- Thread starter
- #21
PRONDO# Umechemsha; kwahiyo waliotengeneza speed hawakujua kuwa kuna tofauti ya ukubwa Wa mataili?Factor kama wind resistance,aina ya matairi,barabara iko wet au dry huwezi kuona tofauti yake kwa magari ya kawaida kwasababu inaleta tofauti ya milliseconds. Kwenye race kama F1 hizo factor ndio huleta mshindi.
ELIMU! ELIMU ! ELIMU