Ukiweka UNIT ya km hapo umemaliza mchezo woteUsijidanganye ndugu, weka physics kando tumia uzoefu wa safari za mikoani, yutong au zhongton huwez isimamisha hata na gari ndogo kwa speed hio hio,, utaikuta yutong ilishashusha abiria siku nyingi na hakuna dalili kama ilkua safari!
Speed 120 ya basi ni sawa na speed 180 ya gari ndogo sembuse pikipiki??!
Speed ni speed iwe ya pikipiki au gari. Jibu ni kwamba watafika mda mmoja. Pikipiki rpm ya injini itatakiwa kuwa kubwa kwa vile injini ni ndogo. Kama mwendo utakuwa mrefu pikipiki itafail. Lakini pia hapa kuna swala la momentum (massXvelocity) na force F (massXaccn) inayotummika kuvisukuma. Kama wataanza pamoja na umbali ukawa mfupi, pikipiki itawahi kifikia 120 kabla ya basi na kuweza kuitangulia basiNomba wataalamu mnitoe tongotongo, ikitokea basi la mkoa na pikipiki aina yeyote vikatembea speed moja ya 120km/hr na pasipo kizuizi cha aina yeyote njiani ( Take every thing is constant) .
KATI YA BASI NA PIKIPIKI NANI ATATANGULIA KUFIKA?
Naombeni wataalam mtusaidie hapa.
mwendo wa kutandika mkekaYaani ni sawa na kuku ashindane na mbuzi hii miguu minne hii miwili yaani SCCANIA Kabisa nzima haina hitilafu wewe na kipikipiki chako utanikuta nyegezi nabet
Basi itawahi kufika, hii ni kutokana na tairi ya Basi kuwa kubwa ukilinganisha na ya pikipiki, hivyo mzunguko wa tairi ya basi unachukua umbali mkubwa ukilinganisha na wa pikipiki.
Hapo ishu nzima ni momentum. "What is momentum", Momentum is the product of mass and velocity. au unaweza ukasema momentum is mass in motion.kwamba kila chenye mass kinapokuwa kwenye motion hapo tunasema kina momentum,sasa tukirudi kwenye swalo lako.pikipiki labda ina mass ya 120kg na Hilo basi lina mass ya 1500kg.sasa Kama nilivyosema kwamba momentum ni product ya mass and velocity.sasa tuanze na pikipiki.
120 km/hr ×120kg=14,400kgm/s
Haya tuje kwenye basi
120km/hr × 1500kg=180,000kgm/s
Kwahiyo ina maana kwamba basi ndo lina momentum kubwa kushinda pikipiki hivyo basi lazima litangulie.
Speed ni speed iwe ya pikipiki au gari. Jibu ni kwamba watafika mda mmoja. Pikipiki rpm ya injini itatakiwa kuwa kubwa kwa vile injini ni ndogo. Kama mwendo utakuwa mrefu pikipiki itafail. Lakini pia hapa kuna swala la momentum (massXvelocity) na force F (massXaccn) inayotummika kuvisukuma. Kama wataanza pamoja na umbali ukawa mfupi, pikipiki itawahi kifikia 120 kabla ya basi na kuweza kuitangulia basi
Siyo kweliHapo ishu nzima ni momentum. "What is momentum", Momentum is the product of mass and velocity. au unaweza ukasema momentum is mass in motion.kwamba kila chenye mass kinapokuwa kwenye motion hapo tunasema kina momentum,sasa tukirudi kwenye swalo lako.pikipiki labda ina mass ya 120kg na Hilo basi lina mass ya 1500kg.sasa Kama nilivyosema kwamba momentum ni product ya mass and velocity.sasa tuanze na pikipiki.
120 km/hr ×120kg=14,400kgm/s
Haya tuje kwenye basi
120km/hr × 1500kg=180,000kgm/s
Kwahiyo ina maana kwamba basi ndo lina momentum kubwa kushinda pikipiki hivyo basi lazima litangulie.
