo nimefanya Mbeya (Nyumba ya kuishi ya Kagorofa kamoja)-Juu gorofani ni Master bedroom tuu, a simple and elegant house... Maana nina ka note book ambacho nilikua narekodi kila matumizi ninayofanya kwa ajili ya ujenzi... Ili pia kupeana moyo humu ndani kwa wale ambao hawajaanza, maana naona watu wanatishana sana humu.
Guantanamo Bay
 
Nasubiria kwa hamu pls unitag, natamani upate huo muda mapema. Hongera sana
 
Asantee.... Naomba mchanganuo interms of cost ya hzo trip na tofali tafadhal
Kwanza mwanza ambako nina uzoefu nako.
trip moja ya mchanga ni Tsh. 45,000/= hadi Tsh. 50,000/=
Trip moja ya mawe. Tsh. 55,000/=
Tofali ya block bei ni Tsh. 1,300/= suma jkt,, na wafyatuaji wengine ni Tsh. 1,100 hadi 900/= kulingana na kiwango cha tofali na idadi ya tofli unazochukua
 
Exactly.
 
Ukitumia angle ya 35
Utatumia bati 80
Na mbao 190
Ukitumia angle 45 bat 110 na mbao 240
Hizi ndo hesabu za haraka kiongoz
mimi boma langu lina ita za mraba 127.2 na urefu ni 12m na upana ni 10.6m angle ni 30, nisaidie makisio ya bati na mbao , pili na kwa angle ya 33 nitatumia bati na mbao ngapi pia
 
Inakubidi ujue kwanza vipimo halisi vya jengo lako,angle ya mnyanyuo wa paa la nyumba yako,aina ya bati utakalopaulia nyumba. Baada ya hapo ndio unaweza kufanya mahesabu ya idadi ya bati na kiasi cha mbao zitakazohitajika kufanya kazi hiyo.

Kama unaweza kuwa na michoro ya jengo lako au vipimo halisi,naweza kukusaidia kutokea hapa.
mimi nyumba ina urefu wa 12 m na upana 10.6m na angle ni 30
 
Kinachopishanisha gharama za ujenzi kwa experience yangu niliyoipata ni gharama za material ya ujenzi bei zina cheza sana kulingana na wakati, utakachopata ni bei elekezi tu kwa wadau lakini ukiingia sokoni vitu bei vipo juu unaweza kukata tamaa kujenga,
Ni ile hamu ya kujenga. Ukweli ni kuwa kila unapoingia kwenye hardware kupigwa ni lazima. Maana ni kitu ambacho hukifanyi mara kwa mara.

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mkuu be careful!

Utafiti umeonyesha kuwa nyumba nyingi zilizojengwa na "wenyewe" hapa mjini DSM hazina ubora na umadhubuti unao kidhi matumizi ya binaadam.

Watu wengi wanapenda kujenga kwa bei ya chini wakiamini kuwa mradi paa lipo basi usingizi hawakosi.

Matofali karibu yote yanayouzwa mitaani, ukiyakemea yanalala mbele!

Zege linalochanganywa katika nyumba nyingi ni hafifu kabisa, sementi finyu, mchanga mchafu, kokoto ubuyu/chafu, mwishowe zege ukilipiga nyundo moja linasambaratika.

Katika nyumba zilizodondoka hapa mjini DAR , ZOTE NI ZA WATU BINAFSI,hata ile ya ghorofa 10!

Na wote hawa hawakuwatumia wataalam.

Bahati mbaya sana watu wanaidharau sana hii fani ya ujenzi, na baadaye kuishia majuto mjukuu.

Mkuu kama umejenga kwa 15mil nyumba ya 3/4/5 bedroom basi hongera, katika miaka 10-15 ijayo jitayarishe na hela hizo hizo kwa matengenezo na ukarabati(kama El Nino haijakupitia).
Kiukweli hakuna nyumba ya vyumba vitano ya tofali za saruji ya m15 ,gharama halisi ni m65had 80 bila fence kwa mikoa ya dar,Kilimanjaro Moro,Mtwara,dodom Arusha nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom