sirajj johnn
JF-Expert Member
- Apr 5, 2017
- 1,502
- 839
Karibu sana kiongoziShukrani mkuu
Tuko the same Companyhiyo picha ya pili kutoka mwisho si ilishapostiwa ktk thread ya pettymarcel??
Ni Picha za Kampuni na sio ya MtuPicha ya kwanza sio yako Mzee...
Weka kazi zako, achana na portfolio za watu..
Ni Nyumba Yenye partition mbili Tofauti Kwa Kila FamilyHii milango miwili kwenye hii nyumba hapa mbele ni wa kuingia au kutoka wapi na wapi?
Kila Nyumba ina Price yake so Kwa Maelezo zaidi Tuwasiliane Kwa 0715-908698(WhatsApp/Call) au 0759-538688Attach price katika hizo picha za nyumba mkuu
Maelezo ya Ujenzi wa Nyumba ya Tsh 25 Milion ni Nyumba ya room 2 za kulalaJe hiyo nyumba ya 25m ni yenye sifa zipi, pia inakuwa pamoja na site au site ni yangu?
Nyumba Peke yake ni Milion 65-70 na Fensi ya Nyumba Makadirio ni Milion 25 so Kwa Maelezo zaidi na Vipimo vya Plots yako na Aina ya Nyumba Unayojenga Karibu OfisiniView attachment 692319
Mkuu Sirajj! Nyumba kama hiyo yenye vyumba viwili na master bedroom + toilets kwa kila room na public toilet, Wiring, System ya maji n.k. kwa ngapi?
Fensi Juu yetu piaNa fensi pia juu yenu?