Mkuu.....
Ebu acha kutuchanganya aiseeee.....
Kwani tochi hua zina pima nini kwenye gari ili kupata mwendo kasi sahihi ya chombo barabarani?
Mbona unazidi changanya mambo mkuu..Msingi WA Mada ni kuwa Kati y'all PIKIPIKI na gari kipindi kinatangulia? Jibu Nitakuambia gari Kwa ajili ya velocity.
Hili ndilo jibu mubasharaSio kweli kaka,refer ile picha ya tochi iliyopigwa city boy kabla ya ajari ilikuwa imezidi 120km/hr lakini speedometer ya mabasi ya mwisho inaonyesha 120km/hr. Vilevile hata barabarani kama umeshawahi kimbizana na basi utaona kabisa speed yako inaenda 150km/hr lakini basi linakuchapa kama umesimama wakati speed ya mwisho kwenye basi ni 120km/hr. Mawazo yangu yananituma tuweke factor ya radius ya tairi na nguvu yakuzungusha tairi(physics A level topic ya mechanics inaweza toa mwanga kwenye hili) kwasababu sisi binadamu tuna ona linear motion wakati huo tairi inakuwa iko katika rotation motion.
mkuu...mkuu swali lako alijakamilika kwa sababu ujasema kama zitaanza safari mda mmojo au tofauti. Speed maana yake ni umbali gawanya kwa muda. Kwa mfano umbali wa kutoka arusha to dar ni km600, basi litatumia masaa matano na pikipki itatumia masaa matano. Sasa kama zimeondoka mda mmoja hakuna itakayotangulia, ila kama basi lilitangulia kuondoka kwa saa moja ivyo litatangulia kufika kwa saa moja, na ivyoivyo kwa pikipiki. NAZANI NIMEMALIZA
Nomba wataalamu mnitoe tongotongo, ikitokea basi la mkoa na pikipiki aina yeyote vikatembea speed moja ya 120km/hr na pasipo kizuizi cha aina yeyote njiani ( Take every thing is constant) .
KATI YA BASI NA PIKIPIKI NANI ATATANGULIA KUFIKA?
Naombeni wataalam mtusaidie hapa.
Sio kweli kaka,refer ile picha ya tochi iliyopigwa city boy kabla ya ajari ilikuwa imezidi 120km/hr lakini speedometer ya mabasi ya mwisho inaonyesha 120km/hr. Vilevile hata barabarani kama umeshawahi kimbizana na basi utaona kabisa speed yako inaenda 150km/hr lakini basi linakuchapa kama umesimama wakati speed ya mwisho kwenye basi ni 120km/hr. Mawazo yangu yananituma tuweke factor ya radius ya tairi na nguvu yakuzungusha tairi(physics A level topic ya mechanics inaweza toa mwanga kwenye hili) kwasababu sisi binadamu tuna ona linear motion wakati huo tairi inakuwa iko katika rotation motion.
Comment yako, aibu yangu...hiv hizo factors zingine mnazotaka kuziinclude zinatoka wapi wakat muuliza swali kesha panga urefu utakao kwenda ambao ni 120km na muda kasema 1hr? jibu rahis tu vitafika pamoja sbb distance ni hile hile na muda ni ule ule ambao wote scania, pikipiki hata baiskeli wangefika pamoja as long as unaweza kuendesha baiskeli kwa spid na muda huo uliopangwa na muuliza swali. ukisha limit spid na muda hakuna ujanja wa mmoja wapo kumpita mwengine mtaenda sawa tu ila ukiruhusu kila kimoja kitembee kinavyota utaona balaa!!!
Namimi ndio nakuuliza kwamba.....My point is, speed ya 120km/hr ya pikipiki na ya basi ni sawa.
Zile tochi hazijatofautisha speed ya basi au bajaji. zinachongalia ni zile units i.e km/hr.
And.....Kinachobishsniwa IPO itatangulia kufika?? Speed sawa. Jibu Nitakuambia gari sio PIKIPIKI