cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,801
asante sana manyusi ..sasa nadhani maswali yatapungua hapa
+BathroomsHii imekaa sawa kweli? ina maana kwa nyumba ya vyumba 5 alioulizia mkuu inaweza kuwa around Tzsh 25 - 30 Million?.
Hii ukikadiria kwamba kila chumba kitakuwa na ukubwa wa 10 square meters. ((10 x 5) x 500,000) = 25,000,000.
Kwa utaratibu huu mbona gharama zitakuwa ni ndogo ukilinganisha na gharama tunazozisikia kila siku?
+Bathrooms
+Kitchen
+Sitting Room
etc
Average in DSM TZS Million 100/=
With Kigae, Tiles, Fence, paint, plumbing, electricity etc.
Hii imekaa sawa kweli? ina maana kwa nyumba ya vyumba 5 alioulizia mkuu inaweza kuwa around Tzsh 25 - 30 Million?.
Hii ukikadiria kwamba kila chumba kitakuwa na ukubwa wa 10 square meters. ((10 x 5) x 500,000) = 25,000,000.
Kwa utaratibu huu mbona gharama zitakuwa ni ndogo ukilinganisha na gharama tunazozisikia kila siku?
nimefaidika thread lakini naona gharama zinazidi hadi 500M, mkubwa hapo alivosema
Nakubaliana na SMU huo mjumba balaa, yaani mkubwa kweli kweli. Ukijenga mjumba wa size hiyo jee watoto wako wakishaondoka wamemaliza shule utaufanya nini? Vile vile ni kujihakikishia idadi kubwa ya wageni kwa muda wote kwani kuna nafasi ya kutosha. Maintenance costs ndio hazisemeki, unaweza kufaidi for the first four to five years, baadae ndio harakati za maintenance zinapoanza hapo.
Halafu TRA watakapokupiga hiyo property tax ndio utakoma ubishi.
Majumba ya aina hiyo yalikuwa yanajengwa mnamo miaka ya tisini sio sasa hivi.
Hii imekaa sawa kweli? ina maana kwa nyumba ya vyumba 5 alioulizia mkuu inaweza kuwa around Tzsh 25 - 30 Million?.
Hii ukikadiria kwamba kila chumba kitakuwa na ukubwa wa 10 square meters. ((10 x 5) x 500,000) = 25,000,000.
Kwa utaratibu huu mbona gharama zitakuwa ni ndogo ukilinganisha na gharama tunazozisikia kila siku?
Dah mkuu umejenga hadi hatua gani??? Umefanya finishing zote???Hii estimate ni sahihi??!
Stucture yangu ni 10x11=110sqm. X500,000=55,000,000. This isn't realistic in a Tz context. Mimi nimejenga kwa 15mil tu. Kama hizo ndo estimate mnazofanya kwenye miradi ya serikali ndo maana hatuendelei.
Manyusi katika pekuapekua kwenye mitandao nimekutana na nyumba hii hapa chini nikaipenda. Jamaa hawajasema ina ukubwa kiasi gani (square meter). Ila ina vyumba 4 na bath room 2. Kwa uzoefu wako unaweza kadiria kuwa na mita ngapi za mraba? Hiyo gharama ya laki 5 kwa mita ya mraba inajumlisha na gharama za wajenzi (mafundi)?
View attachment 14330
kwa kuangalia picha kama hiyo sio rahisi kukadiria sqm kama hapo ulipoona wameweka plan yake iweke hapa nitakupa estimate ya sqm na garama yake,hiyo laki tano per sqm ni kwa kutumia mkandarasi wala sio fundi wa mtaani,hapo unamkabidhi mkandarasi kazi anakukabidhi nyumba wewe unaingia na furniture zako tu.
Kwenye hiyo 15 mil. uliweka bei ya muda wako ulioutumia kusimamia nyumba hiyo ( muda wako lazima uwe na gharama)? Kama si wako, wa huyo aliyekusaidia kusimamia ujenzi! Umeunganisha gharama ya kufika na kurudi kutoka kwenye sait yako? Gharama ya kuhifadhi vifaa , ingawa uliviweka kwa jirani.Hii estimate ni sahihi??!
Stucture yangu ni 10x11=110sqm. X500,000=55,000,000. This isn't realistic in a Tz context. Mimi nimejenga kwa 15mil tu. Kama hizo ndo estimate mnazofanya kwenye miradi ya serikali ndo maana hatuendelei.
Mkuu be careful!Hii estimate ni sahihi??!
Stucture yangu ni 10x11=110sqm. X500,000=55,000,000. This isn't realistic in a Tz context. Mimi nimejenga kwa 15mil tu. Kama hizo ndo estimate mnazofanya kwenye miradi ya serikali ndo maana hatuendelei.
Embu tembelea pale Mwenge karibu na oil com kuna kituo cha utafiti wa ujenziNdugu wanaforum. Naomba Ushauri wenu juu ya ujenzi wa nyumba Dar. kutokana na uwezo mdogo, nimeshauliwa nitumie system inyoitwa interlocking blocks, amabyo inatumia tofari zinazotokana na mchanganyiko waudongo wa kisuguu na cement. swali je, hii technolojia ipo Dar? Je inasaidia kupunguza gharama za ujenzi na kwa % ngapi ukilinganisha na nyumba ya tofari za Cement za kawaida? Je nyumba hiyo inaweza kudumu mda mrefu kama ya cement? Nipeni ushauri ndugu zangu.