Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

D

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
3,857
Likes
6,507
Points
280
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
3,857 6,507 280
Nomba wataalamu mnitoe tongotongo, ikitokea basi la mkoa na pikipiki aina yeyote vikatembea speed moja ya 120km/hr na pasipo kizuizi cha aina yeyote njiani ( Take every thing is constant) .

KATI YA BASI NA PIKIPIKI NANI ATATANGULIA KUFIKA?

Naombeni wataalam mtusaidie hapa.

*******************************
Hints video!
 
Compact

Compact

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Messages
3,807
Likes
8,678
Points
280
Compact

Compact

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2015
3,807 8,678 280
Hii imenikumbusha miaka ya 90 mwalimu wetu aliingia darsani na kutuuliza
"Mzigo wa Kg 3 za unga na mwingine wa Kg 3 za mchanga, upi ni mzito kuliko mwingine?"

Wote tuliosema ni Mchanga,tulicharazwa viboko. Wengine walipoona tunachapwa kwa kusema mchanga ni mzito nao wakasema ni Unga,nao walilambwa vivyo hivyo.

Kumbe zina ulingano sawa bhanah! Sisi kwa ujinga wetu wa wakati huo tuliamini mchanga ni mzito kutokana na nature yake.
 
M

mswangilishi

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2016
Messages
470
Likes
1,124
Points
180
M

mswangilishi

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2016
470 1,124 180
Vitakuwa sawa. Provided other factors kama upepo, mvua, wheel radius etc remain constant.
ACHA MASIHARA WEWE! CHOMBO SCANIA KAMA ZILE CITY BOY ULINGANISHE NA BOXER? PIKIPIKI HAFATI KWANZA MATAILI YA SCANIA NI MAKUBWA NA SPEED YAKE KUBWA
 
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
3,857
Likes
6,507
Points
280
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
3,857 6,507 280
Yaani ni sawa na kuku ashindane na mbuzi hii miguu minne hii miwili yaani SCCANIA Kabisa nzima haina hitilafu wewe na kipikipiki chako utanikuta nyegezi nabet
Kwani speed zinatofautiana? Vile vibao Vya njiani mbona havijatenganisha speed limit ya gari ndogo na kubwa kama ni tofauti?
 
K

kamwamu

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
1,750
Likes
837
Points
280
K

kamwamu

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
1,750 837 280
NAWE BINAFSI JIULIZE, UNAPOONGOZANA MKITEMBEA UMEMSHIKA MKONO MDOGO WAKO WA MIAKA 2 KWENDA DUKA JIRANI UKAMNUNULIE PIPI, NA KURUDI NYUMBANI MKIWA MMESHIKANA MIKONO HIVO HIVO, HUWA MNATEMBEA MWENDO(SPEED) SAWA?
 
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
33,873
Likes
36,542
Points
280
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
33,873 36,542 280
Nomba wataalamu mnitoe tongotongo!
Ikitokea basi la mkoa na pikipiki aina yeyote vikatembea speed moja ya 120km/hr na pasipo kuzuizi cha aina yeyote njiani ( Take every thing is constant) .
KATI YA BASI NA PIKIPIKI NANI ATATANGULIA KUFIKA?
Naombeni wataalam mtusaidie hapa!
Provided everything remains constant watafika sawa.
 
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
3,857
Likes
6,507
Points
280
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
3,857 6,507 280
NAWE BINAFSI JIULIZE, UNAPOONGOZANA MKITEMBEA UMEMSHIKA MKONO MDOGO WAKO WA MIAKA 2 KWENDA DUKA JIRANI UKAMNUNULIE PIPI, NA KURUDI NYUMBANI MKIWA MMESHIKANA MIKONO HIVO HIVO, HUWA MNATEMBEA MWENDO(SPEED) SAWA?
Bahati mbaya binadam hatuna speed mita kwahiyo sina jibu sahihi
 
Shuli

Shuli

Senior Member
Joined
Nov 11, 2014
Messages
161
Likes
361
Points
80
Shuli

Shuli

Senior Member
Joined Nov 11, 2014
161 361 80
Duh, yaani hadi kipindi hiki swali hili bado ni lugha gongana!!!!

Speed za vyombo vya moto kama gar,pikipiki,ndege n.k mara nyingi ziko kwa km/hr au mph

Speed ya 120km/hr ya pikipiki maana Yake, kwa mwendo huo pikipiki itatembea umbali wa 120 km kwa SAA moja, vilevile kwa scania mwendo wa 120km/hr inacover 120km kwa saa moja. Hivyo ni ngoma droo.

