Deny
Member
- Jul 28, 2007
- 62
- 28
Lakini swali lako lina utata kidogo. Kwanza halijielezi kama hilo basi na hiyo pikipiki vimetokea sehemu moja na vinaelekea sehemu ileile ambapo vitafika, pili swali halielezi kama hiyo safari vimeanza pamoja au vimekutana point fulani vikiwa katika speed hiyo ya 120km/hr.Nomba wataalamu mnitoe tongotongo, ikitokea basi la mkoa na pikipiki aina yeyote vikatembea speed moja ya 120km/hr na pasipo kizuizi cha aina yeyote njiani ( Take every thing is constant) .
KATI YA BASI NA PIKIPIKI NANI ATATANGULIA KUFIKA?
Naombeni wataalam mtusaidie hapa.
Ukitoa ufafanuzi huo ndipo jibu litaweza kupatikana.