Kumbukeni kwa magari makubwa yana tairi kubwa,hivyo mzunguko wa tairi huwa mdogo kufikia speed flani wakati huo zile gari ndogo zenye tairi ndogo ,tairi zake huzunguka Mara nyingi zaidi kufikia speed ileile sawa na ya Gari kubwa.

Mwisho, ikumbukwe kuwa, ISO ni chombo ambacho wanaratibu mambo mengi saana kwenye Magari ikiwemo na speed meter

Note:
Kama speed za gari kubwa na ndogo zingekuwa tofauti,basi hata ma Trafic wa barabarani wangekuwa na speed tochi/camera mbilimbili (yaani ya Gari kubwa na gari ndogo)
 
M

Mwakamele 16

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
1,508
Likes
1,046
Points
280
M

Mwakamele 16

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
1,508 1,046 280
Hii imenikumbusha miaka ya 90 mwalimu wetu aliingia darsani na kutuuliza
"Mzigo wa Kg 3 za unga na mwingine wa Kg 3 za mchanga, upi ni mzito kuliko mwingine?"

Wote tuliosema ni Mchanga,tulicharazwa viboko. Wengine walipoona tunachapwa kwa kusema mchanga ni mzito nao wakasema ni Unga,nao walilambwa vivyo hivyo.

Kumbe zina ulingano sawa bhanah! Sisi kwa ujinga wetu wa wakati huo tuliamini mchanga ni mzito kutokana na nature yake.
Mkuu, bora kama hamkuisoma namba peke yenu, kumbe na wale waliosema Unga ni mzito waliisoma! Kyakyakya hihihihiiii!!!
 
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
33,873
Likes
36,542
Points
280
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
33,873 36,542 280
Kwanini vibao njiani havitenganishi aina ya chombo cha usafiri?
Factor kama wind resistance,aina ya matairi,barabara iko wet au dry huwezi kuona tofauti yake kwa magari ya kawaida kwasababu inaleta tofauti ya milliseconds. Kwenye race kama F1 hizo factor ndio huleta mshindi.
 
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Messages
3,857
Likes
6,507
Points
280
D

dmkali

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2014
3,857 6,507 280
Duh, yaani hadi kipindi hiki swali hili bado ni lugha gongana!!!!

Speed za vyombo vya moto kama gar,pikipiki,ndege n.k mara nyingi ziko kwa km/hr au mph

Speed ya 120km/hr ya pikipiki maana Yake, kwa mwendo huo pikipiki itatembea umbali wa 120 km kwa SAA moja, vilevile kwa scania mwendo wa 120km/hr inacover 120km kwa saa moja. Hivyo ni ngoma droo.

Kumbukeni kwa magari makubwa yana tairi kubwa,hivyo mzunguko wa tairi huwa mdogo kufikia speed flani wakati huo zile gari ndogo zenye tairi ndogo ,tairi zake huzunguka Mara nyingi zaidi kufikia speed ileile sawa na ya Gari kubwa.

Mwisho, ikumbukwe kuwa, ISO ni chombo ambacho wanaratibu mambo mengi saana kwenye Magari ikiwemo na speed meter

Note:
Kama speed za gari kubwa na ndogo zingekuwa tofauti,basi hata ma Trafic wa barabarani wangekuwa na speed tochi/camera mbilimbili (yaani ya Gari kubwa na gari ndogo)
Afadhali maelezo yako nimeyaelewa vizuri
 
GUI

GUI

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Messages
1,854
Likes
1,289
Points
280
Age
32
GUI

GUI

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2016
1,854 1,289 280
Yaani ni sawa na kuku ashindane na mbuzi hii miguu minne hii miwili yaani SCCANIA Kabisa nzima haina hitilafu wewe na kipikipiki chako utanikuta nyegezi nabet
Hahaaaa inaonyesha mkuu unapenda sana kubet, Leo Chelsea vs Spurs umempa nani?
 
M

MWIGOLA

Senior Member
Joined
Apr 21, 2012
Messages
173
Likes
40
Points
45
M

MWIGOLA

Senior Member
Joined Apr 21, 2012
173 40 45
NAWE BINAFSI JIULIZE, UNAPOONGOZANA MKITEMBEA UMEMSHIKA MKONO MDOGO WAKO WA MIAKA 2 KWENDA DUKA JIRANI UKAMNUNULIE PIPI, NA KURUDI NYUMBANI MKIWA MMESHIKANA MIKONO HIVO HIVO, HUWA MNATEMBEA MWENDO(SPEED) SAWA?
Ndio tumetembea speed sawa Ila velocity tofauti
 
Forum statistics

Threads 1,273,480
Members 490,421
Posts 30,482,840